uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama Samia Support tupo tayari kumpigania rais Samia kushinda katika uchaguzi mkuu 2025

    Taasisi ya Mama Samia Support, inazidi Kusongesha Gurudumu la Rais Samia Kwa Kauli Mbiu ya ’Kazi Na Utu, Tunasonga Mbele’ Taasisi Hii Leo May 29, 2025 wamefanya Maandamano ya amani yenye Lengo la Kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yatoa wito kwa tume huru ya uchaguzi kuondoa zuio na utayari wa chama kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ithibati yatoa muda wa mwezi mmoja kuanzia 22 Mei hadi 21 Juni 2025 kwa ajili waandishi wa habari kujisajili ili wapate "press card"

    Wakuu, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia tarehe 22 Mei hadi tarehe 21 Juni 2025 kwa Waandishi wa Habari wote wanaofanya kazi za kihabari nchini, kujisajili kupitia Mfumo wa TAI-Habari kwa ajili ya kuomba kuthibitishwa na kupewa vitambulisho...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waandishi Habari Wasiothibitishwa hawatoruhusiwa kuripoti uchaguzi mkuu 2025

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa habari (JAB) imesema waandishi wa habari ambao hawatakuwa wamethibitishwa na ithibishwa ni bodi hiyo hawatoruhusiwa kutekeleza majukumu yoyote yanayohusiana moja kwa moja na mchakato wa uchakuzi mkuu 2025. Kundi hilo la waandishi wa habari linajumuisha Wahariri...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CPA Makalla: Hakuna mwenye ubavuwa wa kuzuia Uchaguzi Mkuu 2025, awataja Lissu na Heche

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema hakuna Chama au Kikundi Chochote Chenye Uwezo wa Kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka huu. Makalla ametoa Kauli hiyo mei 21, 2025 akizungumza na Wananchi Jijini Mwanza kupitia...
  6. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tegemea muungano wa vyama hivi kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Straight to the point! Kuna mkakati unaosukwa wa Kutengeneza COALITION ( MUUNGANO WA KISIASA) wa vyama vya ACT-WAZALENDO, CUF, CHAUMMA, na NCCR na kusimamisha mgombea mmoja kwenye mbio za urais 2025. Mkakati unasukwa na system Ili kuaminisha uwepo wa demokrasia Kwenye uchaguzi mkuu na...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TK Movement Kagera Yapinga Vikali Upotoshaji Kuhusu Ushiriki wa Wananchi Katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Taasisi ya Taifa Letu, Kesho Yetu (TK) Movement Mkoa Kagera imesema haitakubaliana wala haitamsikiliza mtu yeyote mwenye kuja na kauli za kuwapotosha wananchi kuwa wasishiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2025 Hayo yamejiri katika Kikao cha Wilaya Bukoba DC kilichowakutanisha...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mpya itashiriki uchaguzi Mkuu ujao , Ushindi wake ni hakika, Mamia kwa mamia ya Wabunge, Madiwani wa CHADEMA, Pole kwa wanaohama

    Wakuu, Rais ajaye baada ya Samia ni Tundu Lissu ! Pole Kwa G-55 na wahuni wote ambao mmeingizwa Cha kike na watu wajinga. Wavumilivu Kwa miezi hiyo michache wanaenda kula Mbivu na Wananchi wooooote Kwa ujumla watakua na Furaha sana Kwasababu WANAOONGOZA, NI WATU WA HAKI. CCM HATA mfanyeje...
  9. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Live from JNCC: Kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa na Jukwaa la Wahariri, kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Wanabodi Jumamosi ya leo, nimeanzia, ukumbi wa JNCC, kwenye kikao kazi cha Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi, na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Jukwaa la Wahariri (TEF), kuelekea uchaguzi mkuu 2025!. NB: Kumbe Kikao hiki ni Strictly Confidential!, hivyo nitawapa briefing...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Lissu, Kuumizwa kwa Padre Kitima, na Kutekwa kwa Nyangali: Watanganyika wamejifunza nini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, matukio kadhaa ya kutisha yameibuka nchini Tanzania, ambayo yanaonyesha hali halisi ya siasa na usalama. Kukamatwa Tundu Lissu, kuumizwa kwa Padre Kitima, na kutekwa kwa mwanaharakati Nyangali ni mifano hai ya changamoto zinazokabili demokrasia...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Wajua bila minimum Reforms za Katiba, Uchaguzi Mkuu wote utakuwa ni batili?Sababu,INEC,Katiba ya ZnZ na Sheria Mpya ya Uchaguzi Zote ni Batili

