uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Democrat yahofia kuangushwa uchaguzi wa kati wa muhula Marekani

    Wamarekani wanapiga kura leo kuwachagua wabunge na maseneta, katika uchaguzi wa katikati mwa muhula wa urais wa Joe Biden. Katika uchaguzi wa leo, viti vyote 435 katika Baraza la Wawakilishi vinapiganiwa, huku kwenye Baraza la seneti, viti vilivyo kwenye kinyang'anyiro hiki vikiwa 35 kati ya...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG kubainisha wizi serikalini bila kuchukuliwa hatua yoyote, je ni maandalizi ya uchaguzi ujao wa mwaka 2025?

    Nimekuwa nikijiuliza swali hili kila mara bila kupata jibu, ni kwanini kila mwaka ripoti ya CAG inabainisha wizi wa mabilioni ya shilingi serikalini, bila ya kuchukuliwa hatua yoyote, je ni mkakati maalum wa Serikali hii ya CCM, kukusanya mapesa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Askofu akemea wizi wa uchaguzi mkuu 2020

    Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI YANGU Wizi huu wa kipumbavu ndio umesababisha mchi imepata laana kwa kukosa mvua na umeme kila mahali...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baada ya wizi wa kura na mwenyekiti wa CCM wilaya kutoka wajumbe, Uchaguzi wa CCM jimbo la Hai kurudiwa

    Kuna kila dalili uchaguzi wa ccm uliofanyika tarehe 1.10.2022 kurudiwa tena. Hii inatokana na kundi kubwa la wajumbe ambao ni wapiga kura kukutana leo na kuamua maamuzi ya kutokuwa na Imani na uchaguzi huo ambao uligubikwa na wizi was Kura, kuongeza Idadi ya wajumbe hewa Ili kuongeza Idadi ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vijana watajitokeza kwa wingi sana kumpigia kura Rais Samia uchaguzi Ujao, Ni uchaguzi utakaoweka Historia ya vijana kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Ndugu zangu kwa miaka mingi na kwa kipindi kirefu na kwa chaguzi nyingi vijana wa kitanzania wamekuwa wakijitokeza kwa kiasi kidogo Sana kupiga kura na kushiriki katika uchaguzi, Japo wakati mwingine wamekuwa wahudhuriaji Wazuri wa mikutano ya vyama vya siasa lakini wamekuwa wa mwisho linapokuja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Novemba Marekani: Biden aahidi kuruhusu utoaji wa mimba kwenye kampeni yake

    Inaonekana Biden anajua wamarekani wanapenda uovu wa utoaji mimba hata akashawishika kuwa atavutia wapiga kura kwa kuwaahidi kuruhusu tena utoaji mimba, kitu ambacho mahakama ya juu ya marekani ilishakizuia na kurudisha maamuzi yawe yanafanywa na serikali ya majimbo. Majimbo mengi hasa...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TAA Arnautoglo Hall 1953

    Uchaguzi wa TAA Arnautoglo Hall 1953
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

    Mimi ni muumini wa haki . Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki. Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska...
  9. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Wakili D'Souza kuongoza Kamati ya Uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Novemba 27

    Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) linatarajiwa kuziba nafasi za uongozi zilizo wazi Novemba 27 jijini Tanga. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa AT Wakili Jackson Ndaweka alisema, kikao cha kamati tendaji kilichofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba mosi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ana siku ya nne sasa hajatoka ndani; fedha ya sensa ameimalizia katika uchaguzi wa ndani wa chama na amekosa. Nimsaidie vipi huyu?

    Amemaliza chuo si miaka mingi sana, hajabahatika kuajiriwa bado. Mungu alimuona na kumjaalia ajira ya muda mfupi ya sensa iliyofanyika hivi punde, si haba, kamilioni hivi alikashika na kwa hakika ilikuwa pesa nyingi sana kwake kwani alikuwa hajawahi kufanya dili lolote la kufikia kiwango hicho...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Lijue Bunge la Afrika Mashariki na Jee Uchaguzi wa Wabunge wa CCM EALA Ulikuwa ni Uchaguzi Kweli Au Kiini Macho cha Uchaguzi?

