Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni.
Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo...
"Tumesikitishwa na kuhuzunishwa na matukio ya uvunjifu wa amani, upotevu wa maisha na uharibifu wa mali za umma na mali za watu binafsi. Kilichotokea hakiendani na taswira na sifa za kitanzania na sio Utanzania. Haikutushangaza kuona kuwa baadhi ya vijana waliokamatwa kutokana na tabia hiyo...
Kwanza napenda kusema kuwa nimeshangaa sana kwa uchaguzi wa Rais kuisha na kutangazwa wakati Wabunge na madiwani hawajajulikana. Zaidi ya Baba Revo kumbwaga Zitto sijasikia jina la Mbunge au Diwani yeyote aliyechaguliwa mpaka sasa zaidi ya wale wa Zanzibar.
Tunaomba tujulishwe mgao wa CHAUMA...
TAARIFA YA AWALI YA CHAMA JUU YA KINACHOITWA MATOKEO YA UCHAGUZI TANZANIA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapinga vikali kinachoitwa matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi.
Matokeo haya hayana uhalisia wowote kwani ukweli ni kwamba hakukufanyika uchaguzi Tanzania...
KWIKWI YA KUTANGAZA MATOKEO YA WASHINDI WA MAJIMBO YA UBUNGE, TATIZO NI NINI ?
Tugeukie ubunge matokeo ya ubunge , baraza la wawakilishi, madiwani. Ni takribani siku 4 zimepita bado matokeo ya ubunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano kutolewa.
Uchaguzi wa majimbo ya ubunge Tanzania Bara na...
Bunge la Ulaya limeitaka Tume Huru ya Uchaguzi nchini Tanzania (INEC) kusitisha kutangaza matokeo ya uchaguzi hadi uchunguzi wa kina ufanyike, kufuatia maandamano na madai ya dosari katika mchakato wa uchaguzi.
Katika taarifa yake, bunge hilo limehimiza jeshi la Tanzania kuchukua nafasi ya...
Wananchi wana hasira nyingi na nyinyi mnachukuliwa kama alama ya uovu wa serikali. Wengi wenu ni vijana wadogo mnaopewa maelekezo na maafande na mnafuata. Mna nafasi moja tu..tu ajua wapo askari wengi wazuri lakini hatuwajui ni kina nani hadi watakapoweka silaha chini.
Nawaita wekeni silaha...
Mgombea ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Prof.Adolf Mkenda, ameshiriki kwenye zoezi upigaji kura katika kituo cha Nduweni, huku akiridhishwa na wingi wa wapiga kura waliojitokeza.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia @ccmtanzania Professa Kitila Mkumbo amepiga kura leo katika kituo cha Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam
Source Jambo TV
Takwimu za wapiga Kura Uchaguzi Mkuu 2025
Idadi ya Wagombea Ubunge Manyara
Wanawake - 4
Wanaume - 13
Idadi ya Wagombea Ubunge SIMIYU
Wanawake - 7
Wanaume - 20
Idadi ya Wagombea Ubunge SINGIDA
Wanawake - 16
Wanaume - 15
Idadi ya Wagombea Ubunge SONGWE
Wanawake - 3
Wanaume - 13
Idadi ya...
Msimamizi wa uchaguzi wa Jimbo la Moshi Mjini, Wakili Sifaeli Kulanga, ametoa tathmini ya mwenendo wa zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.Akizungumza Wakili Kulanga amesema, vituo vyote vimefunguliwa na kuwataka wananchi kufika kwenye vituo kwa lengo la kupiga kura na...
Wapiga kura wamepanga foleni katika kituo cha shule ya Msingi Msasani B jijini Dar es Salaam, tayari kwa kuwachagua viongozi wao katika nafasi za Urais, Ubunge na Udiwani.Miongoni mwao ni Bisura Shaban Ally ambaye amesema akimaliza kupiga anarejea nyumbani kupika pilau ale na familia yake, ikiwa...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi (12) ambayo ni
Jimbo la Kinondoni
Jimbo la...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amepiga kura leo Oktoba 29, 2025, katika kituo cha AICC Hospital jijini Arusha na kupongeza maandalizi ya uchaguzi, akisema utaratibu ni mzuri na usalama umehakikishwa katika vituo vyote vya kupigia kura mkoani humo.
“Nimepiga kura. Nawaasa wananchi...
Mgombea Urais Ada Tadea, Georges Busungu amesema hali ni shwari hadi sasa utulivu upo na watu wamehamasika kujitoeza kupiga kura licha kulikuwa na kelele za maandamano hadi sasa.
Georges Busungu amepiga Kura yake Misungwi Mwanza. Aidha alitolea ufafanuzi kwanini jina lake hapo awali...
Utangulizi
Oktoba 29, 2025 Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu katika mazingira yanayoelezwa kuwa yenye hali wasiwasi mkubwa na taharuki. Uchaguzi huu unakuja takriban mwaka mmoja baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, uliosababisha mijadala mikubwa kutokana na matukio ya...
Wakuu,
Yaani asubuhi asubuhi mshasema maandamano yamefeli? Ndio kwanza siku imeanza mbona mnatukatia tamaa mapema hivi? Hamuamini kuwa wanannchi tunaweza kuleta mabadiliko wenyewe?
VItuo si vinafunguliwa, tunaamka na kutoka na vitambulisho vyetu huko huko tunaungana barabarani, mlitaka watu...
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara amepiga kura yake leo katika kituo cha Buyuni Jimbo la Ubungo.
Baada ya kupiga kura alizungumza na wanaHabari akisema hadi sasa vituo vya kupiga kura utaratbu upo sawa na wananchi wanaendelea kujitokeza lakini pia...
Mwanasiasa na mwanaharakati nchini Kenya, Martha Karua amezungumzia kuhusiana na sheria ya Tanzania kuweka uhalali wa Maandamanohivyo kwa wananchi wanaopanga kuandamana wana haki, pia amesisitiza Serikali isiingilie maamuzi ya wananchi
"sheria za tanzania zinawaruhu raia kufanya maandamano, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.