uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es salaam imemteua Shetta kugombea Udiwani Kata ya Mchikichi

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es salaam imemteua Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya na Mwanachama wa Chama hicho, Nurdin Bilal Juma (Shetta) kugombea Udiwani Kata ya Mchikichini Wilaya ya Ilala Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Ally Bananga...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Sijashiriki kumpitisha Rais Samia kwenye mkutano mkuu wa CCM

    Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amejibu kuhusu kumpitisha Rais Samia kwenye mkutano mkuu wa CCM
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Watuhumiwa wa ufisadi na ubadhilifu wa fedha za umma hawachukuliwi hatua badale yake wanapandishwa vyeo na kuteuliwa nafasi kubwa za maamuzi

    Mgombea na nafasi ya Urais ACT wazalendo na alieyekua mwanachama wa CCM, Luhaga Mpina akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam ameeleza kuhusu uwajibikaji wake kwa Taifa kwa kufichua vitendo vya ufisadi na rushwa kuwa kosa la yeye kuenguliwa kugombea Ubunge kupitia CCM...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Samia aliposema mimi ni Mbunge wa Taifa, alimaanisha nitakuwa Rais

    Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, leo Agosti 14 jijini Dares Salaam, mgombea urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema Rais Samia Suluhu Hassan aliposema kuwa yeye anafaa kuwa Mbunge wa Taifa, alimaanisha kwamna yeye atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Rais Samia alitoa taarifa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Taarifa za Jina langu kukatwa kugombea Ubunge Jimbo la Kisesa zilianza kutangzwa miaka 2 iliyopita na baadhi ya Viongozi wa CCM

    Akizungumza Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, Mgombea nafasin ya Urais chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina ameeleza kuwa taarifa za kukatwa jina lake kugombea ubunge Jimbo la Kisesa zilianza kutangazwa miaka miwili iliyopita na baadhi ya viongozi wa CCM...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Live ya kesi ya Lissu waliokuwa wanafuatilia ni zaidi ya watu 10K alafu live ya harambee ya CCM walikuwa watu 500

    Mioyo ya watanzania imeanza kuamka sasa, hawafuatilii tena vitu visivyo na mbele wala nyuma Giza limeanza kuondoka, matongotongo machoni mwa watanzania hayakaliki tena, hadi saluni siku hizi wadada hawapigi tena umbea bali wanakaa na kumtazama jamaa aliebeba tumaini lao
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mpina ataja sababu za kuhama CCM

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameeleza sababu zilizomfanya kuondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuhamia ACT Wazalendo. Soma pia: Bwege: Mpina siyo katoka...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Nampongeza Lissu kwa Uzalendo wake, Mungu hatomuacha, aikubali 'No Reforms No Election'

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    1. ACT WAZLENDO LUHAGA MPINA Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina Chama: ACT Wazalendo Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania) Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde Historia ya Siasa: Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM) Waziri wa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Kwenye Harambee ya CCM kuna Watu pale tunawadai zaidi ya Bilioni 400 anaenda kwenye Mkutano wa CCM anatoa Bilioni 1

  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Nilianza kusikia nampiga vita Rais, nikachukua hatua ya kukutana na viongozi waandamizi wa Serikali, nikaomba kuonana na Rais haikuwezekana

    Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, Mgombea nafasi ya Urasi chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina na aliyekua Mbunge Jimbo la Kisesa na Mwanachama wa CCM, ameeleza kuhusu kuenguliwa kugombea ndani ya CCM na kuhama chama Ameeleza baada ya...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: CCM ina wenyewe na hao wenyewe ndio mliowaona juzi kwenye harambee yao

    Luhaga Mpina Mgombea urais kupitia chama Cha ACT-Wazalendo akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini leo tarehe 14 Agost, 2025 katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam. "Nimezaliwa katika familia ya CCM akiwemo baba yangu ambaye ni mwanzilishi wa Chama Cha TANU,lakini...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Niliandika maoni kurasa 235 kwa Tume ya rais ya maboresho ya kodi, angalieni wagombea wote kama waliwahi kuandika hata kurasa 5 kushauri Taifa

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, Mgombea akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam ameeleza yale aliyoyafanya katika kipindi cha uongozi wake aiwa kama waziri na Mbunge. Luhaga Mpina amesema...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi yaonya lugha za vitisho, uzushi, matusi na uchonganishi wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Jeshi la Polisi limeagiza wananchi wajiepushe na lugha za vitisho, matusi na uchonganishi wakati huu wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime amesema hayo alipozungumza kwa njia ya Simu katika kipindi cha Power Breakfast kilichorushwa na Kituo cha Redio cha Clouds...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vya Siasa vyakumbushwa sheria za gharama/bajeti za uchaguzi

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imewakumbusha viongozi wa vyama kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi, ambayo imefanyiwa marekebisho na Bunge mwaka huu. Lengo ni kuepusha viongozi kuwekewa pingamizi au kufikishwa mahakamani kwa makosa ya jinai Maelekezo hayo yametolewa wakati...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa mtazamo wako, kati ya mgombea urais Luhaga Mpina wa (ACT Wazalendo) na Salum Mwalimu wa (CHAUMMA), nani mkali zaidi na mwenye haiba ya urais?

    Ni yupi ana ushawishi zaidi na angalau mtaji wa kura za kumzidi mwingine? Kumbuka Luhaga Mpina anatoka mkoa Simiyu, huku Salumu Mwalimu akiwa anatoka Unguja, Zanzibar. Salum Mwalimu ana uzoefu wa kua naibu katibu mkuu wa chadema Taifa huko nyuma, na pia aliwahi kua mgombea mwenza wa urais...
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Wanahabari wafundwa kuhusu usalama kipindi cha uchaguzi

    Agosti 13, 2025 Wanahabari Mkoani Kigoma wamepatiwa mafunzo ya namna ya kujilinda wakati wa utekelezaji wa majukumu yao kipindi cha kampeni hadi uchaguzi Mkuu mwaka huu 2025. Mafunzo hayo yaliyohudhuriwa na wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari mkoani Kigoma yametolewa katika Ofisi za...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukweli usiopingika, miaka mitano ya Samia alikuwa anatembelea nyota ya Magufuli, hii mitano ya kwake ndiyo tutajua uhalisia wake

    Waswahili wana msemo akiutaka mpe,yeye ndiye atakayejua. Hakuna asiyejua Magufuri alifanya mambo makubwa sana ambayo hatukuwahi kuyashuhudia maishani mwetu Tanzania ilipaa na kusifika kila mahali,alipofariki Samia aririthi kiti chake na kuendeleza yale ya Magufuri ndiyo maana kulikuwa na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Vunjo wawashangaa wajumbe CCM kumnyima kura Dkt. Kimei

    Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Jimbo la Vunjo wameeleza mshangao wao mkubwa kufuatia kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo Mhe. Dkt. Charles Kimei — ambaye amebaki kwenye kumbukumbu za wengi kama mbunge aliyetekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kuliko watangulizi wake wote —...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA yawasha moto Same Magharibi urejeshaji fomu za watia nia

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoani Kilimanjaro kimezindua ofisi zake za Jimbo la Same Magharibi Mkoani humo sambamba na kuanza kupokea fomu za watiania walioomba ridhaa ya kuchaguliwa kugombea nafasi ya Ubunge Akizungumza Agosti 13, 2025 wakati akirejesha fomu ya kuwania ubunge Jimbo...
Back
Top Bottom