uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongera Rais Samia kwa kusimama imara kwenye majaribu, wazalendo wa kweli tupo nyuma yako

    Friends and Our Enemies, 'How you do anything,is how you do everything'..Dante... Kongole nyingi sana kwako Madam President Samia kwa kusimama imara wewe kama Amiri Jeshi Mkuu na Jeshi pamoja na vyombo vyote vya ulinzi na usalama katika kipindi hiki kigumu cha majaribu katika utawala wako...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 LHRC: Tume huru ichunguze mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu Uchaguzi Mkuu 2025 na wahusika wawajibishwe

    TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025. Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Marais wanne tu wa Afrika wahudhuria uapisho wa Samia, huku majirani - Kenya, Uganda, DRC na Rwanda wakiupotezea

    Ni marais wanne tu wa Afrika waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Samia, ambayo ilifanyika katika kituo cha kijeshi, Dodoma. Marais wa nchi jirani za Kenya, Uganda, DRC na Rwanda hawakuhudhuria tukio hilo. Waliohudhuria ni Hakainde Hichilema wa Zambia, Évariste Ndayishimiye wa Burundi...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wachezaji 7 wa mpira (chini ya Miaka 20) wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa majumbani mwao

    VIRAL SCOUT MANAGEMENT OFFICIAL STATEMENT Condemnation of the Tragic Killings of Our Young Talents Viral Scout Management is heartbroken to announce the devastating loss of seven promising young football talents under our management: Rajabu Rajab (17), Anthony Rico (18), Abdulqareem Ali (16)...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tujadili kuhusu yaliyotokea wakati wa uchaguzi

    HII NIMEONA KWENYE MOJA YA COMMENT KWENYE FACEBOOK Wakati mnawashawishi vijana wafanye fujo mliwaita jina la GENZ. Haya vijana wakavimba vichwa wakaiga ukichaa wawakenya bila kujua kwamba wanacho enda kukifanya kitawapelekea madhara Yule fala Mange Kimambi na washenzi wengine wengineo wanao...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Pumzika kwa amani Kelvin Lameck, mwandishi wa Baraka FM - Mbeya aliyeuawa akiwa kazini

    Huyu anaitwa Kelvin Lameck alikuwa mwandishi wa radio inaitwa Baraka FM. Ameuawa akiwa kazini kufuatilia maandamano wakati wa Uchaguzi. Kifo chake kimeacha simanzi kubwa miongoni mwa familia, marafiki, na wasikilizaji wake waliompenda kutokana na ucheshi na bidii yake kazini. Kelvin alikuwa...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sho Madjozi: Watanzania ni watu wapole, kufikia hatua ya kupambana ni ishara kuna jambo kubwa limefikia kikomo

    ‎Msanii mashuhuri kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, ametoa ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram akielezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu marafiki na Watanzania kwa ujumla, kufuatia kile kinachoendelea nchini Tanzania baada ya maandamano na machafuko yaliyosababisha vifo, majeraha na...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC mmeonyesha ulimwengu mlivo vilaza, hata kupika takwimu za kuiba kura mnashindwa

    Tulianza kuhoji uhalali wa idadi ya uandikishaji wapiga kura kuwa kwenye idadi ya Watanzania milion 60 huwezi kuandikisha wapiga kura milion 37+, kwenye takwimu za watu idadi ya watoto Huwa ni 45% - 50 % hawa hawapigi kura na Bado wafungwa na mahabusu ambao hawana sifa ya kupiga kura Haya Sasa...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Larry Madowo: Sijaenda kuripoti Uchaguzi wa Tanzania kwani inahitaji kibali ambacho hawatoi. Tunajua kinachotokea ikiwa Serikali haikupendi

    Mwandishi wa habari wa Kenya anayefanya kazi na CNN, Larry Madowo, ameweka wazi sababu za kushindwa kuripoti kuhusu uchaguzi mkuu na maandamano yanayoendelea nchini Tanzania dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza siku ya Alhamisi, Larry alisema kuwa Serikali ya Tanzania imekuwa ikifanya...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Fernandes amwambia Samia wakati akiapishwa: Taifa limegawanyika na Mioyo ya Watu imejeruhiwa

    Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Askofu Vernon Fernandes wakati wa kuapishwa Samia huko Dodoma amesema; "Umepokea jukumu kubwa la kihistoria, Mhe. Rais Taifa limegawanyika na Mioyo ya Watu imejeruhiwa kwa namna mbalimbali, ombi langu kwako kwa niaba ya umma...
  11. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jerry Silaa yupo Polisi kwa kuvuruga uchaguzi jimbo la Ukonga

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Ukonga Kupitia CCM amepigwa chini katika jimbo hilo huku taarifa zikisema kuwa amekamatwa na jeshi la Polisi kwa kuvuruga uchaguzi katika jimbo hilo.
  12. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania GE2025 Onyo kwa Serikali, Viongozi wake, na Chawa kilichotokea ni mfano ikiwa wananchi wataendelea kupuuzwa

    Nitoe onyo kwa serikali na viongozi wake wote bila kuwasahau machawa. Kilichotokea ni mwanzo na ni mfano. Hiyo ilikuwa kama zoezi tu; sasa mechi kamili inakuja ikiwa serikali itaendelea kuwapuuza wananchi. Kifuatacho kitakuwa hatari zaidi kwa sababu Watanzania wameishapata uzoefu wa maandamano...
  13. Piere. Fm

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Polisi Wanajihami na kile walichokifanya?

    Jamaa Leo wamewasha mtandao lakini pia zimeanza kutiririka meseji kutoka jeshi la Polisi la kuwaasa watu kuepuka kutuma picha au video mtandaoni zenye kuweza kuzua taharuki. Je, hii si ishara kuwa wanawatisha kisionekane kile Walichokifanya dhidi ya watanzania?
  14. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hali ya kiafya ya John Heche yazidi kuzorota huko Mtumba, anyimwa haki ya dhamana na matibabu

    Siku ya 13 katika mikono ya polisi Ndugu WATANZANIA na wapenda Haki wote Ninasikitika kuwajulisha kuwa Ndugu na kiongozi wetu John Heche amenitumia taarifa ya masikitiko kuhusu hali yake ya kiafya kuwa inaendelea kuzorota na hakuna dalili zozote za yeye kupata Haki ya dhamana ama ya matibabu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu afunga comments, Wapiga kura wake Milioni 31, watampongeza wapi?

    Ajabu mno, hataki wapiga kura mil.31 wampongeze, haijawahi kutokea. HAKIKA VISHINDO VYA WAKOMA VILIWAKIMBIZA WASHAMI😂😂
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waangalizi SADC: Uchaguzi Mkuu wa Tanzania haukuwa HURU wala wa HAKI

    Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki. Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM) umebainisha kuwepo kwa vitisho...
  17. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 wa "Kishetani" Viongozi wao hii dhambi itawatafuna pamoja na Vizazi vyao

    Katika historia ya mataifa, kuna nyakati ambazo taifa hufika kwenye makutano ya maamuzi ya maadili na dhamira. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini Tanzania umeacha doa lisilofutika kirahisi doa la kishetani, kama ambavyo wananchi wengi wameuita kwa uchungu. Wengi wamesema wazi kuwa si uchaguzi wa...
  18. Mama Naa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia sio Rais halali wa Tanzania. Kaiba Uchaguzi kuliko alivyoiba Magufuli 2020

    Unajua huwezi kuiba uchaguzi halafu watanzania wasijue Kwa sababu wanaosimamia uchaguzi ni hao hao watanzania. Nimeshangazwa na kiwango Cha wizi wa uchaguzi alichokifanya Samia na wahuni wenzake. Nimejiuliza sana endapo sisi tunaojiita waislamu kweli tuna hofu ya Mungu au laa !! Kituo Cha...
  19. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuseme ukweli: Maandamano ya Uchaguzi ni vijana wetu siyo kutoka nje ya nchi

    Tuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala siyo wakutoka nje ya nchi. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua Alisema yametimia
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!

    Wanabodi Utangulizi Kuna kitu kinaitwa facts na kuna fallacies. Kuna msemo wa kizungu usemao, "facts are stubborn things", yaani fact ni kitu ambacho kipo, kina exist in reality, you can't deny facts. huwezi kusema hukitambui, unaweza usikikubali lakini kipo, unaweza usikipende lakini kipo...
Back
Top Bottom