uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa wananchi wanaomsifia Shigongo leo waliishije miaka minne iliyopita bila maendeleo yaliyokuja tu ghafla kuelekea uchaguzi 2025?

    Wakuu wa JF, nimekutana na video inaonyesha wananchi wa Buchosa wakitoa maoni wanamsifia aliyekua Mbunnge wao ambaye tena ni Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM Eric Shigongo. Imenifanya nifuatilie hayo maendeleo wanayozngumzia yamefanyika kipindi gani? na kwa nini kipindi hiko? Nimegundua...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais wa chama cha DP alivyowasili INEC kuchukua fomu

    Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya leo Jumatano Agosti 13, 2025 ameongoza msafara wake kuelekea Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo mtaa wa Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi. Soma pia: Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makada wanne wajitokeza kumrithi Ndugai

    Wagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo hilo, Hayati Job Ndugai. Tukio hilo limefanyika jana, Agosti 12, 2025. Hatua hiyo inafuatia uamuzi wa...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mluya: Serikali yangu itakuwa na wajibu wa kuwatunza mama mjamzito na mtoto kwa kumpa lishe bora kwa muda wa miezi mitatu

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Juma Mluya, akiambatana na Mgombea wake mwenza Sadoun Abrahman Khatib, leo Agosti 13, 2025, wamechukua fomu za uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa jijini Dodoma...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fid Q: Muda umefika watu wasikilize vizuri hizi kampeni ili kujua wanajihusisha na kitu gani

    Leo Agosti 13 ni kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rapa maarufu Fareed Kubanda, anayejulikana kama Fid Q akiwa amefanikiwa kutoa albamu kadhaa ikiwemo Propaganda, Roho, Kitaaolojia, na Mbinguni. Machi 16, 2020, akizungumza kupitia kipindi cha Salama Na Fid, kilichokuwa kikiwaendeshwa na Salama Jabir...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Polepole naomba maoni yako kuhusu uchangiaji wa kampeni CCM

    Sitaki nikuinfluence, toa maoni yako.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mvutano mkali wazuka kati ya Polisi na Mwandishi wa Habari Kisutu kwenye Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Mvutano mkali wazuka kati ya Jeshi la Polisi na mwandishi wa habari asubuhi hii Kisutu, kabla ya kuanza kwa usikilizaji wa kesi ya uhaini Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inayomkabili Mwenyekiti wa Chama, Tundu Lissu. Fuatilia mwenendo wa Kesi hapa > Kesi ya Uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi 18 Agosti 2025

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Franco Kiswaga, anatarajiwa kutoa uamuzi wa hoja zilizowasilishwa na pande mbili katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Kabla ya uamuzi huo, upande wa Jamhuri utatakiwa kutoa maelezo kuhusu hatua...
  9. bro alex

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyaona michango kwa CCM, wazalendo uchwara wenzangu zingatieni hili

    Hizi ni pesa, na mjini hakuna kitu cha bure. Wale waliotoa pesa wanajua zitawarudia vipi Ukitendewa ubaya na tajiri wa mjini—iwe ni kukanyagwa, kudhulumiwa mali zako, au kupigwa bila sababu maskini ni heri ukimbie tu. La sivyo, unaweza kupigwa risasi bure na hakuna kesi itakayofunguliwa Hebu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM iko vizuri inakubalika kwa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa, ushahidi michango mikubwa waliyochangia

    Uchumi wa Tanzania kwa sasa sehemu kubwa uko chini ya sekta binafsi sio serikali Na ndio walipa kodi wakubwa kodi ya kuendesha nchi na kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali CCM iko vizuri inakubalika kwa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa ushahidi michango waliyochangia ni ushahidi...
  11. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth Singh katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Uchaguzi Mkuu 2025

    Mfanyabishara na Mmiliki wa Kampuni ya PAP, Habinder Seth akiwa katika hafla ya harambee ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuchangia fedha za Uchaguzi Mkuu
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wangapi mmejua leo kuwa kuna chama kinaitwa CCK? Hii nchi imekaa kiupigaji sana

    Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele, ametaja moja ya changamoto kubwa kwa watumishi wa umma kuwa ni hofu ya kustaafu, akisema wengi wao hukosa ujasiri wa kuacha kazi hata wanapofikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria. Akizungumza leo Jumanne, Agosti...
  13. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania GE2025 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) wamekusanya Bilioni 86.31

    https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6 Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu ajibu kuhusu Polepole Kumbeza

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais na kushindana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu wa CHAUMMA atinga na nyomi kuchukua fomu ya Urais

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameambatana na mgombea mwenza wake Devotha Minja kufika kwa mbwembwe katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu za uteuzi wa Rais na...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Ni lini Mbowe alienda Gerezani kumona Tundu Lissu?

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anahoji ukimya wa mwenyekiti mstaafu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kwa kusema ni lini alienda Gerezani kumona mwanafunzi wake wa siasa Tundu Lissu?
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Kadutu: Luhaga Mpina na Salum Mwalimu bado hawafiki Viwango vya Urais tunavyohitaji. Tusilete utani tukaumia Miaka 5 ijayo

    Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (GCTC), Askofu Maximilian Machumu Kadutu (Mwanamapinduzi), amesema; "Naweza kusema nikiangalia ACT Wazalendo namuona Luhaga Mpina aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, namfahamu. Naangalia kwa upana bado hajafikia ile 'level' ya Rais tunayemhitaji kwenye...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Dalili zote zinaashiria Mbowe hayupo CHADEMA

    Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, anasema "Dalili zote Mbowe hayupo CHADEMA" Soma > Bwege: Polepole Kathibitisha CCM ndiyo tatizo, inavunja Katiba ya Chama na Tanzania na inadharau maoni ya Watanzania
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama CCM hawatatimiza Bilioni 500 kwenye harambee yao nipigwe ban ya maisha

    Hello! Mimi sina chama, wala siwezi kumshabikia mwanadamu anayekufa na kuoza ingawa kwa baadhi ya circumstances huwa nakuwa upande wa mtu fulani au kundi fulani. Mfano, Kwenye issue ya huyu Polepole tapeli wa kiasiasa lazima niwe upande wa Samia. Turudi kwenye mada. CCM inafanya harambee...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: CCM aidha inakosa watu wenye akili wakaishauri au inaona Watanzania hawana akili

    Katika haya mawili. Moja ni sahihi. 1. CCM haina au haitumii washauri wenye akili imeamua kuongozwa na wasio au wenye akili ndogo. 2. CCM imegundua watanzania wengi hawana either au hawatumii akili
Back
Top Bottom