uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania GE2025 Seth wa PAP tuliyemkamata na kumfunga leo tunamkaribisha kuchangia chama?

    "Mimi na Magufuli ni kitu kimoja" kweli? Magufuli yupi analiyemaanisha hapa? Magufuli huyu aliyemkamata Seth kwa ufisadi na utapeli? Magufuli huyu wa Chato au ni Magufuli wa Msoga? Leo Magufuli anavyoona kwamba yule Habinder aliyemkamata Leo amechangia chama, anajisikiaje? Ni kwa namna Gani...
  2. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina akijibu maswali magumu ana kwa ana na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu

    Leo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, Ndugu Luhaga Mpina, pamoja na Mgombea Mwenza wake, Ndugu Fatma Fereji, watazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, kuanzia saa 4:00 Asubuhi. #LindaKura #MuhuniHasusiwi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Mashimo: Watanzania Tuitunze amani ya nchi yetu kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu

    Mchungaji Mashimo amefanya mkutano na viongozi wa Dini mbalimbali Agosti 13, 2025 jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufikisha ujumbe wa amani kwa Watanzania hasa kuelekea kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba mwaka huu Chanzo: Kishamba Media
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Tunaendaje kwenye Uchaguzi wakati Mpinzani wa Kweli yuko Gerezani?

    Humphrey Polepole akizungumza kwa njia ya Mtandao usiku wa Agosti 13 amesema; "Mama Samia Mungu atamgusa, nchi hii ni kubwa zaidi kuliko yeye na kwamba dhamana ilimtaka yeye ndiyo awe Rais wa nchi yetu baada ya aliyekuwa Rais kutwaliwa na Mungu. Kwahiyo ana Haki ya kulinda maslai mapana ya nchi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Miradi 68 yaandaliwa kwa Mapokezi ya Mwenge Mkoa wa Mara

    Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza mbio zake mkoani Mara Agosti 15, 2025, ukitokea mkoani Simiyu, ambapo utazunguka katika halmashauri zote tisa za mkoa huo na kukagua, kuweka mawe ya msingi, kufungua na kuzindua miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 26.54 Akizungumza na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maelfu ya wanachama wa CCM Simiyu wajitokeza kumdhamini Rais Samia

    Maelfu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu wamejitokeza kumdhamini mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Chanzo: Jambo TV
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Naomba hili kwasababu tu niko Gerezani, Gerezani sio mahali pazuri. Angalizo - usimuamini mwanasiasa kirahisi

    Ndugu watanzania, Lissu alipokuwa mwenyekiti wa chadema alitamba kwamba yeye atakuwa wa kwanza kwenda gerezani na akahamasisha vijana wavunje sheria. Leo amekaa kidogo tu gerezani amekiri kwamba gerezani sio mahali pazuri. Namsihi akitoka gerezani asichochee watoto wa wenzake kufanya uhalifu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Taifa Mohamed Kawaida: Tupeleke watu ambao hatutapata shida kuwanadi, historia ya chama chetu hatuwezi kupata shida kuomba kura

    Mwenyekiti Wa Jumuiya ya Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Ccm Taifa Na Mjumbe Wa Kamati Kuu ya Ccm Taifa Ndg Mohamerd Kawaida Amesema Kuwa Chama cha Mapinduzi Kitaleta Wagombea Ambao wanauzika kwa Wananchi Ili Chama Hicho Kiweze Kushinda Kwa Kishindo Katika Uchaguzi Mkuu Ambao Unatarajia...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yapitisha Wagombea 208 wa Udiwani Dodoma kwa Uchaguzi Mkuu 2025

    Jumla ya wagombea 208 kati ya 209 wa nafasi ya udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma waliopata ushindi kwenye kura za maoni, wamepitishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya mkoa kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao. Hata hivyo, mgombea mmoja wa Kata ya Ihumwa jijini...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Michango mikubwa ya Chama kimoja inaweza kuamua matokeo ya Uchaguzi Mkuu?

