uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Deus Kibamba: Unono na mfumo wa sheria/katiba ni sababu inayowavutia wengi kuwania ubunge

    Wakuu Kumekuwepo maswali mengi kuhusu wingi wa waliojitikeza kuchukua fomu za kutia nia na ubunge na udiwani, kupitia Kipindi cha Mada Kuu - TBC kilichofanyika Julai 10, 2025 Mchambuzi wa Masuala ya Siasa, Deus Kibamba alieleza badhi ya sababu zinazowavutia wengi kuwania nafasi ya Ubunge nchini...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi aongoza Kikao cha Sekretarieti ya maandalizi ya mchujo wa Wagombea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mkoani Dodoma. Kikao hicho kinachotarajiwa kuendelea hadi Julai 16...
  3. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Mabadiliko yakipatikana tutampelekea fomu Lissu gerezani na atatoka akiwa rais (video)

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande, watampelekea fomu ya kugombea uraia na atashinda akiwa gerezani. Ameyasema hayo Julai 11, alipokuwa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Angelina Mabula: Mimi sitoi Fedha za Rushwa, Pesa yangu ikitoka inaenda kwa Jamii siyo kwa ajili ya Kura

    Mbunge wa Ilemela, Mwanza anayemaliza muda wake Dkt. Angelina Mabula amesema hajawahi kuingia kwenye mashindano ya fedha na mimi zaidi nafanya kazi za Jamii hakuna mahali ambapo nimeweka fedha kwamba nimetoa hii kwasababu yeye katoa hiki.
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchinjita: Raia kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali iseme ni Wasiojulikana, hiyo ni Serikali au Takataka?

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita amesema, "Unapofika mahala una Serikali ambayo raia wake wanaweza kwenda kuokotwa kwenye mabasi mchana kisha wakafa, halafu Serikali inasema walioua ni watu wasiojulikana — hiyo ni Serikali au takataka?" "Haijawahi kutokea duniani kote...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu apinga madai CHAUMMA kutoshiriki uchaguzi, ashangaa CHADEMA kususa ikiwa wananchi wanahitaji mabadiliko

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amepinga vikali madai kuwa CHADEMA, wanachama na viongozi wake waliafikiana kususia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, akisema hakuna kikao rasmi kilichopitisha uamuzi huo, na kuitaka CHADEMA kuweka wazi nyaraka za maamuzi hayo...
  7. Mwalimu Novath

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mahakama kuhusu Kesi ya Tundu Lissu

    USHAURI WANGU KWA MAHAKAMA JUU YA KESI YA MHESHIMIWA TUNDU LISSU Mimi kama raia wa Tanzania ninayependa haki, amani, na utawala wa sheria, napenda kutoa ushauri wangu kwa heshima kwa Mahakama inayosikiliza kesi ya Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu. Kama raia, natambua mamlaka ya Mahakama kama...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu Maswa

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA walivyoshuka na chopa Tanga

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema kipo tayari kushiriki uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu na kitasimamisha wagombea wa ubunge na udiwani Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa Salum Mwalimu mkoani Tanga kwenye mkutano wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ashikiliwa na Polisi usiku wa manane Lindi

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la Polisi usiku wa tarehe 14 Julai 2025, akiwa katika hoteli mkoani Lindi Kwa mujibu wa taarifa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: ACT Wazalendo tunapambana kurejesha heshima ya Kura

    Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kuwa Operesheni Majimaji inayofanywa na chama hicho inalenga kuwaamsha Watanzania kurejesha thamani ya kura yao, ambayo amesema imeporomoka kwa kiasi kikubwa katika chaguzi tatu zilizopita. Akizungumza katika mkutano wa hadhara...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya CHADEMA kumkataa Jaji Mwanga kutolewa maamuzi Julai 28, 2025

    Wakuu! Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chadema na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika inaendelea leo Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo leo Mahakama itaanza kusikiliza shauri ndogo la kumtaka Jaji Hamidu Mwanga...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nitaipigia kura CCM kama Samia hatokuwa mgombea wa nafasi ya urais

    Ninaahidi kuipigia kura CCM kama tu samia hatopewa nafasi ya kugombania nafasi ya urais Samia hatoshi, mbadala wake anahitajika.
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe imetoa elimu kwa bodaboda kuepeuka kutumika vibaya kipindi cha uchaguzi

    Katika kuhakikisha Uchaguzi Mkuu 2025 unafanyika kwa usalama na amani Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kupitia watendaji wake wa kata limeendelea kutoa elimu kwa makundi mbalimbali katika jamii, wakiwemo wasafirishaji wa abiria kwa kutumia Pikipiki maarufu kama bodaboda, kuhusu umuhimu wa...
  15. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

    More to come… Kaiweka barua mwenyewe mtandaoni: ======= Kwa heshima na unyenyekevu, naomba kukutaarifu kuwa nimefikia uamuzi wa kujiuzulu nafasi yangu ya Uongozi wa Umma nikiwa Balozi na Mkuu wa Kituo cha Uwakilishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Havana – Cuba, pamoja na uwakilishi wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yosepha Komba: Hakuna namna unaweza kuzuia uchaguzi ikiwa si sehemu ya uchaguzi

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini Yosepha Komba ambae kwa sasa ni mtia nia wa Ubunge Jimbo la Muheza kupitia CHAUMMA amedai kuwa ni vyema kuwakabili CCM kwenye maboksi ya kupigia kura kuliko kuwasusia wabaki wenyewe, kwakuwa hakuna namna uchaguzi unaweza kuzuiliwa ikiwa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rose Kahoji autaka urais kupitia CUF

    Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Kwa hatua hiyo, Kahoji anaungana na Rais wa sasa, Samia Suluhu Hassan wa CCM, ambaye tayari amepitishwa na chama chake kuwania nafasi...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchengerwa: Bilioni 23.5 zitajenga vituo vipya vya afya nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa serikali imetenga kiasi cha Shilingi bilioni 23.5 kwa ajili ya ujenzi wa vituo vipya vya afya katika majimbo mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa awamu ya pili ya...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hamna Mpinzani wa Kumshinda MPINA Kisesa kwenye Uchaguzi , Kumkata jina lake, Maana yake CCM lazima waibe Uchaguzi tu ili washinde Hilo Jimbo

    Hili liko Wazi, Kwa Kisesa huwezi itenganisha na MPINA, MPINA ndio Kisesa na Kisesa ndio MPINA. Kama CCM wanamkata MPINA mwenye Jimbo lake, maana yake hamna mwanaCCM pale anayekubalika, hii Inakua picha halisi kua UCHAGUZI HUU WA KIHUNI, CCM WATAUPORA TU. Huwezi kukata MTU anayekubarika(...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Olengurumwa: Mfumo wa CCM unazaa wabunge waoga

    Anaandika Mkurugenzi wa THRDC Onesmo Kasale Olengurumwa kupitia ukurasa wake wa Instagram: ==== Sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za Chama Cha Mapinduzi CCM upande mmoja kuwa imeongeza watu wengi kupiga kura na kupunguza rushwa ila nikaonesha hatari ya...
Back
Top Bottom