uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania National Interest: Viongozi na Watendaji wa Tume ya Uchaguzi Wajiuzulu au Waondolewe

    Kabla sijasahau, let me remind my government that mobile money businesses are dying. Namaanisha vile vibanda. Baada ya hapo naomba nimpe shikamoo mama yetu. 1. Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa wa kishamba na wa kipuuzi sana. Ulituvua nguo. JPM was my hero. Alikuwa mzalendo. Lakini hili alilofanya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada katika uchaguzi wa kozi

    Mawazo yote yanaheshimiwa, Msaada unahitajika kwa wahitimu wa diploma. Ni kozi gani zinaweza kuwa na uwanja mpana kwa government, private na hata kujiajiri kati ya hizi? 1: Bachelor of Community Development 2: Bachelor in Human Resources Management 3: Bachelor in Economics 4: Bachelor in...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Uchaguzi wa Zambia ni ushindi kwa demokrasia ya Afrika

    SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa "Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mambo yaliyofanya kilichokuwa chama tawala cha Edgar Lungu kuanguka Uchaguzi Mkuu ni haya

    Mapema baada ya kupata matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Zambia nikasema ngoja nifuatilie nini kimesaidia chama hichi kuanguka baada ya wananchi wa nchini Zambia kuamua , nimefuatilia chanel mbalimbali za mitandao na Tv za ndani ya Afrika na nje ya Afrika kwa lengo la kujua kulikoni chama tawala...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CCM kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Ushauri kwa Chama Cha Mapinduzi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025: 1. IGP Simon Sirro aendelee kuimarisha jeshi la polisi na kuhakikisha anaendelea kutetea Chama Cha Mapinduzi, 2. Tume ya Taifa ya Uchaguzi iendelee na utaratibu wa kukata majina ya wagombea...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Polisi, Wakurugenzi, Wakuu wa wilaya/Mikoa na Usalama wa Taifa kuingilia uchaguzi kwa amri toka juu ndio kinaharibu, sio Katiba

    Sina tatizo na suala la kuwa na Katiba mpya, lakini tatizo langu ni kuona watu wakidhani Katiba mpya ndio suluhisho la matatizo ya kisiasa nchini. Huko ni kupotoka. Nchi kama Marekani wana katiba ya kidemokrasia sana, lakini leo wanalia Trump na kundi lake kufanya mambo kihuni tu na kwa mabavu...
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 20 tunashiriki uchaguzi, CHADEMA hatujakubalika, yaliyotokea Zambia hayawezi kutokea hapa Tanzania

    Ili chama kichukue dola lazima kikubalike kwa wananchi kuwa kina uwezo wa kutatua shida,kero na matatizo ya wananchi baada ya chama tawala kufeli. CHADEMA haijajenga imani kwa wananchi kuwa ni chama chenye uwezo wa kutawala na kutatua kero za umma. Wazambia wanajua kuwa ili kero zao zitatuliwe...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tujuzane yanayoendelea baada ya Uchaguzi wa Zambia 2021

    Wanasema ukisikia mwenzanko kanyolewa na wewe weka maji kichwa chako upate kunyolewa. Hali si nzuri huko kuanzia boda yetu na Zambia. Nasikia wachina washaanza kufunga virago wengine sijui walijiona wananchi wachinazambia. Tujuzane huko kinachoendelea.
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia alalamika kwamba uchaguzi haujawa huru na wa haki

    Mahesabu yanaonyesha anaendelea kushindwa na ameanza kulalamika........ ====== Zambian President Edgar Lungu has declared the August 12 presidential and parliamentary election “not free and fair”, citing incidents of political violence in three provinces. According to partial results...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Chama Tawala Zambia chadai uchaguzi haukua huru na wa haki

