ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hamis Mbeto: Ukitoa Rushwa Tunakukata kwenye uteuzi wa wagombea Ubunge na Udiwani

    UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea wa chama cha mapinduzi wanavyo patikana katika mchujo wa kura za maoni na kusisitiza kuwa wagombea...
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais tunakuomba ufute sheria ya kututeulia wabunge na madiwani. Tayari una nguvu ya kuteua wakuu wa mikoa na wilaya

    Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri. Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nini kimesababisha CCM kujitokeza watia nia wengi nafasi za udiwani na ubunge?

    Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025. Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya...
  4. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mrisho Gambo anastahili Ubunge Arusha, anazo sifa ,huyu mwingine ni mchonganishi na mfitini anatakiwa kupewa ubunge labda wa kuteuliwa !

    Nawakumbusha CCM kwamba kazi kubwa wanayoipigania makada , kwenda bungeni na kuikimbia mikoa walimokuwa wameteuliwa kuongoza ,kwa ngazi mbalimbali kama u dc na u rc ni kwenda kupiga meza bungeni ,na kujihakikishia miaka mitano ya kuwa active na kula posho !! Hakuna miujiza atakayoileta Paul...
  5. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) ‘kiwaondoe’ wanaonunua Ubunge

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kinaketi mjini Dodoma kwa ajili ya kuchuja majina ya wanachama wake walioomba kukiwakilisha chama hicho katika nafasi za ubunge na uwakilishi, kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakaofanyika Oktoba 29. Jana Jumamosi, CCM kilifanyia marekebisho kile kifungu cha...
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Onyo la CDF: Ilikuwaje CCM ikampitisha Ssebuyoya (mrundi anayejaza warundi nchini) kuwa mwakilishi wa vijana?

    Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa . Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital...
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Susan Kiwanga kugombea tena Ubunge kupitia CHAUMMA

    Aliyekuwa Mbunge wa Mlimba 2015-2020 kupitia Chadema, Susan Kiwanga ambaye sasa ni mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) amechukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kipya kuwania ubunge wa Mlimba katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kiwanga amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumatano, Julai...
  8. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais TLS ampigia chapuo Nkuba Ubunge Kahama Mjini

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amewaomaba wananchi wa Kahama Mjini kumchagua Sweetbert Nkuba aliyewania kugombea ubunge endapo atapitishwa na chama chake cha CCM. Wakili Mwabukusi ameandika katika ukurasa wake wa Facebook baada ya Nkuba kumtembelea ofisini...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa misaada makanisani na misikitini ni kigezo cha kuteulia kugombea ubunge kupitia CCM Moshi Mjini?

    Ibra Line, ambaye ni mtia nia kupitia CCM, anajulikana sana kwenye mitandao ya kijamii akitoa mamilioni ya fedha kama michango katika makanisa na misikiti huko Moshi Mjini. Hii inakuja wakati ambapo amejaza fomu ya kugombea ubunge katika eneo hilo. Swali langu kwa wanamoshi ni hili: Je...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa wagombea wa ubunge kupitia CCM ufanyike kwa umakini mkubwa

    Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea. Katika Bunge lililopita baadhi ya Wabunge walidanganya wasifu wao yaani CV na wengine kudiriki kusema kuwa...
  11. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Kama watia Nia UDIWANI na UBUNGE wanajadiliwa na KAMATI KUU TAIFA, Je watia Nia URAISI watajadiliwa na kamati gani?

    Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini? Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea. Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Makalla: Watia nia nafasi za Udiwani ni zaidi ya 27,000 na Ubunge ni zaidi ya 10,000

    Amos Makalla alipoulizwa sababu za kupeleka mbele mchakato wa uteuzi ameeleza kuotokana na namba kubwa ya watu walioomba nafasi hizo ngazi ya udiwani na ubunge. Ameeleza kuwa waliotia nia udiwani ni zaidi ya 27,000 na Ubunge 10,000.
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Kilimanjaro: Tunafanyia kazi malalamiko 11 ya rushwa dhidi ya watia nia Ubunge CCM

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imeeleza kuwa imepokea malalamiko 11 yanayohusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watiania wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumanne Julai 15, 2025 na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Ukonga wataka mabadiliko Ubunge, wamtaja Msama kuwa ni mpambanaji

    Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Professor Maghembe ameishiwa sere na Sasa anatumia udini kumsimika Madara ya ubunge wa Mwanga mwanae

    Inasikitisha sana na Kuona mwanasiasa mkongwe aliyehudumu mihula minne jimboni Mwanga mkoani Kilimanjaro akikosa mbinu ya kumnadi mwanaye na Sasa anamtumia shekh wa wilaya kuendesha harakati za udini misikiti yote ya BAKWATA jimboni humo Mtoto wa professor Maghembe ajulikamaye kama...
  16. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kashfa kubwa mchujo wa Ubunge Mwanga. Kama wewe sio Muislam hupiti. Sikiliza audio iliyovuja

    Mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni za kuwania nafasi mbalimbali za Ubunge na Udiwani, zimeingia dosari baada ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Mwanga, Ibrahim Mzava, kudaiwa kuendesha mchakato huo kwa ubaguzi wa dini pamoja na kuomba rushwa kwa baadhi ya watia nia wa Ubunge...
  17. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Heche kuna kigogo ndani ya CCM aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili wa ubunge.

    Ndani ya CCM Kuna mambo ya kutisha. Henche amesema sahivi Wana CCM wanampiga simu wanasema kuwa na wenyewe wanataka reforms. Heche amesema kuna kigogo ndani ya CCM Kwakua mfumo haumuitaji siku ya usahili aliwekwa ndani Ili hasiende kwenye usahili. Lakini pia amebainisha ya kwamba Majaliwa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika?

    Wazanzibari wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika? Wanaruhusiwa kugombea uenyikiti wa vijiji na mitaa Tanganyika?
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Witara akimwaga machozi baada ya kuliwa kichwa na wajumbe

    Waitara analia. Magufuli hayupo Wajumbe wamemla kichwa tayari
  20. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Boni Yai amehamia CHAUMMA na kutangaza nia ya kugombea ubunge

    JamiiCheck ni kweli kuwa BoniYai kahamia CHADEMA?
Back
Top Bottom