uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais unaanza kujadili mpira kwenye kampeni badala ya kunadi sera zako watu wakuskilize, hivi CHAUMMA mnatuonaje wananchi?

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa neno mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa jana Ametoa neno hilo leo septemba 17 akiwa Kasharunga, Muleba mkoani Kagera akiendelea na kampeni zake kuomba kura kuelekea Oktoba 29 mwaka huu. Chanzo: Nipashe
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto nyumba kwa nyumba kuzisaka kura za ubunge

    Katika kuzisaka kura za Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, leo septemba 17, 2025 kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametembela nyumba moja baada ya nyingine kuomba wananchi kura hizo katika Kata ya Kagera. Soma pia: Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Wagombea kukwepa kufanya kampeni bila kuchukuliwa hatua za kisheria, ni njama ya kuvuruga demokrasia na kuwadanganya wananchi?

    Wakuu! Nimekuwa nikifuatilia kwa makini kampeni za Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Ni dhahiri kwamba baadhi ya wagombea wanakabiliwa na changamoto za kifedha ambazo zinawazuia kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni, licha ya kuwa wameruhusiwa kisheria na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC). Kwa kweli...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitila Mkumbo apita mtaa kwa mtaa kuomba kura

    Profesa Kitila Mkumbo, mgombea ubunge wa Ubungo kupitia CCM, ameendelea na kampeni zake Kata ya Mabibo akifuatana na mgombea udiwani Ashura Seng’ondo. Wananchi wametaja changamoto kubwa kuwa ni barabara ya Bint Kayenga, hususan kipindi cha mvua. Prof. Kitila ameeleza kuwa barabara hiyo ipo chini...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Florence Samizi kuboresha huduma za afya Muhambwe

    Mgombea Ubunge Jimbo la Muhambwe kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Florence Samizi, ambaye anatetea kiti chake amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita Jimbo la Muhambwe lilipokea zaidi ya Bilioni 50 ambazo zimejenga miundo mbinu mbalimbali ikiwemo sekta ya Afya hivyo kuboresha...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Wananchi mko salama, asiwatishe Mtu, hakuna mwenye mamlaka yakuzuia haki ya kuchagua au kuchaguliwa

    Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema, "Wananchi asiwatishe Mtu yeyote, mko salama, Serikali na Vyombo vyake itafanya lolote linalowezekana kuhakikisha Watanzania hawabugudhiwi kupata haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa" "Tunafahamu hao wanaofanya Kampeni za kuvunja...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tazama usafiri wa mgombea urais wa ACT Zanzibar akisaka kura

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman leo Jumatano Septemba 17,2025 akikatiza mitaa mbalimbali ya Kojani kisiwani Pemba, ikiwa ni kampeni za kusaka kura za urais kwa wananchi wa kisiwa hicho kilichopo mkoa wa Kaskazini Pemba. Picha na Bakari Kiango. Soma...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 RPC Marko Chilya: Hakuna anayeweza kuzuia uchaguzi

    Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma limewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya vurugu au uhalifu kuelekea siku ya kupiga kura ya uchaguzi mkuu itakayofanyika Oktoba 29, mwaka huu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marko Chilya, ametoa kauli hiyo katika mahojiano maalumu na mwandishi wa habari...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Wanaosema wasishiriki uchaguzi, wanapoteza muda, huwezi kusema uchaguzi haupo

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema, "Lakini natambua kwamba kuna watu wanafanya Kampeni mtandaoni kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi, wanapoteza muda hili ni takwa la kikatiba....huwezi ukaibuka ukasema uchaguzi haupo."
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Mpambano wa CCM na CHAUMMA ni Mustakabali wa Maisha yetu siyo Mchezo wa Simba na Yanga

    Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Nyankumbu, mkoani Geita, Septemba 16, 2025 alisema Mpambano uliopo kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) uchaguzi wa mwaka huu...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwabukusi: Futa wakuu wa wilaya, futa wakuu wa mikoa, hakuna kazi wanayofanya

