Mgombea ubunge wa Temeke kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewa-omba wakazi wa Temeke kumchagua kuwa mbunge wao ili kuweza kuwakilisha kero zao bungeni, ka-ma alivyowahi kufanya kwa wananchi wa Mtwara wakati wa mgogoro wa gesi na mambo yakawa sawa.
Sheikh Ponda amesema...
ampeni za Uchaguzi Mkuu zimeendelea katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, ambapo baadhi ya wakazi wametoa ombi kwa mgombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bahati Ndingo, kusimamia agenda ya upatikanaji wa ardhi ya kutosha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.
Ombi hilo limeibuliwa...
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Alihaji Shekhe Ibrahim Mavumbi, ametoa wito kwa wananchi wote bila kujali dini wanayo abudu, kujitokeza kupiga kura ifikapo Oktoba 29, mwaka huu, ilkutekeleza haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi watakao waongoza.
Mgombea Urais kwa tiketi ya CHAUMMA, Salum Mwalim amewaomba wananchi wautumie vyema uchaguzi kuleta viongozi bora baada ya kuwapima nia na uwezo wao wa kuchagiza maendeleo.
Mwalim ametoa rai hiyo alipokuwa akinadi sera na kuomba kura kwa wananchi wa Sengerema kama anavyoeleza Emmanuel Kalemba...
Kutoka vyanzo vya kuaminika kwa asilimia 99.99 ni kwamba Ndani ya ACT Wazalendo ni watu wawili tu walio ahidiwa kubewa ubunge au kupewa ubunge nao ni Zitto Kabwe na Ado Shaibu katibu mkuu wa ACT Wazalendo. Hawa wana baraka kutoka Ikulu kwa Mamana pia hata kwa Mgombea mwenza wa CCN Nduhmgu...
Watu mbalimbali mashuhuri nchini Tanzania wamelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga kwa virungu baadhi ya wafuasi wa CHADEMA ambao waligoma kuondoka katika nje ya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya kuambiwa ukumbi umejaa.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigamboni, Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Wakili Mwanaisha Mndeme ameahidi kuwa endapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo hilo, atakuwa sauti ya wananchi katika kuibua, kufuatilia na kutatua changamoto zinazowakabili kwa muda mrefu...
"Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi.
Pia soma > Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi
"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji...
Jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu, masjala ndogo ya Dar es Salaam, ambao ni Jaji Dunstan Nduguru, Jaji James Karayemana na Jaji Ferdinand, wametupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Tundu Lissu kwenye kesi ya uhaini na kusema kuwa hayawezi kuifanya mahakama hiyo kukosa mamlaka, leo...
Polisi zaidi ya 10 wakimshambulia mwananchi nje ya mahakama, mwananchi huyu alifika kufuatilia kesi ya Mh. Tundu Lissu leo.
PGO inawaelekeza askari wote, kujiepusha na vitendo vyote visivyo vya kibinadamu au vyenye kushusha heshima ya mtu kwa mazingira yoyote kwani havivumiliki kwa Polisi...
Huyu ZZB , amekuwa mnafiki Sana , Kama anawatengenezea Ccm mazingira ya kupata 99.9% na kuwatumia wenzake sio sahihi .
CCM ina mbinu zake za kupata ushindi , Ila pia Ccm hakuna kitu wanaogopa Kama kupata mtu anayewafunua nguo.
Kwa katiba ya ACT, kwa Zitto na n.k maana yake wanajua na...
Katika uchaguzi wowote, mara nyingi taarifa huibuka kabla ya matokeo rasmi. Matokeo yanayovuja mtandaoni yanaweza kuchanganya mawazo na kuibua mashaka. Je, wewe unakabiliana vipi na taarifa hizi kabla ya kutolewa rasmi na mamlaka?
Soma Pia: GE2025 - Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni...
Tanzania Zanzibar hakuna maralia lakini Tanzania Bara kuna maralia ambapo inauwa watoto, wa mama wajawazito na hata wazee, lakini ulikuwa unawezo wa kumaliza ugonjwa la Maralia, na uwezo ulikuwa nao hiyo ni kulinda maslai ya watu fulani kwa sababu ya bishara ya dawa
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ameainisha sababu za Watanzania kumpa kura Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mbele ya mgombea mwenza wa Urais Dkt. Emmanuel Nchimbi uliofanyika mkoani Arusha...
Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Lambert Kaiza amesema licha ya changamoto za kiuchumi anazodai zimesababishwa na uongozi uliopo chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wananchi wameendelea kutafuta riziki kwa juhudi zao wenyewe, hivyo...
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika kampeni kunadi sera Kigoma Mjini amewaahidi wananchi kuwa watahakikiha barabara zote za vijijini ambazo hazipo kwenye mpango wa kujengwa kwa lami inajengwa kwa changarawe ili kupitika misimu yote mwaka mzima
Pia...
Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amewahakikishia wananchi kuwa katika miradi yote iliyoanzishwa na kutekelezwa na serikali kama kuna maeneo ya wananchi...
Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini leo Septemba 14, 2025 akiendelea na kampeni za CCM amesema serikali yake imejidhatititi kukuza uchumi wa Mkoa wa Kigoma kwa kuboresha na kukamilisja ujenzi wa barabara, anga, reli na...
Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika kampeni Kigoma Mjini ameeleza namana mikakati na miradi ya maendeleo iliyowekwa na serikali ya awamu ya tano kuwa imekamilika
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitaweka pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kikidai kuwa uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 14 Septemba 2025 jijini Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.