    Ni furaha ilioje? Hahahaha, wananchi wenye akili wamekamata magari ya kura fake wakachoma na kulinda NEC yao! Sasa Edgar Lungu anasema uchaguzi haukua haki wala huru. CCM ya Zambia inahaha. Polisi Tanzania ndio wanaisaidia CCM kubaki madarakani
  11. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

    Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Zambia: Mpinzani Hakainde Hichilema aongoza katika Majimbo 15

    Matokeo ya Awali yaliyotangazwa na Tume inayosimamia Uchaguzi Nchini humo mapema leo yameonesha Mpinzani Hakainde Hichilema anaongoza kwa Kura Amepata Kura 171,604 huku Edgar Lungu anayetetea nafasi ya Urais akipata Kura 110,178. Matokeo hayo yanajumuisha Majimbo 15 kati ya 156 yaliyopo Nchini...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu Zambia: Matokeo kutangazwa ndani ya saa 72

    Zoezi la kuhesabu kura linaendelea Nchini humo ambapo Tume ya Uchaguzi imesema matokeo kamili yatatangazwa baada ya saa 72 tangu zoezi la upigaji kura kumalizika. Mamilioni ya Wazambia wengi wakiwa Vijana walijitokeza kupiga kura, hali iliyolazimu baadhi ya Vituo kubaki wazi hata baada ya muda...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wazambia nao wafungiwa Mitandao ya Kijamii na Serikali baada ya Uchaguzi Mkuu

    Imekuwa ni kawaida sasa kwa nchi nyingi za kiafrika kuwanyima watu wake uwezo wa kupata habari kupitia mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook, TWITTER n.k hasa baada ya kipindi cha uchaguzi mkuu, Tukio hili limewakumba jana wananchi wa Zambia baada ya kujikuta mabando yao hayana. ---...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo: Tume huru ya Uchaguzi haileti chakula

    Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani. Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja baada ya uchaguzi wa 2020, CCM Bado inakwamishwa au imekwama?

    CCM walituambia upinzani wa kupinga kila kitu umekwamisha maendeleo Kati ya 2015 Hadi 2020. Wakaamua kusiwe na uchaguzi kuwe na uchafuzi. Leo hii tunaelekea mwaka mmoja toka wakae wenyewe kwenye kila secta naikiwemo Bungeni. Kwa maoni yako ni kweli wapinzani walikuwa wanawakwamisha au...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa hakuhoji uhalali wa tume ya uchaguzi kwenye kitabu chake. Wanaomnukuu hivyo wanapotosha

    An objective and fair electoral commission, which is acceptable to all parties is an essential pillar in the evolving democratic culture on the African continent. The composition of the electoral commission is often disputed in African countries, yet someone must appoint them. Then you must have...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Wito: CHADEMA chagueni Mwenyekiti mwingine, Mbowe kutoka ni ishu ya miaka

    Leo nimemsikiliza mzee mmoja mstaafu kutoka Kitengo cha Kupambana na Ugaidi Tanzania. Nimeshtuka sana pale aliponiambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi atoe amri baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshukiwa. Amenihakikishia kuwa trials za...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Kauli za Rais wa Brazil kuhusu udanganyifu katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2022 kuchunguzwa

    Mahakama Kuu ya Uchaguzi Nchini humo (TSE) imefikia uamuzi wa kumchunguza Rais Jair Bolsonaro kutokana na kauli zake zinazodai kutakuwepo udanganyifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2022. Bolsonaro ambaye anatarajiwa kugombea muhula wake wa pili mwakani amekuwa akisema mara kwa mara kwamba mfumo wa...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani vinajiaandaje kwa uchaguzi wa 2025?

    Tangu chaguzi za vyama vyingi za 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, na 2020 sababu kubwa wanayotuambia wapinzani kama sababu ya kushindwa chaguzi ni kuilalamikia TUME ya Uchaguzi kwamba sio huru hivyo haiwatendei haki. Je, 2025 kutakuwa na tume ya uchaguzi iliyo tofauti na zilizotangulia? Kama...
Back
Top Bottom