Mhhhh! mgambo nao wanapewa rugu sasa kufanya wanachoweza na hivi hawa jamaa wanapenda sifa tutayaona mengi. Maana nakumbuka mama ntile walivyokuwa wanapata shida kutoka kwa mgambo na kumwangiwa vyakula vyao ni shida
=================
Zaidi ya askari 290 wa Jeshi la Akiba waliomaliza mafunzo...
Aliyekua Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Jamal Rwambow ambaye kwa sasa ni mgombea Ubunge kupitia ACT Wazalendo, Jimbo la Mbagala amesema, “askari yeyote anayo haki ya kukataa kufuata maelekezo ya mtu yeyote hata kama ni mkubwa wake kama maelekezo hayo ni kinyume cha sheria.”
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo awaapisha wananchi wa Kigoma mjini kumchagua Samia mgombea urais kupitia Chama hicho
Aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro na mwanasiasa mkongwe, Christopher Olesendeka, amesema wagombea wa Urais wa Tanzania kutoka vyama vya upinzani hawawezi kulinganishwa na mgombea wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika kampeni za ubunge jimbo la Mbulu Mjini mkoani Manyara hivi karibuni...
"Ili kukomesha ufisadi nitawaambia Idara ya usalama wa Taifa ndani ya miezi miwili wajenge bwawa la mamba pale Ikulu ili mtu akigusa kitu cha umma aogope na akiheshimu, akitumia vibaya atakumbana na bwawa la mamba pale Ikulu yangu" - Kunje Ngombale Mwiru Mgombea Urais kupitia Chama cha Wakulima...
Aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro na mwanasiasa mkongwe, Christopher Olesendeka, amesema wagombea wa Urais wa Tanzania kutoka vyama vya upinzani hawawezi kulinganishwa na mgombea wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza katika kampeni za ubunge jimbo la Mbulu Mjini mkoani Manyara hivi...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, ametoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuacha kuwashambulia wananchi wanaojitokeza kuonesha hisia zao katika masuala yanayohusu maisha na mustakabali wa taifa.
Golugwa ameyasema hayo wakati wa mazungumzo...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali hoja iliyokuwa umewasilishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini, ambaye alidai kuwa Polisi kupitia amri ya ZCO waliwatoa watu (viongozi na wafuasi wa CHADEMA) waliofika Mahakamani...
Waziri wa zamani, Lazaro Nyalandu, amewasihi viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hanang mkoani Manyara kuhakikisha mipango inafanyika ili watu wenye ulemavu na wazee waweze kufika kwenye vituo vya kupiga kura.
Nyalandu ametoa kauli hiyo jana Septemba 16, 2025 katika mkutano wa...
Lucy Simon Shayo amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro asubuhi hii. Lucy Shayo anatuhumiwa na kuchapisha na kisambaza taarifa za uongo mitandaoni kwamba CCM wanatumia magari ya jeshi katika mikutano yao ya kampeni.
Kumshikilia mtuhumiwa kwa siku sita bila kumfikisha mahakamani kunazua...
Mgombea Ubunge Jimbo la Hanang Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Asia Halamga amesema kuwa m iwapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge Wa Jimbo hilo atahakikisha anamalizia miradi iliyoanzishwa anamalizia na kujenga miundombinu ya huduma muhimu Katika kata ambazo hazijafikiwa na huduma hizo.
Halamga...
Mwigizaji Jacqueline Wolper ameeleza kuwa ameumizwa sana na jambo lililotokea jana Septemba 15, 2025 kati ya wanachama wa Chadema na polisi katika viunga vya mahakamani, kwenye kesi ya Tundu Lissu baada ya kuonekana Polisi wakiwashambulia kwa virungi na kujeruhi.
Amesema, "Mimi ni kioo cha...
Leo Polisi wanazuia watu kuingia ndani ya chumba cha mahakama, kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, wakidai mahakama imejaa lakini ndani hali ni hii.
Watu wametoka nje ya chumba cha mahakama kushinikiza watu waliozuiwa kuingia mahakamani waruhusiwe...
Mawakala wa Mabasi Kituo Kikuu cha Mabasi Mkoani Dodoma wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa ujenzi wa Kituo hicho, wakikitaja kama Mkombozi wa Vijana wengi Mkoani humo ambao wamekuwa wakijishughulisha na shughuli mbalimbali Kituoni hapo ikiwemo ujasiriamali na biashara ndogondogo...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bakari Shingo, amesema uteuzi wake si wa bahati mbaya bali ni dhamira ya chama chake kuhakikisha changamoto zinazowakabili wananchi wa Ukonga zinapatiwa ufumbuzi.
Akizungumza Septemba 15, 2025 katika uzinduzi wa kampeni...
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya Awamu ya Nne, Lazaro Nyalandu, amesema kuwa safari yake katika mikoa ya Singida, Tabora, Kigoma na maeneo mengine kumnadi mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amethibitisha kuwa hamasa ya wananchi ni...
Aliyekuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Jamal Rwambow ambaye kwa sasa anagombea Ubunge wa chama Cha ACT Wazalendo, Jimbo la Mbagala ambaye amefunguka mengi sana.
Soma > Aliyekuwa Kamishna wa Jeshi la Polisi, Jamal Rwambow ajiunga na ACT Wazalendo
Mgombea wa kiti cha urais kupitia chama cha ADA Tadea Mheshimiwa Juma Ali Khatibamesema lengo la chama cha ADA TADEA ni kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali na kueka matumaini ya kuendelea kuongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mgombea kupitia Tiketi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.