Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania , wanakosoa namna serikali imeanza kuitumia vibaya sheria ya makosa ya uhaini, baada ya mwishoni mwa juma lililopita, waandamanaji waliokamatwa kusomewa shtaka la uhaini.
Wakili Fulgence Massawe ni mkurugenzi wa utetezi na mageuzi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Sisi Wawakilishi 14 kutoka Chama cha ACT Wazalendo - 10 wa Majimbo na wanne wa viti maalumu vya wanawake - tulilitafakari tukio la uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi na kumpima mtu atakayelihutubia Baraza na majibu yetu yakawa, kwa dhulma iliyopita na uhuni...
"Ni jambo la aibu kusikia wito wa namna hiyo, ni matusi kwa Watanzania lakini pia ni kuvunjiana heshima...Anaridhiana na nani?, kwa sababu gani?...kutokea wapi?."- Wakili Tito Magoti akijibu hoja kuhusu kinachoitwa Maridhiano.
Akizungumza kuhusu hali ya baada ya uchaguzi, Mtaalamu wa Saikolojia, Leonard Mgina amesema kuwa kuendelea kuwakamata watu kutokana na matukio yaliyotokana na uchaguzi kunachochea majeraha ya kisaikolojia na kudhoofisha jitihada za kujenga taifa lenye umoja na amani.
“Ni muhimu sasa kuelekeza...
Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetuma salamu za pole kwa familia na jamii kwa ujumla ambazo zimepoteza wapendwa wao kutokana na matukio yaliyotokea wakati wa uchaguzi.
Kupitia taarifa iliyotolewa leo, ubalozi huo umeeleza kuwa unaenzi maisha ya wote waliotangulia mbele ya haki, pamoja na...
Ubalozi wa Sweeden kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii wameandika kuwa;
We stand behind the call for jusice and reconciliation built on collective and inclusive commitment to healing.
….
Tunasimama pamoja na wito wa haki na maridhiano, uliyojengwa juu ya dhamira ya pamoja na jumuishi ya...
Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
Diaspora wa Watanzania nchini Canada, ambayo inajumuisha moja ya jamii kubwa zaidi ya raia wa Tanzania wanaoishi nje ya Afrika, wameandamana ikiwa ni juhudi za kimataifa za kupigania madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu kufuatia uchaguzi wa Oktoba 29 nchini Tanzania na kusababisha mauaji...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana...
Watanzania 463 Wakabiliwa na Mashtaka ya Uhaini, Unyang’anyi kwa kutumia silaha - akiwemo Mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer)
Jamhuri imewafungulia kesi Watanzania 240 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Ijumaa Novemba 7, 2025, wakikabiliwa na mashtaka matatu ya uhaini; la...
Taarifa iliyotolewa na Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, imeeleza Askofu Mkuu Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, OFMCap, amewaalika Mapadri, Watawa na Waamini wote kushiriki Misa Maalum ya kuwaombea Wafu itakayoadhimishwa Jumatatu, Novemba 10, 2025.
"Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi...
Wananchi wa Mkoa wa Dar Es salaam wameeleza kuwa mfumuko wa bei kwa bidhaa mbalimbali nchini pamoja na ukosefu wa huduma na bidhaa muhimu kulikotokana na ghasia na vurugu za Oktoba 29, 2025 kumewaathiri kiuchumi, wakiwataka Vijana kuacha mihemko na kutokubali kurubuniwa katika kuharibu amani na...
Wakuu,
Hiki ndio kinachoendelea mtaani kipindi hiki! Wakati wa maandamano wananchi walishuhudia wapendwa wao wakipigwa risasi na polisi na kuona miili ikizagaa mtaani wengine mpaka siku tatu.
Walipojaribu kuchukua miili hii kwa taratibu nyingine za kupumzisha wapendwa wao, polisi waliwakataza...
Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padri Chesco Msaga, ameongoza ibada maalum ya kuwaombea wote waliopoteza maisha katika ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza wakati wa mahubiri yake leo, Novemba 7, 2025, Katika misa iliyofanyika makao makuu ya...
Mwanaume ambaye amekuwa akitrend kwa siku mbili mfululizo baada ya kuhusishwa na kikundi cha watu waliokuwa na silaha na wanaodaiwa kuhusika katika mauaji ya waandamanaji wakati wa maandamano siku ya uchaguzi, amejitokeza na kujitetea kupitia video ambazo kwa sasa zinasambaa kwa kasi mtandaoni...
Ujumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram.
"Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe
Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi...
Msanii Wakazi kupitia Ukurasa wake wa X (twitter) amewasihi Wananchi kuipigania Tanzania yao badala ya kuandia hastags tu kama trends. Amesema hakuna uhalali wowote wa watu kuuawa hata kama kuna vitu viliharibiwa.
Anasema;
DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT!
Hakuna Mtu perfect, na ni kweli...
Hapa chini ni muhtasari wa taarifa ya awali (final) ya waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kutoka SADC (SEOM), uliowasilishwa na Richard Msowoya, Spika wa zamani wa Bunge la Malawi na Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa SADC.
Upo kwa kifupi na kwa Kiswahili, ukitaka maelezo zaidi pitia...
Hii nchi niliwahi kusema ukielewa how deep hizi timu za Simba na Yanga zinavyotumika kupumbaza na kuumiza Watanzania, wengi mtalia sana.
Yule jamaa aliyevaa jezi ya Yanga aliyetoka akaenda na wenzake kumiminia watu risasi za vichwa hakuamka tu akaamaua avae jezi ya Yanga na wala hakushtuliwa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.