    Mdau unayajua majukumu ya mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya? "Futa wakuu wa wilaya, futa wakuu wa mikoa, hakuna kazi wanayofanya" Boniface Mwabukusi, Rais wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS).
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahinyila: Uwakili sikuokota barabarani, Polisi hawawezi kunielekeza chochote nikiwa kazini kwangu

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila, amezungumza na wanahabari Jumanne, Septemba 16, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu kadhia iliyojitokeza Septemba 15, 2025 kati yake, wafuasi wa CHADEMA na maafisa wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukienda kupiga kura mwaka huu, wewe ndiyo tatizo la Tanzania!

    Ukienda kupiga kura mwaka huu wewe ndiyo tatizo la Tanzania!. Unajua kabisa kura zinaibiwa tena kura yako hata haihesabiwi. Unajua kabisa wapinzani wamezuiliwa kwa kuwekewa mapingamizi au kesi zisizo na mbele wala nyuma. Unajua kabisa kuna ushahidi wa wizi wa kura 2020 na 2024. Unajua kabisa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Ahamasisha Wafanyabiashara Mbeya Kupiga Kura Oktoba 29

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mkoa wa Mbeya amekutana na makundi mbalimbali ya wafanyabiashara ndogondogo zaidi ya 3000 jijini Mbeya na kuwaomba kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025 Rais Samia, Wabunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shilole: Uwezo wa Mama kwenye siasa ni mkubwa mno. Kwa kweli ni Role Model

    TATHMINI YANGU MIKOA 10. . Mimi kama msanii, Namshukuru Mungu, naishukuru CCM kupitia Mwenyekiti wake na Mgombea Urais, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa nafasi ya kwenda mikoani kwenye kampeni. Kama msanii, mimi na wenzangu tulikuwa na jukumu la kuburudisha...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana msijuhusishe na siasa za mihemko zinazoweza kusababisha machafuko

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kuwachagua viongozi ngazi ya Udiwani, Ubunge na Urais, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu, vijana Mbeya Mjini, wametakiwa kuacha kujihusisha na siasa za mihemko zinazoweza kusababisha machafuko. Rai hiyo imetolewa na mgombea wa nafasi ya Udiwani, Kata...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa dini Kigoma aeleza sababu za kumchagua Rais Samia uchaguzi mkuu 2025

    Mmoja wa Viongozi wa Dini kutoka Manispaa ya Kigoma amesema wameshuhudua mabadiliko makubwa Mkoani humo tangu Rais Samia Suluhu ashike madaraka. Ametaja miradi mbalimbali iliyotekelezwa na kuwaasa wananchi kumchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuendelea na uongozi wake katika nafasi ya Rais wa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shafini Sumar aomba Kura Uyui ili Kusimamia Ilani na Ahadi za Rais Samia

    Mgombea Ubunge Jimbo la Uyui kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Shafini Sumar akiongea katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika Jimbo la Uyui kata ya Mabama Wilayani humo amewaomba Wananchi kumpa kura za kutosha Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi na kumchagua yeye mbunge ili akasimamie ilani...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nafanya biashara kwa sababu ya mama Samia

    Naona machawa wanaendelea kukichufua na kumkingia kifua Rais Samia Lakini nikiitizama hii video ya hawa wafanyabiashara naona walilamba asali kwanza ndio wakapata nguvu ya kuongea yote
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chaumma yaahidi Mfumo Wazi wa Usimamizi wa Miradi ya CSR Iwapo itaingia Madarakani

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimeahidi kuweka mfumo wa uwazi na kudumu wa usimamizi wa miradi ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) ikiwamo migodi, iwapo kitachaguliwa kuongoza nchi Oktoba 29, mwaka huu. Kampuni zinatakiwa kutumia sehemu ya mapato yao kupitia CSR kuwekeza katika...
Back
Top Bottom