uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hili lisipofanyika naiona Damu Kubwa sana inaenda kumwagika Kenya baada ya huu Uchaguzi Mkuu

    Ili Kukonga nyoyo za kila upande Hasimu Team Ruto na Team Odinga yeyote atakayetangazwa rasmi na Supreme Court ya nchini Kenya kuwa ndiye Mshindi' amteue Mpinzani wake kuwa Waziri Mkuu Cheo ambacho kwa Katiba ya Kenya hakipo ila katika Mazingira tatanishi na kuleta Usawa na Utulivu huwa...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 MAHESABU YA KURA: Kumbe elimu ya Kenya ipo chini sana na upeo wa wakenya upo chini mnoo!

    Kituko kikubwa cha karne kuhusu hesabu leo kimeonekana huko Kenya baada ya makamishina wanne wa tume ya uchaguzi waliotangaza kujitoa kwenye mchakato wa kutangaza matokeo ya urais kuja na hoja finyu za ukilaza wa mahesabu. Mbali na sababu zingine walizozitoa, kubwa lilikuwa ni wao kujenga hoja...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

    Ndugu zangu wahenga walishasema "nyota njema huonekana asubuhi", kwa kazi nzuri na ya kutukuka anayoifanya Mh. Rais katika kuijenga Tanzania mpya, ni dhahiri uchaguzi ujao utakuwa mwepesi Sana kwake kuweza kupita. Kwa Sasa hakuna mpinzani yeyote mwenye mwelekeo wala nguvu ya kuweza kuja...
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Sikiliza Busara za Ansbert Ngurumo kutoka juu ya funzo kutoka uchaguzi wa Kenya

    Uchambuzi kutoka akili kubwa. Changia hoja na si matusi. Challenge hoja zake, then JF itakuwa na Great Thinkers. Msikilize CC Tundu Lisu; Mbowe Freeman, Godbless Lema
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Afisa wa Uchaguzi aliyetoweka akutwa amefariki

    Mwili wa aliyekuwa Msimamizi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika Jimbo la Embakasi Mashariki, Daniel Mbolu Musyoka, ambaye alitoweka akiwa katika eneo lake la kazi Agosti 9, umeokotwa Kajiado Maafisa wa Polisi wa eneo hilo, wamesema walitahadharishwa kuhusu kuwepo kwa mwili wa...
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi unatugawa sana -bora turudi kwenye uchifu

  8. JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi imemebaki Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

    Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kuchafua uchaguzi wa Kenya kwa kisingizio cha ukabila ni kujilisha upepo

    Nianze kwa kuwapongeza ndugu zetu wakenya kwa kumpata Rais aliyetokana na uchaguzi ulio huru, haki na uwazi ambao pengine siyo somo kwa waafrika tu bali pia hata katika baadhi ya mataifa ya mabara mengine. Humu wamejitokeza wanaJF ambao wamejipa kazi ya kuchafua jitihada nzuri Sana zilizo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022 Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025, nasi watanzania tutumie vifaa vya teknolojia (TIEMS). Vinginevyo...

    2025 nitagombea ubunge kwenye Jimbo fulani. Lkn ninasubiri kuona Kama nchi yetu itatekeleza mambo 3. 1. Katiba itabadilishwa. 2. Tume huru ya uchaguzi itaundwa. 3. Vitanunuliwa vifaa vya kielektroniki vya kunakiri na kuposti matokeo toka vituo vya kupigia kura kwenda tovuti ya Tume:- Tanzania...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

    Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana. Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi. Ukiwa kama mpinzani unalazimika...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Kozi

    Habari Wana JF. Naomba Kuuliza Kipi Hupewa Kipaumbele Katika Uchaguzi Wa Kozi.?? Ama Nini Mtu Aweze Kuangalia Katika Uchaguzi Wa Kozi.?? NB:Achana Na Ajira
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika...
  16. JamiiForums Tanzania KINANA: Urais wa Samia sio wa Kikatiba, amepatikana kwa Uchaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM),Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ameweka wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hasasan ni Rais kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amepatikana kwa mchakato wa uchaguzi mkuu kwa kupigiwa kura na wananchi. Kinana ametoa ufafanuzi huo...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya ulianza vizuri ni nini kimeusibu?

    Mbona huu uchaguzi wa Kenya walianza vizuri, watu tukajua ndani ya siku Moja mbili tutamjua Rais , lakini sasa ni takribani siku ya nne mambo bado, kunani tena?
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maafisa 3 wa Tume ya Uchaguzi Wafikishwa Mahakamani

    Esokon Bernard, John Nabian na Ekori waliokuwa wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Laisamis katika Kaunti ya Marsabit, wameshtakiwa kwa kutelekeza vifaa vya uchaguzi baada ya kufungwa kwa zoezi la kupiga kura Agosti 9 Maafisa hao wanadaiwa kukataa kupeleka vifaa hivyo, zikiwemo karatasi za kura...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Huu uwazi wa uchaguzi wa Kenya ni mageuzi makubwa sana! Kila mtu duniani anaweza kudownload matokeo na kujijumlishia

    Pale kituoni kura zikihesabiwa na kujazwa kwenye form (34A), kila wakala anaipiga pcha na kuwarushia watu wake, anapata hard copy kisha hiyo form inakuwa uploaded kwenye mfumo wa tume ya uchaguzi. Kila mtu anaweza kudownload na kujijumlishia ili kuona mwenendo wa mgombea yeyote, kisichotakiwa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Tangu uchaguzi wa Kenya uanze, Tanzania Rais angekuwa ametimiza siku tatu

    Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais. Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…