uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 PICHA: Sura za wanaodaiwa ni Askari walioshiriki kuua maelfu ya Watanzania

    Hawa watu kwenye hizi picha ni Polisi na TISS. Hawa ndo walikuwa wanapita mitaani na kuwaminia risasi ndugu zetu, hawa watu wameuwa maelfu ya Watanzania. Ukizoom sura zao zinaonekana, umemtambua yeyote?
  2. R

    GE2025 George Musamali: Walitarajia watu wa Bara ni watulivu, kuzimwa kwa Intaneti linachochea uchafuzi zaidi Tanzania

    Mchambuzi wa masuala ya kiusalama George Musamali akiwa katika Mahojiano na Shirika la Habari BBC alijibu swali hili, Je dalili za vurugu zilikuwepo mapema au habari za kiintelijensia zilipuuzwa? Alieleza kuwa ilitarajiwa kuwa watanzania wa Bara ni watulivu na hata mamlaka mbalimabali za...
  3. w0rM

    GE2025 Hii ni ajabu! Aliyeshinda kwa asilimia kubwa kiasi hicho ameapishwa bila hata wale waliodaiwa kumpigia kura kuwepo uwanjani

    Uchaguzi wa mwaka huu, ambao Dkt. Samia Suluhu Hassan amechaguliwa tena kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili wa Serikali ya Awamu ya Sita, umeniacha nikiwa na mshangao mkubwa na sina shaka Watanzania wengi wanahisi vivyo hivyo. Asilimia alizopata mgombea huyu zinafanana kabisa na zile...
  4. Waufukweni

    GE2025 Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi

    Baadhi ya wananchi wakiwapelekea Polisi maiti ya waandamanaji waliopigwa risasi wakati wa maandamano yaliyokuwa yakiendelea huku wakisema mmeua chukuweni.
  5. comrade_kipepe

    GE2025 Baada ya kuonyesha kilichojiri kwenye Uchaguzi 2025, chaneli ya Al-Jazeera yazuiwa (blocked) kwenye visimbuzi vya Tanzania

    Baada ya kuonekana Al Jazeera hawapepesi macho wala kuuma maneno, wameona waiondoe kwenye ving'amuzi vingi Tanzania ili watu walio Tanzania wasione video za kutisha. Kila siku Al Jazeera walikuwa wanaelezea na kuonyesha video za mauaji Tanzania.
  6. THE BIG SHOW

    GE2025 Hongera Rais Samia kwa kusimama imara kwenye majaribu, wazalendo wa kweli tupo nyuma yako

    Friends and Our Enemies, 'How you do anything,is how you do everything'..Dante... Kongole nyingi sana kwako Madam President Samia kwa kusimama imara wewe kama Amiri Jeshi Mkuu na Jeshi pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kipindi hiki kigumu cha majaribu katika utawala wako...
  7. Waufukweni

    GE2025 LHRC: Tume huru ichunguze mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu Uchaguzi Mkuu 2025 na wahusika wawajibishwe

    TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025. Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
  8. PAYE

    GE2025 Marais wanne tu wa Afrika wahudhuria uapisho wa Samia, huku majirani - Kenya, Uganda, DRC na Rwanda wakiupotezea

    Ni marais wanne tu wa Afrika waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Samia, ambayo ilifanyika katika kituo cha kijeshi, Dodoma. Marais wa nchi jirani za Kenya, Uganda, DRC na Rwanda hawakuhudhuria tukio hilo. Waliohudhuria ni Hakainde Hichilema wa Zambia, Évariste Ndayishimiye wa Burundi...
  9. Heparin

    GE2025 Wachezaji 7 wa mpira (chini ya Miaka 20) wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa majumbani mwao

    VIRAL SCOUT MANAGEMENT OFFICIAL STATEMENT Condemnation of the Tragic Killings of Our Young Talents Viral Scout Management is heartbroken to announce the devastating loss of seven promising young football talents under our management: Rajabu Rajab (17), Anthony Rico (18), Abdulqareem Ali (16)...
  10. S

    GE2025 Tujadili kuhusu yaliyotokea wakati wa uchaguzi

    HII NIMEONA KWENYE MOJA YA COMMENT KWENYE FACEBOOK Wakati mnawashawishi vijana wafanye fujo mliwaita jina la GENZ. Haya vijana wakavimba vichwa wakaiga ukichaa wawakenya bila kujua kwamba wanacho enda kukifanya kitawapelekea madhara Yule fala Mange Kimambi na washenzi wengine wengineo wanao...
  11. M

    PostGE2025 Pumzika kwa amani Kelvin Lameck, mwandishi wa Baraka FM - Mbeya aliyeuawa akiwa kazini

