GE2025 Ally Bananga: Mchujo wa wagombea DAR umekamilika

GE2025 Ally Bananga: Mchujo wa wagombea DAR umekamilika

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Kwenye upande wa wabunge na Viti Maalum jumla ya Wana Dar es Salaam zaidi ya Mia Nne walijaza fomu. Unapokaa na kujadili nafasi hizo mchakato wake unakuwa ni mrefu kwa sababu tulikuwa na vikao vya ngazi ya Sekretarieti, maadili na kamati ya siasa.

"Pia tulikuwa na vikao vya ngazi ya Jumuiya za kamati za utekelezaji UWT mkoa, wazazi Mkoa pamoja na Vijana Mkoa. Pia kuna wabunge ambao wanapitia katika Jumuiya hizo Tatu.

"Wabunge na madiwani wa Viti Maalum. Mchakato ni mrefu na unatumia muda mwingi na vikao hadi usiku vinafanyika. Tunashukuru tumekamilisha zoezi hilo Jana jioni"- Ally Bananga, Mwenezi CCM, Dar es Salaam.

1752214521949.png
 
Back
Top Bottom