Poleni kwa msiba wa Taifa, Mwenyezi Mungu atufariji sote kwa kuondokewa na Rais wetu mtaafu mzee Mkapa, RIP.
Niende kunako hoja yangu juu ya UCHAGUZI ujao, nionavyo mimi, uchaguzi huu unaweza kuwa na MVUTO like never before, tazama mapokezi ya Tundu yalivyokuwa, regardless ya msiba mzito, watu...