ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Kada wa CCM Shaban Matwebe akataliwa kuchukua form ya kugombea Ubunge jimbo la Mchengerwa.

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji. Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
  2. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Covid 19 na wanachadema wengine mlio gombea CCM ubunge, kwa sababu ya tamaaa zenu! Mkienguliwa huko, msililie Maana mmekataa NRNE

    Watanzania wote hatutawasikiliza mkipigwa chini huko ccm kwenye kura za maoni. Mmekataa masilai ya taifa , mmetanguliza matumbo yenu, Ivi mhajifunzi kwa yule makamu wa zanzibar mwaka 2014 akisimama upande wa haki, mfumo wakamtimbua kama mwasheria wa serikali, karma ikamkumbuka leo hii ni makamu...
  3. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Kesho nachukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ruangwa

    Habari wakuu, Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo. Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kisesa hakuna aliyechukua form ya ubunge, wanamtaka Luhaga Mpina tu

    Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi...
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshindani wa Mchengerwa ndani ya CCM adai kunyimwa fomu kutia nia ubunge Rufiji

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amejikuta katika hali ya mshangao baada ya Katibu wa Chama hicho wilaya ya Rujifi kumnyima fomu ya kukiomba Chama chake kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Matwebe anatajiwa kuchuana na Mbunge anayemaliza muda wake Mohamed...
  6. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Sifa za Ubunge East Africa, Tanzania ni shimoni Bado

    🇹🇿 Tanzania Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977: Sifa za kuwa Mbunge ni: 1. Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa uraia wa kawaida aliyeishi muda mrefu nchini. 2. Awe na umri usiopungua miaka 21. 3. Awe anayejua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza. 4...
  7. Solo Traveller

    JamiiForums Tanzania Huyu nae anagombea ubunge hata shati Hajanyoosha

    Upuuzii tu kwa form ni shingapi?
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya CCM kuwapa wapinzani ubunge ni kuwapa hawa Covid 1

    Naona wote vibaraka wa CCM wamerudi CCM na kuchukua fomu. Ahadi ya CCM kugawa majimbo ya uchaguzi inavyotaka imetimia. Siasa za kitapeli zimetawala Tanzania
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rose Rwakatale achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba, Morogoro

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk.Kellen-Rose Rwakatale amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Mlimba mkoani Morogoro. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Rwakatale amesema anayo dhamira ya dhati kulitumikia jimbo hilo la Mlimba kwani anazijua changamoto...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brighton Kinemo achukua fomu ya ubunge Mvomero

    Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Mvomero mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Brighton Kinemo, leo amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi hiyo huku akiahidi kuwaletea wananchi wa Mvomero mabadiliko chanya yanayojengwa juu ya misingi ya uongozi bora, siasa safi na maendeleo jumuishi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mshiu autaka ubunge wa Viti Maalum vijana

    Mjumbe wa baraza la Umoja wa Vijana wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam @dorcasmshiu amechukua fomu ya ubunge wa Viti Maalumu kundi la Vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuakisi nyanja ya sayansi na teknolojia, kusaidia vijana kupata fursa mbalimbali na kufikisha hoja za...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Joshua Nassari alitaka tena Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM

    "Sasa nafikiri imefika muda ni wakati wa uchaguzi na mwaka wa uchaguzi na mimi nimewiwa kuzisikiliza sauti za watu wa Meru. Nimezisikiliza kisawasawa kwahiyo nimedhamiria na nimekuja kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha mapinduzi kupeperusha bendera ya kiti cha ubunge Jimbo la Arumeru...
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Fomu ya ubunge CHAUMMA ni Tsh. 50,000

    Wakuu Sasa mshindwe nyinyi tu. CHAUMMA imetangaza rasmi kufungua dirisha la uchukuaji wa fomu za ubunge na udiwani kuanza hapo kesho Julai 1, 2025 huku gharama ikiwa ni Sh. 50,000 kwa ubunge. Ubunge viti maalum - Sh. 50,000 udiwani viti maalum - Sh. 10,000 Ujumbe wa baraza la wawikilishi -...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Founder Maxence Melo huu nawe ni wakati wako sasa Kugombea Ubunge kwenu Kagera au njoo kwetu Mara tukupe Jimbo utuwakilishe Bungeni

    Na majimbo ambayo ukija Mkoani Mara tutakupa Ugombee ni ya Tarime Mjini, Serengeti na Mwibara kwa Watu waliopinda. Cc: Maxence Melo
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM vita ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge inaweza kuwafanya wakaumizana sana

    Hali ni ngumu sana ndani ya ccm kwenye vita ya kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea ubunge ma sidhani kama majeraha yatapona baada ya uchaguzi kama utakuwepo bila kujali kama watashinda ama la Vita vyao wenyewe kwa wenyewe vinafunua siri nyingi sana za huko nyuma .. Ni faida ya baadae huko...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fadhili Salmon atia nia Ubunge Jimbo la Itwangi, Shinyanga

    Fadhili Salmon Nafutari, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Itwangi, Wilaya ya Shinyanga akiwa na msukumo wa kulijenga jimbo hilo kupitia rasilimali zake za asili na nguvu kazi ya wananchi, Fadhili Salmon Nafutari amechukua fomu mapema leo Juni 30, 2025 katika...
  17. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania GE2025 Money VS Power: Siri ya Matajiri na Watu maarufu kuutaka Ubunge Tanzania

    HELLO JF Wiki hii kumekuwa na wimbi kubwa la watu maarufu na matajiri kukimbilia kuchukua fomu za kugombea ubunge, jambo lililoibua mijadala mitandaoni huku wengi wakiuliza: "Kuna siri gani kwenye Ubunge?" Inawezekana sababu mojawapo ni uchu wa kuwatumikia wananchi, lakini ukweli ni kwamba...
  18. mshale21

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kugombea ubunge , udiwani na urais viboreshwe, la sivyo tutatengeneza Taifa lenye viongozi vilaza

    Kwa vigezo vilivyopo na katiba mbovu tuliyonayo , ni wazi kabisa tunakoelekea tutatengeneza wabunge na mawaziri vilaza kuliko kawaida. Nashauri hili suala liangaliwe kwa jisho la tatu na kwa wivu mkubwa kwa maslahi mapana ya taifa letu, ni wazi kabisa kuwa walioitengeneza katiba hii...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  20. majumba 6

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa ndio miamba wawili wanaotarajiwa kushinda ubunge kwa kishindo

    Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030 Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero. #KAZI NA UTU, TUNASONGA...
Back
Top Bottom