    Wakuu! Harambee za kisiasa zimekuwa sehemu ya kawaida katika kampeni, na Tanzania hatuko mbali na hilo. Hofu yangu michango mikubwa, hasa inapokusanywa na chama kimoja, huibua mjadala iwapo nguvu ya fedha inaweza kushinda hoja na sera. CCM, kwa mfano, jana Agosti 12 ilifanya harambee na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa ile michango ya CCM jana, Nimegundua inawezekana kuwa na Harambee CCM kulipa deni la Taifa (Deni la Taifa Gala Dinner)

    Wakuu wa JF, Hawa ndugu zake Lucas Mwashambwa walipe tu deni la Taifa wenyewe Kwa namna ambavyo jana mawaziri, wafanyabishara na makundi mbalimbali ya CCM walivyokua wanataja kiasi cha fedha kwa ajili ya Michango ya kampeni za uchaguzi, nimewaza kuhusu Uongozi wa CCM ulivyochangia kuongezeka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi afanya Uteuzi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Leseni za Biashara na Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Chanzo: Zanzibar Mpya & Dodoma zone
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Wilaya ya Handeni avunja rasmi Makundi ya kiuchaguzi kwa vijana

    Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga Ndg. Shabani Lugendo amewataka vijana wote wa UVCCM Wilaya ya Handeni kuhakikisha wana vunja makundi ya kiuchaguzi ndani ya Chama na kuwaomba wasubiri jina la mgombea atakaye pendekwzwa na Chama Ameyasema hayo leo baada ya kufanya kikao cha...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais SAU aahidi ajira milion 10 kwa watanzania

    Mgombea urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza nchi, serikali yake itatoa ajira milioni 10 ndani ya kipindi cha miaka mitano. Kyara, ambaye aliambatana na mgombea mwenza wake Satia Mussa Bebwa, amesema mpango huo...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Hivi foleni inasogea au bado msululu ni mrefu?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche na wanachama wa chama hicho, wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kesi inayomkabili Tundu Lissu kuahirishwa.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kaya 3,255 kunufaika na Majiko ya Gesi Katavi

    Wananchi Kijiji cha Usevya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wamepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika kuhakikisha wanafikiwa na nishati safi ya kupikia kwa bei ya ruzuku. Wametoa pongezi hizo kijijini hapo Agosti 12, 2025 wakati wa zoezi la...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apeleka Bilioni 300 Tume ya umwagiliaji

    Chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mwaka wa fedha 2025|2026, Tume ya Umwagiliaji iliidhinishiwa jumla ya Shilingi 382,138,408,000. Fedha hizi zimetengwa kama ifuatavyo: Shilingi 308,721,961,000 ni fedha za Maendeleo, huku Shilingi 73,416,447,000 zikielekezwa kwa matumizi ya...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Rais Samia, anamuogopa Lissu, akosoa hatua ya kuzuia kesi kurushwa Live

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amvaa vikali mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Samia Suluhu kwa madai kwamba anamuogopa Mwenyekiti wao wa CHADEMA, Tundu Lissu, "hatukati tamaa" Heche amewashangaa Mawakili wa Jamhuri kwa kutaka kesi ya Lissu isirushe moja kwa moja kwa kile...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 BAWACHA wakifanya maombi nje ya mahakama ya Kisutu baada ya kesi ya Lissu kuahirishwa hadi Agosti 18

    Wanawake wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wameonekana wakifanya maombi nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya Uhaini ya Lissu hadi Agosti 18, 2025.
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto ambwaga Nondo kura za maoni ubunge Kigoma Mjini

    Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameibuka kidedea katika mchakato wa kura za maoni za kuwania Jimbo la Kigoma Mjini uliofanyika jana Jumanne Agosti 12, 2025. Katika mchakato huo uliofanyika mkoani Kigoma, Zitto ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya ACT Wazalendo, alipata kura 228...
Back
Top Bottom