Mwaka wa uchaguzi umefika, tusishangae sana

msela wa mbagala

Senior Member
Dec 13, 2019
139
441
Huu ndo mwaka ambao wanasiasa tutacheza nao draft, mpira na bao.

Ni mwaka ambao wanasiasa watabeba ndoo kichwani. Ni mwaka ambao usishangae kumuona mwanasiasa akishinda kijiweni. Ni mwaka ambao ligi za mpira za hovyo nyingi tutaziona.

Msishangae sana.

Msishangae sana kukutana na mwanasiasa kwenye daladala akawalipia wote nauli.

Msishangae pia.

Nawasilisha.
 
Tatizo hawa Wanaojitoa toa katika Uchaguzi wanaweza kufanya Tusi- Experience the Good life kama tulivyozoe huko Nyuma katika nyakati za Uchaguzi kama hizi.

Leo, Kiongozi anapita bila kupingwa, Hapo unategemea nini sasa.
 
Ni mwaka ambao tunachagua aina ya maisha tutakayoishi.
Si mpaka tuwe na akili hiyo.Kuna robots zinaitwa police aliyekaribu na button anaponyeza tu na zinashugulikia watanzania then matokeo yanabadirishwa.hizi robots zenyewe kipaumbele chake ni kutii amri/signal from burton and not their life,watoto wao na ndugu zao
 
Back
Top Bottom