Baadhi ya wafuasi wa Chama cha Kijamii INEC wakimsindikiza mgombea wa nafasi ya Urais, David Mwaijojele na mgombea mwenza, Masoud Ali Abdalla katika uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba 2025 katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) leo Agosti 12, 2025
Wakuu
Seleman Bungara (Bwege), aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, amefunguka kuhusu Luhaga Mpina, mgombea wa Urais kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, akisisitiza kuwa “Mpina hajatoka CCM amefukuzwa CCM”
,
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema ameandika kupitia mtandao wa X (zamani Twitter) amewataka Jambo na Millard Ayo wasiwe na hofu ya kutoa ushahidi wa kweli endapo Jamhuri itawahitaji, akisisitiza kuwa ukweli ndio kinga ya kwanza ya haki na kesi zinazohusu dhamiri ya taifa haziwezi...
Aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lumola Kahumbi, amejiunga rasmi na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), akibainisha kuwa uamuzi wa chama chake cha zamani kususia Uchaguzi Mkuu wa 2025 umekuwa sababu kuu ya kuhama.
Akizungumza Agosti 11, 2025 katika ofisi za...
Hamisi Kigwangalla amezungumza mbele ya kamera kwa mara ya kwanza baada ya kubwagwa kwenye Kura za maoni nafasi ya Ubunge na amesema;
"Kwenye ushindani linaweza kutokea jambo lolote, hata timu nzuri saa nyingine hushindwa na timu ya hovyo hovyo"
Saa nyingine wanasema hata Saa mbovu husema...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, hapa wakati anaongea na Wanahabari mchana wa Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, kuhusu mkakati wa kudhibiti pesa za Raia wa Kigeni amesema;
"Kwanza ni jambo muhimu...
Soma pia: Chama cha ADA TADEA chatangaza wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kugombea watachukua fomu bure
Mgombea wa urais kupitia Tiketi ya chama cha ADA TADEA Georges Bussungu akiwa na mgombea mwenza Ali Makame Issa baada ya kuchukua fomu ya kugombea Katika ofisi za Tume huru ya Taifa...
Wakuu
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ameweka wazi kuwa siku Mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu akiondoka basi yeye atarejea CHADEMA.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba wakati wa kutambulisha harambee ya chama itakayofanyika Agosti 12, 2025, pia alitamka kuwa baadhi ya Waandishi wa Habari ni...
Wakuu,
====
katika kipindi hiki cha uchaguzi baadhi ya vyama vimekuwa vikigawa vyakula kama vile (Ubwabwa) vinywaji na zawadi zingine kama vitenge tisheti, baisketi, pikipiki kwa wananchi wanapopita kujinadi katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Kitendo hiki kinaibua maswali mengi kuhusu uhalali...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, amezungumza na wanahabari leo tarehe 11 Agosti 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba. Akijibu kuhusu jitihada za kudhibiti pesa haramu amesema, "Jitihada yetu kubwa sasa hivi kama...
Mgombea urais kupitia chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Alma alivyokabidhiwa fomu za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Dodoma
Mgombea wa Urais kupitia chama cha Union for multpart Democracy (UMD) Mwajuma Noty Mirambo Amesema Sera za chama hicho zimejikita katika uchumi wa majimbo ambapo kila mtanzania atafaidika na vitega uchumi pamoja na miradi inayopatikana katika maeneo wanayo ishi wananchi.
Mgombea huyo wa urais...
==
Chini ya Rais Samia, bajeti ya TARURA Mkoa wa Mara imeongezeka kutoka shilingi bilioni 6.92 mwaka 2020/2021 hadi bilioni 25.71 mwaka 2024/2025, ikisaidia kufungua barabara mpya, kukarabati za zamani na kuwezesha upitishaji wa barabara misimu yote kwa asilimia 72.7.
TANROADS imetekeleza...
Wakuu!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka."
"Lakini hatutapokea...
Siasa sio mchezo mchafu ila wanasiasa ndio wachafu, dhahabu kuipakaza matope haipotezi thamani yake ila itakua na muonekano mbaya. Mnamkumbuka huyu mzee Deo Sanga, mbunge wa jimbo la Makambako?
Soma pia: Vyama vya Siasa havitoi Ahadi ya Uzima wa Milele uliotolewa na Agano la Yesu Kristo kwa...
Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amesema moja ya mipango yake mikuu kama angepata nafasi, ilikuwa ni kurejesha mabasi yote ya mikoani kwenye Stendi ya Magufuli, Mbezi.
Anasema mpango huo ulikuwa ni kupunguza msongamano katikati ya jiji.
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa kweli wa CHAUMMA, anahoji kwa nini Mke wa Mheshimiwa Lissu haonekani Mahakamani lakini bado tunalazimisha Mheshimiwa Mbowe aonekane Mahakamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.