    Wanabodi Leo naendelea na somo la Ijue Katiba ya JMT ya mwaka 1977 kwa jicho la mtunga katiba。 Hii ni mada ngumu ya hoja za kisheria,hivyo nakuomba kama hujawahi kuwa na interest hata ya kusoma tuu katiba,nakushauri pita mbali na mada hii。 Utambulisho Kila nikileta mada za kisheria zinazohusu...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA Yaomba Tume ya Uchaguzi Kuwaruhusu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, endapo Tume ya Uchaguzi itawapa nafasi hiyo.
  14. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

    https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
  15. Tman900

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Mambo yangekua Fair Play naimani Watanzania wengi wangepiga Kura uchaguzi 2025

    Naimani Watanzania wengi wangepiga Kura, ila Uchaguzi huu, 2025. Watakao Piga Kura Wengi ni CCM. Mimi Sina Chama na sijawai Kupiga Kura toka nazaliwa kwa Sababu zangu Binafsi tu. Na Kingine Kwa Mtazamo wangu mbona Kama Government inatumia Nguvu Nyingi Kuwaaminisha watu kua usahihi wa walioko...
  16. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli za Kisiasa Makanisani na Misikitini zazidi kuzua mjadala kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na kauli za viongozi wa dini huko Makanisani, Misikitini na kwenye shughuli nyingine za kidini zimeendelea kuzua mijadala nchini, hasa tunapoelekea katika kipindi cha uchaguzi mkuu 2025. Siasa na matamko sehemu za dini pamoja na matamko ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenza wa kijani ana jambo lake baada ya uchaguzi mkuu 2025

    Tunaelekea uchaguzi mkuu na joto limeishapanda sana kwa sasa. Mtihani ni mkubwa, maswali ni mengi yanataka maelezo marefu huku karatasi ya kujibia kikiwa kipande tu. Huku kuna Azimio la mgombea bila form na huku kuna No Reforms No Election. Huku wengine wakisema wao ni G55 na wengine wakiwakemea...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakristo kote nchini wametakiwa kutojihusisha na upokeaji wa rushwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Wakristo kote nchini wametakiwa kuwa mfano bora wa kuigwa kwa kuendele a kuyaishi matendo mema kama walivyofanya wakati wa kipindi cha mfungo wa Kwaresma kwa kudumiasha upendo na kujaliana na kuombea amani ya nchi katika kipindi hiki ambapo taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Urais Ubunge...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Faida za Chadema Kukusanya Kura za Petition Milioni 15 za Watanzania,kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kukusanya kura za petition milioni 15 ni hatua muhimu kwa Chadema. Katika muktadha wa sera yao ya "No Reform, No Election," hatua hii ina faida nyingi ambazo zinaweza kubadilisha mfumo wa kisiasa nchini Tanzania. Hapa chini, tutaangazia faida hizo na...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Giza nene alipo Tundu Lissu, Magereza wasema wanafuatilia

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema bado kimeendelea kusisitiza kuhusu msimamo wake wa Jana Aprili 18, 2025 wa kulitaka Jeshi la Magereza na Vyombo vingine vya Dola kueleza kwa "haraka" alipo Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, wakieleza kuwa mara baada ya saa 24 kupita...
Back
Top Bottom