uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Magdalena Rwebangira ametoa wito kwa Watendaji wa uchaguzi kuzingatia sheria, kanuni na miongozo

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shauri la Lissu kupinga mashahidi wa Jamhuri kufichwa kutolewa Agosti 12,2025

    Wakuu! Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo tena anapanda kizimbani, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya shauri lake la maombi ya jinai alilolifungua mahakamani hapo. ‎Lissu anakabiliwa na kesi ya kuchapisha taarifa za uwongo katika...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri wa Maji, Jumaa Aweso awaonya wakandarasi Mradi Miji 28 muda wa utekelezaji kutoongezwa

    Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso , Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Awesowote wanaoshiriki katika utekelezaji wa Mradi wa Maji kwa Miji 28, akisisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi ya kuongezewa muda kwa wakandarasi watakaoshindwa kukamilisha kazi kwa wakati Ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbunge wa Ilemela Angelina Mabula: Siamini Fedha inaweza kununua Ubunge

    Siamini kama fedha inaweza kununua ubunge, 2015 kulikua na mtu anajiita ‘wa soda kubwa’ alikua anatoa sana fedha lakini nilipata kura nyingi na yeye hakufika hata nusu yake,” Mbunge wa Ilemela 2015 - 2025, Dkt Angelina Mabula kupitia One on One Soma pia...
  5. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda, Magere wa CHADEMA waachiliwa kwa dhamana

    DAR. Mkurugenzi wetu wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, pamoja na Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji Leonard Magere, wameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi na wametakiwa wametakiwa kuripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi kati, Dar es Salaam, kesho Julai 16, 2025. Soma pia...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hatukubaliani Kesi ya Lissu inavyoendeshwa kwa kupoteza muda

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara John Heche ametoa wito kwa wafuasi wa chama hicho na Watanzania kwa ujumla wake kuungana pamoja katika kuhakikisha wanapigania haki zitakazopelekea kutatua matatizo aliyodai kuwa yanaipeleka nchi pabaya endapo hatua...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vibanda umiza vya Tarime vyajaa, kufuatilia Kesi ya Tundu Lissu

    Wakuu! Tarime mkoani Mara, limeshuhudia kundi la Wananchi mbalimbali wakiwa ndani ya Banda maarufu la "Juma Kahawa" linalopatikana Kata ya Bomani mtaa wa National Housing wilayani Tarime wakifuatilia mubashara kesi ya Uhaini ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inayoendelea kusikilizwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdul Nondo aungana na Zitto kulitaka Jimbo la Jimbo la Kigoma Mjini, asema "Baba Levo ni kama Kinyago kilichochongwa na ACT"

    Ndugu wananchi na wanachama wa Jimbo la Kigoma Mjini leo tarehe 15/Julai /2025 ambayo ni siku ya mwisho ya kuchukua na kurejesha fomu ndani ya chama chetu nimechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 ibara ya 21 na Katiba ya chama...
  9. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Nimechoka na ombi la ahirisho mara kwa mara, niko gerezani leo siku ya 97

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, amesema "Leo ni siku ya 97 niko Mahabusu na wafungwa waliohukumiwa Kifo nimechoka na hizi habari" wakati akijitetea mwenyewe kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili muda mfupi baada ya Mawakili upande wa Jamhuri walipoomba...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT waibua madudu ya CCM Lindi, shule yenye wanafunzi 800 na Walimu wanne

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe amesema Chama chao kimedhamiria kushiriki uchaguzi na kulinda kura zao kwakuwa wana dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania kwa kuborsha elimu ambayo kwa sasa inatolewa kwa matabaka Soma pia...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Ulimwengu unajua hakuna Kesi bali ni Siasa, nimepewa Kesi ili wasisumbuliwe na No Reforms, No Election

    Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema "Mahakama yako vilevile iko kwenye Mahakama ya Umma, iko kwenye Kizimba cha Umma" "Watu wa Taifa hili wanajua na Ulimwengu unajua hakuna Kesi hapa bali ni Siasa, ni mwaka wa Uchaguzi, na mwaka wa Uchaguzi Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji: Napata shida kuona wasomi na wabunge wakisema Rais Samia Mitano tena, msidanganye, mwenye kibali ni Mungu

    Mchungaji ameongea kwa hisia kali, lakini ni muhimu tukumbuke kuwa tayari Rais Samia alishatoa katazo mahsusi tusichanganye siasa na dini Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo alizungumzia uchaguzi ujao, akieleza kushangazwa na wasomi na baadhi ya wabunge wanaoanza kampeni za...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yapata watia nia Majimbo yote Mkoa wa Mara

    Mratibu wa Uchaguzi na Kampeni wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Kanda ya Serengeti Catherine Ruge ametangaza kupatikana kwa watia nia wa ubunge katika majimbo yote 10 ya mkoa wa Mara akieleza kuwa hamasa imekuwa kubwa kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kuchukua fomu za kugombea udiwani...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 UWT Geita waandamana hadi ofisi za CCM kulalamikia mchujo wa wagombea Udiwani

    Wakuu! Naona kumeanza kuchangamka... Umoja wa Wanawake (UWT) Kata ya Busanda, GEITA waandamana hadi ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakilalamikia mchakato wa mchujo wa awali wakupitisha majina ya wagombea katika ngazi ya Udiwani kwenye Chama hicho.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM Makete, Ngajilo: Ukikatwa usinune, lazima tumpate anayekubalika na Jamii

    Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Makete mkoani Njombe kimevunja ukimya na kusema mpaka sasa hakuna mtia nia wa nafasi yoyote ambaye jina lake limekatwa "Ukikatwa usinune" kauli ya Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete mkoani Njombe Clement Ngajilo. Akizungumza Julai 14, 2025 kwenye kikao cha wadau...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa tena Mahakama ya Kisutu, hadi Julai 30, 2025

    Wakuu! Mwenyekiti CHADEMA Taifa Tundu Lissu kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kwa ajili kesi ya Uhaini inayomhusu. Kumbuka kwamba kwenye kesi hii Tundu Lissu anajitetea mwenyewe. Je, leo mwamba anaachiwa au atarudishwa tena 'kukamilisha na kumalizia...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Victoria Mwanziva akabidhi matairi kwa gari ya CCM Lindi Vijijini kuunga mkono kazi za chama

    Mkuu wa Wilaya ya Lindi- Bi Victoria Mwanziva amekabidhi magurudumu (Matairi) kwa ajili ya gari ya Chama - CCM Wilaya ya Lindi Vijijini- katika kuunga mkono jitihada na kazi nzuri inayoendelea kufanywa na Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Lindi Vijijini inayohudumia Jimbo la Mtama- Halmashauri ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu: Makamishna Tume Huru ya Uchaguzi wajiuzulu ili kupisha mchakato wa kupatikana wapya

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu amewataka Makamishna wa Tume huru ya Uchaguzi kujiuzulu ili kupisha mchakato wa kupatikana makamishna wapya kwa mujibu wa sheria. Hapa tulipo, makamishna waliopo ni aliyewahi kuwa msemaji wa CCM, ndugu Omary Ramadhan Mapuri. Pia soma KWELI...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Recho Kiogwe: Kudai ‘reforms’ sio sababu ya kususia uchaguzi

    Mtia nia wa ubunge Jimbo la Mkinga mkoani Tanga kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Wakili Msomi Recho Kiogwe, amesema historia ya kudai mabadiliko ya kisiasa nchini ni ndefu na haikuwahi kuambatana na ususiaji wa chaguzi, hivyo anapinga hoja ya kususia uchaguzi kwa kisingizio cha...
Back
Top Bottom