KONGWA. Kampení za uchaguzi kuwania ubunge kupitia chama Cha mapinduzi zimeanza Leo tarehe 15-8-2025, zikianzia Kata ya Kibaigwa . Wagombea wapo 13 ikiwemo 7 kati ya 10 waliowania pàmoja na Hayati Ndugai na ingizo jipya ni wagombea 6
Baada ya kifo Cha Ndugai Jumla ya watia Nia 24 walijitupa...
Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina
Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha United Democratic Party (UDP), Saum Hussein Rashid, akiambatana na mgombea mwenza wake Juma Khamis Faki, wamechukua fomu za uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa jijini Dodoma.
Baada ya...
Wafuasi wa Chama Cha United Democratic Party, UDP wakiingia ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kumsindikiza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Saumu Hussein Rashid leo, Agosti 15,2025
Taasisi ya Pollicy Data Institute Agosti 15, 2025 imeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari nchini Tanzania, yakilenga mbinu za kuandika habari zisizowabagua wanawake, hasa wale wanaojihusisha na siasa. Mafunzo haya ni sehemu ya mradi wa kimataifa unaoitwa Vote Women, unaolenga kuongeza...
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, amejiunga na zaidi ya wanachama 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, mkoani Dodoma.
Mchakato wa kutafuta mgombea mpya umetangazwa kurudiwa baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge na...
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Africa Farmers Party (AAFP), Said Soud, amesema endapo atapata ridhaa ya Wananchi wa Zanzibar kuwa Rais, atatenga fedha maalum kwa ajili ya kuwapatia Vijana mahari ili waweze kuoa
Soud amesema hayo Agosti 14, 2025 alipokuwa...
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
Wananchi wa kata ya Ihumwa wametaka kurejeshwa kwa jina mgombea wao wa Udiwani alie ondolewa kwa madai ya sababu za kimaadili.
Wakiongea na Dodoma Fm wananchi hao wamemtaka msimamizi wa uchaguzi wa chama cha CCM mkoa wa Dodoma kuwasaidia ili jina la mgombea huyo wanae mtaka lirejeshwe mara moja...
Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
Mtia nia nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Grace Kiwelu, amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Vunjo, huku Katibu wa chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema akitaka uchaguzi uwe huru na wa haki
Lema ameyasema hayo leo Agosti 14, 2025...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Vijijini kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Bi Shamsia Aziz Mtamba leo amejitokeza rasmi katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Vijijini kuchukua fomu ya kugombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao.
Bi Shamsia Mtamba ambaye amewahi...
Chama cha NCCR-Mageuzi kimezindua ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2025–2030 iliyobeba vipaumbele 11, ikiwemo upatikanaji wa katiba mpya.
Pia, chama hicho kimetangaza wagombea wake kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano, Haji Khamis, na mgombea mwenza, Dkt. Eveline Munis, pamoja na mgombea...
Kama alivyonukuliwa kupitia Kipindi cha Wake Up Call cha UPENDO TV ambacho kinaongozwa na mwanahabari mahiri na Makini Fransic Nongolo amesema kuwa yeye Kiumri na uzoefu wake kwenye siasa hawezi kushika wadhifa huo Mkubwa. Video hii hapa
Wakati dirisha la uchukuaji fomu za uteuzi kwa ajili ya kugombea nafasi za Ubunge likiwa tayari limefunguliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, wagombea wawili wa Chama cha Wananchi CUF, Bw. Nkunyuntila Siwale (Jimbo la Mbozi), ambaye awali aliomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, kupitia...
Mfano siku 3 kabla ya uchaguzi, mgombea wa UDP au TLP wa nafasi ya uRais akang’ata shuka.., utaratibu ni kuahirisha uchaguzi au inakuwaje..
Utaratibu wa kikatiba unasemaje?
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais, Serikali yake itatoa bure huduma zote za kijamii ikiwemo afya, kuunganisha umeme, maji na elimu kuanzia ngazi ya awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.