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo ni makala elimishi kuhusu kulijua Bunge la Afrika Mashariki, EALA na kiini macho cha uchaguzi wa Wabunge wa EALA wa Tanzania uliofanywa na Bunge letu...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CCM Hai Kilimanjaro waingia dosari , iundwe Tume ya CCM kufuatilia

    Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura. Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya Kura zilizopiga. Kwa uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai unahitajika urudiwe na usimamiwe na viongozi wa...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Bunge la Tanzania wasiojua kingereza, walifanyaje uchaguzi wa wabunge wa Bunge la Afrika mashariki waliosailiwa kwa lugha ya kingereza?

    Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje anamsikiliza mtahiniwa/msailiwa kwa lugha ya kingereza wakati yeye haijui?halafu baada ya hapo anapiga...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Salamu za pongezi kwa washindi na washiriki katika uchaguzi ngazi ya UVCCM wilaya

    PONGEZI UVCCM WILAYA - SALAMU ZA PONGEZI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI WOTE KATIKA UCHAGUZI NGAZI YA UVCCM WILAYA Na Komredi, Ndugu Victoria Charles Mwanziva: Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Uongozi ni dhamana ambayo mtu hukabidhiwa na...
  15. mwanachuo

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi vinanufaikaje na uchaguzi wa ndani wa CCM?

    Chama Cha mapinduzi Kiko kwenye michakato ya Uchaguzi wao wa NDANI ila Cha kushangaza kwenye Kila uchaguzi hasa za wiki Jana za jumuiya vyombo VYA ULINZI na usalama vimekuwa mstari wa mbele kushiriki kwenye chaguzi hizo. Kuna wanaoshiriki Hadi kuhesabu kura ila hata kusimamia hizo chaguzi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari Umakamu mwenyekiti CCM hakuna kuachiana hadi uchaguzi ufike, hawataki unafiki tofauti na Chadema!

    Kwa mfano Dr Shein ndiye Makamu mwenyekiti wa CCM upande wa Zanzibar hadi sasa Dr Mwinyi ambaye ni Rais wa Zanzibar atapokea kijiti wakati wa Uchaguzi mkuu wa chama Mungu wa mbinguni ibariki CCM
  17. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Umeme wakati wakati wa kuhesabu kura.

    Leo wilayani ludewa kulikuwa na uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ccm na wajumbe wawakilishi.Ajabu umememe ulikatika wakati wa kuhesabu na jenereta halikuwaka wakati wa kuhesabu na wakati wa kutangaza limewaka hii itakuwa mbinu au nini?
  18. J

    JamiiForums Tanzania Zitto alalamika kundi la Magufuli ndani ya CCM kuihujumu maridhiano na kuinyima ACT mbunge EALA

    Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni Mpango wa wabunge wahafidhina...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 Urais tumpe Samia Suluhu, kura za Ubunge tuwape Upinzani

    Ndugu zangu habarini za Alhamisi. Ninaleta wazo kwenu kwenye uchaguzi wa 2025. Tukumbuke kuwa kwa sasa vilio vingi ni mambo ya TOZO kila uchwao, haya yametokea kutokana na ubutu wa Bunge letu hasa kutokana na kuwa wabunge tupu wa CCM ambao wamekuwa wanashindwa kuibana Serikali hasa katika...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Tume ya Uchaguzi imetangaza majina 18 ya Wagombea wa Urais

    Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) imebainisha kuwa Vyama Vya Siasa 18 vimesimamisha wagombea Urais na Wagombea Wenza akiwemo Atiku Abubakar wa Chama Cha Upinzani cha Peoples' Democratic Party (PDP) na Gavana wa zamani wa Lagos, Ahmed Bola Tinubu, wa Chama Tawala cha All Progressives...
Back
Top Bottom