    Huyu anaitwa Kelvin Lameck alikuwa mwandishi wa radio inaitwa Baraka FM. Ameuawa akiwa kazini kufuatilia maandamano wakati wa Uchaguzi. Kifo chake kimeacha simanzi kubwa miongoni mwa familia, marafiki, na wasikilizaji wake waliompenda kutokana na ucheshi na bidii yake kazini. Kelvin alikuwa...
  12. figganigga

    GE2025 Sho Madjozi: Watanzania ni watu wapole, kufikia hatua ya kupambana ni ishara kuna jambo kubwa limefikia kikomo

    ‎Msanii mashuhuri kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, ametoa ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram akielezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu marafiki na Watanzania kwa ujumla, kufuatia kile kinachoendelea nchini Tanzania baada ya maandamano na machafuko yaliyosababisha vifo, majeraha na...
  13. ngara23

    GE2025 INEC mmeonyesha ulimwengu mlivo vilaza, hata kupika takwimu za kuiba kura mnashindwa

    Tulianza kuhoji uhalali wa idadi ya uandikishaji wapiga kura kuwa kwenye idadi ya Watanzania milion 60 huwezi kuandikisha wapiga kura milion 37+, kwenye takwimu za watu idadi ya watoto Huwa ni 45% - 50 % hawa hawapigi kura na Bado wafungwa na mahabusu ambao hawana sifa ya kupiga kura Haya Sasa...
  14. Influenza

    GE2025 Larry Madowo: Sijaenda kuripoti Uchaguzi wa Tanzania kwani inahitaji kibali ambacho hawatoi. Tunajua kinachotokea ikiwa Serikali haikupendi

    Mwandishi wa habari wa Kenya anayefanya kazi na CNN, Larry Madowo, ameweka wazi sababu za kushindwa kuripoti kuhusu uchaguzi mkuu na maandamano yanayoendelea nchini Tanzania dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza siku ya Alhamisi, Larry alisema kuwa Serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya...
  15. Waufukweni

    GE2025 Askofu Fernandes amwambia Samia wakati akiapishwa: Taifa limegawanyika na Mioyo ya Watu imejeruhiwa

    Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Askofu Vernon Fernandes wakati wa kuapishwa Samia huko Dodoma amesema; "Umepokea jukumu kubwa la kihistoria, Mhe. Rais Taifa limegawanyika na Mioyo ya Watu imejeruhiwa kwa namna mbalimbali, ombi langu kwako kwa niaba ya umma...
  16. Its Tesha

    GE2025 Jerry Silaa yupo Polisi kwa kuvuruga uchaguzi jimbo la Ukonga

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga Kupitia CCM amepigwa chini katika jimbo hilo huku taarifa zikisema kuwa amekamatwa na jeshi la Polisi kwa kuvuruga uchaguzi katika jimbo hilo.
  17. Izy_Name

    GE2025 Onyo kwa Serikali, Viongozi wake, na Chawa kilichotokea ni mfano ikiwa wananchi wataendelea kupuuzwa

    Nitoe onyo kwa serikali na viongozi wake wote bila kuwasahau machawa. Kilichotokea ni mwanzo na ni mfano. Hiyo ilikuwa kama zoezi tu; sasa mechi kamili inakuja ikiwa serikali itaendelea kuwapuuza wananchi. Kifuatacho kitakuwa hatari zaidi kwa sababu Watanzania wameishapata uzoefu wa maandamano...
  18. Piere. Fm

    GE2025 Je, Polisi Wanajihami na kile walichokifanya?

    Jamaa Leo wamewasha mtandao lakini pia zimeanza kutiririka meseji kutoka jeshi la Polisi la kuwaasa watu kuepuka kutuma picha au video mtandaoni zenye kuweza kuzua taharuki. Je, hii si ishara kuwa wanawatisha kisionekane kile Walichokifanya dhidi ya watanzania?
  19. Its Tesha

    GE2025 Hali ya kiafya ya John Heche yazidi kuzorota huko Mtumba, anyimwa haki ya dhamana na matibabu

    Siku ya 13 katika mikono ya polisi Ndugu WATANZANIA na wapenda Haki wote Ninasikitika kuwajulisha kuwa Ndugu na kiongozi wetu John Heche amenitumia taarifa ya masikitiko kuhusu hali yake ya kiafya kuwa inaendelea kuzorota na hakuna dalili zozote za yeye kupata Haki ya dhamana ama ya matibabu...
  20. D

    GE2025 Samia Suluhu afunga comments, Wapiga kura wake Milioni 31, watampongeza wapi?

    Ajabu mno, hataki wapiga kura mil.31 wampongeze, haijawahi kutokea. HAKIKA VISHINDO VYA WAKOMA VILIWAKIMBIZA WASHAMI😂😂
Back
Top Bottom