uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano yazuka Peru Wananchi kutoamini mchakato wa uchaguzi unaoendelea

    Uchaguzi wa urais nchini Peru uliofanyika Jumapili, 12 Aprili 2026, umechochea maandamano baada ya changamoto kubwa za kiutendaji kusababisha maafisa wa uchaguzi kuchelewesha kuhesabu kura na kuongeza muda wa upigaji kura hadi leo Aprili 13, 2026, hali iliyochochea mashaka makubwa kuhusu...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuingilia Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC): TOC ijiandae kufungiwa na IOC

    "Waacheni wananchi watoe yaliyomo vifuani mwao kwa uhuru. Kwa kufanya hivyo itatusaidia sisi kama Serikali kwa namna mbili; Kwanza, tutajua wananchi wetu wanafikiria nini kuhusu jambo fulani. Pili, itatusaidia sisi kama Serikali iwapo tumekosea tuweze kujisahihisha na kuendelea kuwakelea...
  3. JamiiForums Tanzania Viktor Orban Ashindwa Uchaguzi huko Hungary

    Uchaguzi wa Hungary umekwisha na aliyekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 16, Viktor Orban, kipenzi cha Trump na Putin, na mwiba mkali kwa European Union na Ukraine amepigwa chini vibaya sana. Kwenye bunge lenye viti 199, chama cha mpinzani wake, Péter Magyar, kimejizolea zaidi ya viti 135 ambayo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Paul Christian, Makonda amesimamisha Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na kuusimamisha Uongozi wa sasa wa Kamati hiyo

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian, Makonda amesimamisha Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na kuusimamisha Uongozi wa sasa wa Kamati hiyo kufuatia malalamiko ya baadhi ya Wagombea waliokuwa wakiwania nafasi mbalimbali za Uongozi wa TOC kuenguliwa kushiriki...
  5. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walisema Hawaitambui Tume Iliyoundwa Kuchunguza Matukio ya Uchaguzi. Lakini Kwa Sasa Wapo Kimbelembele Kuulizia Kwanini Tume Inachelewa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika CHADEMA wana akili za Kinyumbu,hawajitambui kabisa, ni Watu wenye matatizo makubwa sana ya kiakili . Hawanaga Kumbukumbu ya kukumbuka hata nini walizungumza siku moja iliyopita . Ubongo na vichwa vyao havina uwezo wa kutunza kumbukumbu na kukumbuka ya Awali...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akutana Na Wagombea Urais Wa Vyama Zaidi Ya 16 Uchaguzi Uliopita. Anyoosha Na kukunjua Mkono Wa Maridhiano. Wakoshwa na uchapakazi wake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaendelea kuonyesha na kudhihirisha kuwa yeye ni chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na aliyepewa kibali na Mungu kuongoza Taifa letu. Anaendelea kuonyesha kuwa yupo kwa ajili ya ustawi...
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi huru na wazi

    Uchaguzi huru na wazi ni uti wa mgongo wa uhalali wa mamlaka katika taifa lolote linalojenga misingi ya haki, amani, na maendeleo endelevu. Taifa haliwezi kusema lina demokrasia ya kweli ikiwa wananchi wake hawana uhuru wa kutoa maamuzi yao kupitia kura bila hofu, bila shinikizo, na bila mashaka...
  8. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, watu wameanza kuwazia uchaguzi 2030

    Habari wakuu Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia. Hii kitaalamu imekaaje wakuu ila binafsi naona ni kama dhiaka kwa uongozi uliopo,kwamba unaoangaliwa tu umalize muda...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima akumbushia matukio ya Oktoba 29 asema 'kesi za uvunjaji wa haki za binadamu hazifutiki'

    Padre Charles Kitima anasema aliyetumwa, aliyetoa mamlaka kupiga risasi akijua kabisa ni kinyume cha sheria atawajibishwa tu ni suala la wakati. Anasema masuala ya kesi za kibinadamu hayafutiki!! Soma Pia: PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani waitaka IEBC iachane na teknolojia ya Smartmatic kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027

    Viongozi wa Upinzani Wote wametaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iachane kabisa na teknolojia ya Smartmatic kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao, wakiwemo Kalonzo Musyoka wa Wiper Patriotic Front, Justin Muturi wa DP, na Eugene Wamalwa wa DAP-K, pia waliwaomba Mahakama...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  12. JamiiForums Tanzania Kim Jong Un ashinda uchaguzi kwa asilimia 99.93!

    Vichekesho! Hatimaye Samia [ambaye si rais] apata mpinzani. Kim Jong Un ameshinda uchaguzi uliofanyika tarehe 15 mwezi Machi mwaka huu. Kim kampiku Samia 😂. Samia asije kuona wivu. ============ Kim Jong Un amepata ushindi mwingine mkubwa wa uchaguzi, baada ya chama chake cha Workers' Party...
  13. JamiiForums Tanzania 2015 ndio ilikuwa mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi, tusichanganyikiwe

    Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015. Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi na mwanafunzi wake ni sawa na kuchanganyikiwa na kuwa bumunda.
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kongo: Mtandao wa Intaneti wazimwa!

    Wakati uchaguzi wa uraisi unaendelea jamhuri ya kongo mtandao wa NetBlocks umetangaza kukatika kwa intaneti karibu nchi nzima. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa NetBlocks, Alp Toker, kiwango cha muunganisho wa intaneti kimeshuka hadi karibu asilimia 3 ya kiwango cha kawaida, hali inayoweza kupunguza...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yaiangalia Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Uchaguzi 2025 kama kipimo cha uwajibikaji

    Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika yatupilia mbali shauri la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa uamuzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu shauri lililopinga uhalali wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020. Katika hukumu yake, mahakama hiyo imetupilia mbali kesi hiyo kwa kukosa mashiko ya kisheria na ushahidi thabiti. Wapinga...
  18. JamiiForums Tanzania Trump Ataka Kupitishwa kwa “Save America Act” Ili Kulinda Mfumo wa Uchaguzi na Sera za Kijamii

    Kumekuwa na mjadala mkubwa nchini United States kufuatia wito wa kupitishwa kwa sheria mpya inayojulikana kama “Save America Act.” Sheria hii inapendekezwa na Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, ambaye amesisitiza kuwa hatua hiyo inalenga kuimarisha uadilifu wa uchaguzi pamoja na kulinda...
  19. JamiiForums Tanzania Wadau wajadili hasara kuzimwa intaneti wakati wa uchaguzi

    KUZIMWA kwa intaneti wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumelisababishia Taifa hasara ya dola za Marekani milioni 238, sawa na takribani Sh. bilioni 560, kwa mujibu wa ripoti mpya ya utawala wa kidijitali. Takwimu hizo zimetolewa na Ofisa Sera na Teknolojia wa Tech, Media Convergency (TMC)...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…