uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mnataka kunambia Gambo habari ndo imeisha pale mjini Arusha na atakuwa nje ya dimba kwa miaka mitano ijayo?

    Sitaki kuamini hii naomba isiwe kweli . Gambo huyu aliyekuwa anamnyanyasa Lema Gambo huyu huyu mpakaji wa Majungu . Gambo huyu huyu ambaye alizuia hosptali ya Mama na mtoto isijengwe Arusha. Ahaaaaa!!!!!! Najua hii habari ikiwa ni ya kweli basi bia zitaisha kwenye bar , maana watu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri Mpina: Kagombee kupitia chama chochote, utapita maana wananchi wako upande wako kwa 100%

    1. You are a very resourceful person. 2. Umekatwa kwa fitina za mkuu wenu wa chama. 3. Nakushauri nenda ACT kagombee, utapita maana wananchi ni wako by 100%. Labda wakuengue kwa sababu za kishenzi as usual!/kukuibia kura kwa amri ya Mkuu wa chama chako na ushenzi mwingine kama huo
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moshi: Tulimchagua mbunge akaja kutuonesha kitambi, barabara ni mbovu, hakuna Umeme, nani apige tena kura?

    Kumbukizi, Wabibi wa kichaga uko moshi vijijini wanasema walimchagua mbunge akarudi kuwaonesha kitambi hakuna kitu amewasaidia Soma pia: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Chanzo: habari24media
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: Nape Nnauye akizungumza na mwananchi huku akiwa amekaa kwenye vumbi. Unadhani walikuwa wanazungumza nini

    Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye kupitia ukurasa wake Instagram amechapisha picha zinazomuonesha akizungumza na mwananchi aliyekaa kwenye kiti huku Mbunge huyo akikaa kwenye vumbi. Kipindi hiki cha Uchaguzi wananchi wananyenyekewa sana kama wafalme kwa sababu ya thamani ya kura zenye kuamua...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu: CCM hawajafanya jitihada ili uchaguzi uwe wa huru

    "Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati." Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Mkuu mstaafu Pinda: Chujeni wagombea bila upendeleo

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho waliokabidhiwa jukumu la kusimamia mchakato wa kuchuja wagombea wa uchaguzi kutenda haki na kuepuka upendeleo. Waziri Mkuu...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boni Yai amehamia CHAUMMA na kutangaza nia ya kugombea ubunge

    JamiiCheck ni kweli kuwa BoniYai kahamia CHADEMA?
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, amejiunga rasmi CHAUMMA

    Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Taifa Andrea Oisso, ambaye hapo awali alitangaza kujiondoa CHADEMA kutokana na kutokubaliana na msimamo wa chama hicho kuchukua mrengo wa kususia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa madai ya kutaka mageuzi kwanza, ameweka wazi kuwa tayari amepata jukwaa...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtemi Fundikila atangaza Dua maalum kuelekea uchaguzi mkuu

    Makamu Mwenyekiti wa Machifu Tanzania Mtemi Msogata Fundikila ametangaza kuwa kesho ataungana na maelfu ya wakazi wa mkoa wa Tabora na mikoa ya jirani kufanya Dua maalumu ya kuiombea amani Tanzania hususan katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025. Mtemi huyo amesema...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni ya sauti ya mwanamke sandukuni yazinduliwa kushiriki uchaguzi mkuu

    Fridah mmanga - mratibu wa Sauti ya Mwanamke Sandukuni Kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2025 sauti ya mwanamke wamezindua kampeni ya #MwanamkeSandukuni ambayo inamtaka mwanamke kushiriki uchaguzi mkuu. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa UWT: Hatutaki Pesa, tunataka Maendeleo

    Maoni ya wajumbe mbalimbali kuelekea Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Akijibu kuhusu swali la wajumbe kuwa vigeugeu Mary Komba, Mwenyekiti wa UWT Tawi la Biyuda, Kinondoni amesema "Ni kweli wajumbe tunakuwa vigeugeu na tunatamani kubalika na wajumbe mwaka huu tusiangalie pesa tuangalie maendeleo"...
  12. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mara: Wananchi Mwibara wamchoka mbunge anayemaliza muda wake, waomba kupatiwa mgombea mpya

    Wananchi wa Jimbo la Mwibara, lililopo mkoani Mara, wamemwomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), awasikilize kilio chao kwa kuwapatia mgombea mpya katika uchaguzi ujao, wakieleza kutoridhishwa na utendaji wa...
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sifa za kufaa kuwa mbunge wa majimbo ya mbeya

    MKOA WETU UNAHITAJI WABUNGE WENYE SIFA HIZI KATIKA MAJIMBO YETU 1. Mbunge mwenye mpango kazi binafsi wa miaka mitano kama mbunge, siyo mbunge wa kujivunia miradi iliyotekelezwa na serikali pasipo yeye kubuni hata mradi mmoja ndani ya Jimbo. 2. Mbunge anayebeba hoja na mahitaji ya wananchi...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kauli ya Rose Mayemba kuwa uwezo wa Mwenyekiti kuipeleka CHADEMA mbele umeisha ilimlenga Lissu

  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chacha Heche: CHADEMA pekee yake ndiyo mshindani wa CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara, Chacha Heche, amesema kuwa hadi sasa chama pekee cha upinzani chenye uwezo wa kuibana CCM kisiasa na kulazimisha mawazo mapya ni CHADEMA pekee, akisisitiza kuwa hakuna chama kingine cha upinzani chenye ushawishi na nguvu...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Bananga: Mchujo wa wagombea DAR umekamilika

    "Kwenye upande wa wabunge na Viti Maalum jumla ya Wana Dar es Salaam zaidi ya Mia Nne walijaza fomu. Unapokaa na kujadili nafasi hizo mchakato wake unakuwa ni mrefu kwa sababu tulikuwa na vikao vya ngazi ya Sekretarieti, maadili na kamati ya siasa. "Pia tulikuwa na vikao vya ngazi ya Jumuiya za...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA: Tupo tayari kuungana na vyama vingine kudai mabadiliko

    Wakuu! CHAUMMA wanaingia kama Avengers wa siasa! Katibu Mkuu wao, Salum Mwalimu, anasema wapo tayari kushirikiana na vyama vingine vya upinzani lakini si kwa chokochoko, bali kwa maarifa na misingi madhubuti ya mabadiliko! 😅 === Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Polisi atakayebeba Kura Bandia ni halali yetu

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania GE2025 DOKEZO Responded Nani anaratibu au kusajili haya magari yenye plate number mfanano zenye maandishi ya SSH? Tunajua athari zake?

    Kuna kitu cha ajabu kidogo kinaendelea hapa Tanzania kuhusu magari yenye plate number zenye maandishi ya SSH zikifuatiwa na namba za 25 30, 2025 30, nk Nimewahi kudadisi na kuchunguza kupitia afisa wa TRA, Trafiki wa barabarani na wamiliki wa hayo magari, na haya ndio niliyogundua. Afisa wa...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yajipanga kurejea katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi mkuu 2025

    wakuu === Nimekutana na hizi taarifa ni kweli CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, mwenye taarifa za ukweli atusaidie.
Back
Top Bottom