Kausha damu inalea sana watu wengi mtaani, sasa Bw Zitto kusema utaiondoa naona ni kama ni uongo mtupu!
================
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema atakomesha mikopo ya kausha damu jimboni humo pindi akichaguliwa.
Felista Njau, ameibua mbinu mpya kwa kuacha mikutano ya hadhara na badala yake kuingia moja kwa moja masokoni, akiwafikia wakina mama na wafanyabiashara wadogo.
Njau, ambaye sasa ni sehemu ya timu ya kampeni za CCM, anasema mkakati huo unalenga kuwafikia makundi ambayo mara nyingi hayapati...
Kuna baadhi ya vijana wanachokizungumza hakileti maana yoyote kwenye maendeleo yao binafsi, wanaishia kufanya uchawa usio na manufaa kwao
=================
Baadhi ya Vijana kutoka Visiwani Zanzibar wameeleza namna ambavyo Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt Samia Suluhu Hassan...
Nimemuona Mgombea ubunge jimbo la Ubungo Profesa Kitila Mkumbo akifanya shughuli za ujenzi, lakini pia amefika hadi ofisi za kubeti ili kuomba kura kutoka kwa wananchi hao
Sasa swali je ataendelea kuwatumikia zaidi wananchi hata pale atakapoupata huo ubunge au ndio danganya toto...
“Tunakwenda kwenye Uchaguzi Mkuu. Nawaomba sana ndugu zangu, twende tudumishe amani na utulivu. Uchaguzi siyo vita, ni tendo la kidemokrasia – watu kwenda kwenye utaratibu uliowekwa, kuweka kura zetu, kurudi nyumbani na kutulia ili nchi ibaki salama.
Si kila mara kushika silaha kunaleta suluhu...
Wanachama wa Chama Cha ADC Zanzibar wamefurahishwa na sera za Mgombea wao wa Urais wa Zanzibar Hamad Rashid Mohammed kutoka na sera zake hasa ya sera ya Shibe Kwanza ambayo inewapa matumaini makubwa.
Wakizugumza baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wafuasi...
Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema maendeleo ni mchakato wa hatua endelevu na hakuna awamu inayoweza kuyakamilisha yote.
Akizungumza leo kwenye mkutano wa kampeni Makunduchi, visiwani Zanzibar, Dkt. Samia...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Onyo kwa wale wanaotaka kuvuruga Amani siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025 na kwamba "Vyombo vya Ulinzi na Usalama JTM na vya Zanzibar vimejipanga vyema kulina nchi yetu, sasa hutaki 'Kishindo' kapige Kura rudi nyumbani tulia, tumejipanga vyema..."
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaeleza wakazi wa Mkoa wa Kusini Unguja kuwa endapo watampa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali yake itajenga Kituo cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa ajili ya kuenzi na kulinda...
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema endapo Watanzania watakipa ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuongoza nchi, serikali ya chama hicho itahakikisha inaendelea kulinda amani, umoja na maridhiano akieleza kuwa mambo hayo ndio...
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Balozi Simon Sirro, amewataka vijana kutumia muda wao kufanya kazi kwa bidii badala ya kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii kulalamika.
Sirro amesema vijana wanapaswa kujiuliza kila siku, kuanzia asubuhi hadi jioni, ni kazi gani wamefanya kwa ajili ya familia...
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga leo Septemba 17 amefika katika Soko la Kachoma mjini Tabora kuongea na Wafanyabiashara Soko hilo kwa lengo la kuwasikiliza na kuwaomba kura za Ubunge.
Mwaifunga akiwa katika Soko hilo ameeleza kuwa ameamua...
Mtoto wa Rais Samia bibie Wanu naye amuombea kura mama yake pamoja na Dkt Mwinyi huku akitanguliza na msemo ukisema "paka wanyumbani afukuzwi" Mama yake naye akauunga mkono kwa asilimia zote
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Rwamugira, amesema katika mahojiano na Bongo FM kwamba endapo atapewa ridhaa na Watanzania Oktoba 29, 2025 ya kuwa rais, ataweka utaratibu wa kuhakikisha matibabu ya afya yanatolewa bure kwa...
Katika kampeni zinazoendelea, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, alisisitiza Sera ya Maji, akizungumza mbele ya wananchi wa Musoma Mjini.
Akitoa kauli yake, alisema: "Ni jambo la aibu kwamba tunaishi na maji lakini hatuna maji," kauli iliyolenga kuibua mjadala kuhusu changamoto ya...
"Tunapita mtaa kwa mtaa, kijiwe kwa kijiwe, Namuombea kura Rais. Mimi nagombea Udiwani Kariakoo, watakaopiga kura Kariakoo naomba kura kwangu lakini muwachague wabunge wangu wa CCM na madiwani" Alisema Manara na kuongeza kuwa.
"Nimeingia kwenye hii daladala, Naomba kura. Na maana ya kupita...
Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa neno mechi ya Simba na Yanga iliyochezwa jana
Ametoa neno hilo leo septemba 17 akiwa Kasharunga, Muleba mkoani Kagera akiendelea na kampeni zake kuomba kura kuelekea Oktoba 29 mwaka huu.
Chanzo: Nipashe
Katika kuzisaka kura za Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, leo septemba 17, 2025 kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametembela nyumba moja baada ya nyingine kuomba wananchi kura hizo katika Kata ya Kagera.
Soma pia: Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini...
Wakuu!
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini kampeni za Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Ni dhahiri kwamba baadhi ya wagombea wanakabiliwa na changamoto za kifedha ambazo zinawazuia kuzunguka nchi nzima kufanya kampeni, licha ya kuwa wameruhusiwa kisheria na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).
Kwa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.