uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marekani umetusaidia kuondoa ujinga wa CHADEMA

    Leo 11:35hrs 07/11/2020 Matokeo ya uchaguzi wa Marekani yametusaidia kuondoa ujinga wa Chadema, Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani is a "score" to us Tanzanians and Our President John Pombe Magufuli, Niwakumbushe hotuba ya Mzee Yoweri Museveni kwenye uapisho wa Rais John Magufuli, Mzee Museveni...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

    Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Adelardus Kilangi aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais Magufuli kutofanya mabadiliko watendaji wa Serikali, Mawaziri kubadilishwa

    Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli. Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yaitaka Tume ya Uchaguzi NEC kutoa Ufafanuzi kuhusu Majina ya Wabunge wa Viti Maalum Wanaodaiwa wamepelekwa Bungeni

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya...
  5. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kutokana na maafa pamoja na vurugu za uchaguzi tunaweza kushtakiwa ICC?

    Nimemsikiliza vizuri sana msemaji wa NCCR Mageuzi ndugu Edward Simbeye akisema kua kuna takribani Watanzania zaidi ya 40 walipoteza uhai wao uliotokea wakati wa uchaguzi pande zote mbili bara na visiwani. Kwa mujibu wa sheria za kimataifa ikiwa kuna mauaji ya watu wamepoteza maisha zaidi ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya ACT-Wazalendo juu ya ukiukwaji wa kutisha haki za binadamu katika uchaguzi wa Zanzibar

    Jana kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalenda ndugu Zitto Zubeir Kabwe ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuelezea mambo mazito ya ukiukwaji wa haki za binadamu wa kutisha uliofanywa na vyombo vya usalama huko Zanzibar. Akieleza waandishi wa habari yaliyojiri, Ndugu Zitto alitoa...
  8. JamiiForums Tanzania Aida Khenan: Kama sikususia Uchaguzi siwezi kususia matokeo, CHADEMA iliniteua nikashinde na siyo kushiriki Uchaguzi

    Mimi sijahama CHADEMA na wala sitegemei kuhama, mimi ni Mbunge mteule kwa hiyo nitawatumikia Wananchi kwa imani ambayo waliniamini, labda chama changu kitakavyoamua kama itakuwa vinginevyo basi itafahamika. "Niliahidi kutokusaliti chama changu na kwa maana hiyo siwezi kuwasaliti wananchi...
  9. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo na CHADEMA wamefanya pakubwa ila sisi Wananchi ndiyo tumewaangusha. Tusiwaingilie katika maamuzi yoyote wanayochukua baada ya Uchaguzi

    Wanaonifuatilia humu wanajua mimi ni CCM. Lakini ni ile iliyokuwa CCM ya Mwalimu (RIP mzee wetu), siyo hii CCM ya sasa iliyojaa ulaghai mtupu. Kutokana na CCM kukengeuka, nimejikuta (siko peke yangu, tupo wengi sana) sina namna bali kuunga mkono jitihada na harakati zote zinazofanywa na vyama...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

    Anaandika Leonce Marto wa CHADEMA kupitia mtandao wa Twitter: Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinataka kamati za kudumu za PAC na LAAC ziongozwe na wapinzani, CHADEMA hatupeleki Wabunge wa Viti Maalum na hatutaki kunajisi chombo hiki muhimu cha wananchi. Mtakosa 2 Trillion...
  11. JamiiForums Tanzania Sabubu za CHADEMA kushindwa Uchaguzi Mkuu na Sababu za CCM kushinda Uchaguzi Mkuu 2020

    KWANINI CCM WAMESHINDA, NA WAPI WAPINZANI WAMEJIKWAA. TATHIMINI INALETWA NA DON NALIMISON. 1. KWANINI CCM WAMESHINDA? Tuangalie pande mbili Chanya na Hasi. Tuanze na MATOKEO Chanya: CCM ndio Chama kinachoshika Dola na hata Uchaguzi umefanyika TUME ya Uchaguzi ikiwa chini ya Dola ya CCM...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hadi sasa wafuasi 13 wa ACT-Wazalendo wamepoteza maisha kwa vurugu za uchaguzi

    Kwa upande wetu @ACTwazalendo na kutokana na Taarifa tulizokusanya mpaka sasa: Wananchi 13 wameuawa kwa kupigwa risasi na mabomu katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar, Watu 130 Wamejeruhiwa, Watu 120 Wamekamatwa na Polisi, mtu Mmoja Amebakwa na Watu 14 Wametekwa Akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chama...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA pamoja na kushindwa uchaguzi bado mna deni kubwa wa watanzania

    Najua fika kuwa mlitegemea hili anguko ila mlifanya siasa kwa mazoea kwa kudhania kuwa Tanzania ya 1995- 2015 bado ni ile ile. Hapana kabisa Tanzania ya leo sio kama hiyo mliodhania na kufikiria, sio Tanzania ambayo inahitaji wanaharakati au wanasiasa wajanja wajanja kama mlivyokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

    Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania. Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke, Kamala Harris...
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Urais, USA - 2020: Anavyopigwa Donald Trump (R) katika Ballot Box, ndivyo ambavyo alikuwa anapigwa John P. Magufuli (CCM)..

    Mfanano wa chaguzi hizi mbili: 1. Wote, Donald Trump (Republican) na John Magufuli (CCM) ni incumbent presidents waliokuwa wanatetea nafasi zao.. 2. Wote ni maRais wasema ovyo na wasiopenda kulaumiwa kwa makosa yao.. 3. Wote ni wapenda sifa na wakati mwingine kutaka sana kupenda...
  16. JamiiForums Tanzania Wito kwa ACT-Wazalendo na CHADEMA juu ya maisha baada ya uchaguzi

    Baada ya vituko vya tume za NEC na ZEC ,sasa wamekuja na mtego wakutaka kutushirikisha kuhalalisha wizi wao Naomba vyama hivi viwili na wakimjumuisha rungwe (Chauma) na NLD sio mbaya wafanye yafuatayo 1.Wasikubali kushirikishwa kwenye serikali ya muafaka wa kitaifa kule Zanzibar na pia...
  17. JamiiForums Tanzania Burkina Faso yaanza Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa November 22

    Rais wa Burkina Faso Roch Marc Chrstian Kabore, amezindua kampeni yake ya kugombea mhula mwingine madarakani, akiahidi kuimarisha usalama na amani nchini humo. Burkina Faso imekuwa ikikumbwa na mashambulizi kutoka kwa makundi ya wapiganaji kwa mda wa miaka mitano sasa. Akihutubia wafuasi wake...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Trump angekuwa Afrika angesha shinda kwa kishindo!

    Mabibi na mabwana huu ndiyo ukweli wenyewe: Donald Trump mgombea aliye madarakani huko Marekani kama angekuwa hapa Afrika (hasa Afrika mashariki), tayari angesha tangazwa kuwa ni ushindi, tena labda wa kishindo (80%+). Kama Marekani ingekuwa ni Tanzania, NEC ya Kaijage na Mahera ingeshamaliza...
  19. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa USA: Georgia kurudia kuhesabu kura

    Baada ya pressure toka kwa DT hatimae maafisa wa uchaguzi wa jimbo la Georgia wamekubali kuruduia kuhesabu kura zote zilizopigwa kwenye jimbo hilo. Source: BBc Swahili
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho Novemba 7, 2020

    Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Ndugu Zitto Zubeir Kabwe kesho Novemba 7, 2020 anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kuhusiana na masuala mbalimbali yaliyojili kwenye Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. Pia Kiongozi wa Chama atazungumzia mambo mbalimbali ikiwamo ukiukwaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…