uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Warioba: CCM wako tayari kufanyia mabadiliko maeneo kadhaa kabla ya uchaguzi mkuu 2025. CHADEMA msimamo wao ni mkali mno, wanataka yote

    https://youtu.be/sjfPgpGxlPM?si=KotQLiYWJwasPFmS Leo nimepata nafasi ya kumsikiliza mzee wa CCM, Jaji Joseph Warioba akishirikiana na wenzake kujaribu kuwaleta CCM na CHADEMA pamoja ili kunusuru mgogoro mkubwa wa kisiasa uliopo Sasa na nchi kuingia ktk uchaguzi ikiwa moja badala ya mgawanyiko na...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shamsia Mtamba, amechukua fomu ya ubunge jimbo la mtwara Vijijini kupitia CUF

    Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini anayemaliza muda wake, Mhe.Shamsia Mtamba, amechukua fomu ya kutetea nafasi ya ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama chake cha Wananchi-CUF. Shamsia amechukua fomu hiyo katika ofisi za Chama cha CUF wilaya ya Mtwara. Amesema dhamira yake ya kuchukua fomu na...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Niliwaambia CHADEMA itashiriki uchaguzi mkuu 2025, mabadiliko kufanyika. LISSU alitumia Mbinu ya kung'oa magugu ili abakishe Ngano

    Wale mlohama CHADEMA, inaenda kula Kwenu. Ni Maneno ya LISSU, amtaka HAKIMU kutoruhusu kuendelea kua Gerezani Ili tu kufanya CHADEMA ishirik Uchaguzi Mkuu! What a Genius !!! 🔥🔥
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za Udiwani. Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Udiwani na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo. Juni 2025 Pre...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za ubunge. Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Ubunge na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo. Juni 2025 Mchungaji...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jafo: Tunapoenda kwenye uchaguzi mkuu 2025 mafanikio yote haya atuwezi kujivunia kama tukishindwa kulinda amani ya nchi

    Niwaombe Watanzania wote tunapoelekea kwenye uchaguzi wa mwaka huu 2025, mafanikio yote tuliyonayo kama haya atuwezi kujivunia kama tukishindwa kulinda amani ya nchi.
  9. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025

  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Salim Kikeke athibitisha kugombea ubunge kulekea uchaguzi mkuu 2025

    Leo katika posti yake katika mtandao wa Instagram Salim Kikeke amesema akitoka kwenye majukumu yake nje ya nchi atakuja kugombea moja ya jimbo, licha ajaweka ni jimbo gani Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  11. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu 2025 #GE2025

  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama Cha mapinduzi CCM kitashinda Uchaguzi Mkuu 2025 Kwa kishindo

    Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi. CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Motivational/ Interesting/ Wise Quotes

  14. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya uchaguzi yapongezwa maandalizi uchaguzi mkuu 2025

    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuendelea vyema na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Dkt. Yonazi ametoa pongezi hizo leo...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yasisitiza Uwazi na Uhuru Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hoja ambazo zinakwenda kuipasua CCM na kuinyima kura uchaguzi mkuu 2025

    Moja kabisa ni utata juu ya kifo cha Shujaa Magufuli na wasaidizi wake wa karibu. Hii itakuwa mjadala mkubwa kipindi cha uchaguzi. Ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sasa hivi pesa za umma zinatafunwa kama njugu sio kama kipindi hayati JPM shujaa wa Afrika yupo. Utekaji ubambikiaji kesi. Hii...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Kiswaga: Endapo William Lukuvi atagoma kustaafu Ubunge Isimani, wananchi tutamstaafisha kwa lazima

    Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Lumilo Hotel, Manispaa ya Iringa, Kiswaga amesema kuwa uamuzi huo umetokana na...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CUF yatoa msimamo, haitaungana au kushirikiana na chama chochote uchaguzi mkuu 2025

    Wakuu Siku moja mara baada ya vyama 14 vya siasa nchini kutangaza rasmi kuunda umoja wao kuwa vitashiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Chama cha Wananchi CUF kimetangaza kutoungana na chama chochote cha siasa kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi yoyote ya uongozi.
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mvutano Viongozi wa CCM Simiyu: Kengele ya hatari kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Mvutano unaoendelea kati ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu,Shemsa Mohamed na Katibu wake,Eva Degeleki umeanza kuzua taharuki miongoni mwa wanachama na wachambuzi wa siasa, wakionya kuwa hali hiyo inaweza kudhoofisha nafasi ya chama hicho tawala kuelekea uchaguzi mkuu wa...
  20. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna maisha baada ya uchaguzi, linda amani, kataa chokochoko zao

    "Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao binafsi. Usikubali huruma ya kisiasa ikageuke msumeno wa mateso baada ya uchaguzi." — Alloyce, P.R.
Back
Top Bottom