Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Ushirika cha Wilaya ya Tandahimba na Newala (TANECU LTD) Karimu Chipola amemuombea kura Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na mchango wake mkubwa katika sekta ya kilimo, hususan zao la korosho
Akizungumza katika uzinduzi wa...
Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mohamed Mchengerwa anaweka wazi kuwa endapo akipewa ridhaa na Wananchi wa Rufiji kuwa Mbunge katika awamu ijayo ya Miaka Mitano ambapo ameahidi ongezeko la Viwanda ili kukuza Ajira kwa Vijana Mjini hapo.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Bunda Mjini Mkoani Mara Esther Bulaya amezindua kampeni za ubunge katika jimbo hilo huku akitaja vipaumbele mbalimbali atakavyohakikisha anasimamia baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge
Tume huru ya uchaguzi Tanzania inatgkiwa itoe ufafanuzi wa kanuni na sheria juu ya watoto kuhusishwa kwenye kampeni za siasa
Sidhani kama hawa watoto wanauelewa wa chochote
=========
Mkutano Wa Uzinduzi wa Kampeni Za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata Ya Vingunguti, na meya wa jiji la dar ameeleza...
Sintofahamu imeibuka katika eneo la Usinge Jimbo la Kaliua Mkoani Tabora kabla ya mapokezi ya mgombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Gombo Samandito Gombo baada ya baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kufika kwenye eneo hilo na kuanza...
Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa leo kufanya Kampeni ya kuomba kura Kigoma Mjini, ambapo kupitia Mahojiano ya Wasafi TV baadhi ya wananchi wa Kigoma wameeleza kupendezwa na mgombea huyo wakidai kauli mbiu ya mitano tena haitoshi kuwa ingefaa...
Mgombea ubunge wa jimbo la Kilombero kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abubakar Asenga ameahidi kutatatua changamoto ya miundombinu ya barabara za mitaa kwa kupata kilomita 10 za kiwango cha changarawe kila kata, ahadi hizo ametoa kwa wananchi wa jimbo hilo na kuomba apewe ridhaa ya kuendelea...
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amesema kuwa endapo akipata ridhaa ya kuwa Mbunge kwa awamu nyingine ataongeza na kuboresha miundombinu ya Elimu, Afya, Barabara pamoja na Maji ili wananchi Wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Askofu Bagonza ameandika tafakuri hii:
FIKIRI MPAKA UTOKE JASHO: Usihukumu na Usibariki.
1. Ukiona makatibu wenezi wa Upinzani wanapita nyumba kwa nyumba kukusanya kadi za wapiga kura na namba za NIDA wakati chama tawala kiko kimya ujue wapinzani wanataka...
Kwa mujibu wa Katibu wa UVCCM mkoa wa Pwani Iddy Ntonga amesema hawatomvumilia mtu yeyote anayehatarisha amani ya nchi na hawatakuwa tayari kuwa naye .
Amesema mtu anapataje ujasiri wa Kumzungumzia kirahisi Rais Samia huku akisema watu hawa wapo ikiwa ni siku chache zimepita wakati wakiendelea...
Nimewasikiliza wagombea wengi wa udiwani kupitia CCM hasa nafasi za ubunge na udiwani. Hakuna wanachonadi hiyo ilani yao na sera zao.
Watanadi vipi ilani ambayo kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru ni hayo hayo tu maahadi yasiyotekelezwa?
Kipi kipya? Kero za maji, afya na hata elimu ni zilezile...
Kampeni za kituo kwa kituo, mtaa kwa mtaa zinazofanywa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Professa Kitila Mkumbo zimeendelea kusonga ambapo Septemba 12, 2025 alikitembelea kijiwe cha kahawa kilichopo Tabata Mwananchi, jijini Dar es Salaam.
Alipotembelea...
"CCM inakubalika kutokana na mambo yaliyofanyika makubwa. Huko ukienda kwenye majimbo, kazi zilizofanywa na Dkt. Samia ni kubwa haijawahi kutokea, haijawahi kutokea! Ukienda kwenye afya, ukienda kwenye maji...kwenye afya zipo zahanati na hospitali zingine zinakosa wagonjwa",- Sanga.
Aliyekuwa...
Kiongozi mstaafu wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mgombea urais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman kwa tiketi ya chama hicho ndiye anayefaa kuongoza kisiwa hicho kutokana na kuwa mstari wa mbele wa kupigania masilahi ya Wazanzibari.
Zitto ameeleza hayo leo Jumamosi Septemba 13, 2025 wakati...
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema akipata ridhaa ya kuongoza dola, ataanza na marekebisho ya Katiba ili kuvifanya visiwa hivyo kuwa mikononi mwa Wazanzibari.
Othman ameahidi Wazanzibari watakuwa na uhuru wa kuhoji kuhusu mwenendo wa uendeshaji...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atafuata nyayo za Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa kusimamia maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha zao la pamba linarejea kwenye heshima yake...
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Pinda amesema Tanzania ni nchi ya Amani na Dkt Samia amekuwa akihubiri hilo, hivyo wananchi Wasidanganywe na wababaishaji ambao wanataka kuharibu Amani ya Tanzania.
Mizengo Pinda amesema hayo katika Mkutano wa Kampeni za Urais zinazoendelea Kigoma akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.