ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Mimi Raia wa kawaida najiuliza, kamati kuu ya CCM ndio inateua wagombea wa ubunge, lakini kamati hiyo hiyo ndio inatakiwa kuhojiwa na Bunge

    Kama kichwa cha habari kisemavyo, hata kama wewe una IQ ndogo utajiuliza. CCM ndio chama tawala tangu uhuru, bila shaka kwa namna wanavyowapiga rungu wapinzani, ni wazi kuwa wabunge walioteuliwa na watawala ndio watarudi bungeni kwa wingi. Moja ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuihoji...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan — mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini, na nuru ya wanyonge. Ameonyesha kujawa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai, unagombea ubunge Ili iwe Nini?

    Salaam! Kuna Nafasi ipi ya juu bungeni ambayo hukuifikia ambayo inakupa ujasiri wa kugombea Tena ubunge? Kwanini usitafute changamoto nyingine? Tafadhali sana nakusihi , achana na harakati hizo kuepuka hizi aibu ndogo ndogo. Swali: Unagombea ubunge Ili iweje? Nawasilisha 🙏
  5. DIVISHENI FOO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Catherine Kahabi hajateuliwa ubunge?

    Yule dada machachari mwenye dishi lililochangamka kwani hajateuliwa kugombea ubunge? Sifa zote anazo, ni mpingaji mzuri wa dhambi ya ushoga na usagaji, anafaa kuwa hata Rais. Babu yake mwakyembe anapeta tu, nasikia kawa sijui Mkurugenzi wa nini. Natamani na Catherine naye akumbukwe. Amefungua...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Lucy Kombani na Sheila Lukuba waongoza kura ubunge viti maalum mkoa wa Morogoro

    Mchakato wa kura za maoni kuwapata wagombea ubunge viti maalumu kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoani Morogoro umekamilika, huku Lucy Kombani akiongoza kwa kupata kura 1,314 kati ya kura halali 1,646 zilizopigwa, akifuatiwa na Sheila Lukuba aliyepata kura 597. Katika mkutano huo...
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Suma Fyonda na Maryprisca Mahundi wachomoza kura za maoni nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya

    Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla. Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Toa neno moja kwa wajumbe wa CCM kuelekea uchaguzi wa wagombea ubunge na Udiwani 2025 ndani ya CCM

    Kwangu mimi wale pesa kura wapeleke kwa mtu sahihi .
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MLIOCHAGULIWA KUGOMBANIA UBUNGE YAAN HAPA MCHEZO UNAANZA WAJUMBE HAMJAWAJUA VIZURI SUBIRINI...MSIJISIFU SANA WL..HELA ZENU TUTAKULA VIZURI TU

    NIMEONA JANA KUNA MAENEOO YA BANANA WAJUMBE KADHAA WANAPONGEZANA MGOMBEA WAO JINA LIMERUDI NAOMBA NIWAHAKIKISHIE YAANA ILE ILIOTOKEA N TRELA PICHA HALISI YA WAJUMBE SUBIRI NI KK YAAN PALE.MTAJUA HAMJUI USHAURIII HONGA TOA RUSHWA KWA KILE AMBACHO HAKITAKUUMIZA WAJUMBE WAKIKUTENGENEZA KAMA...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

    Mbunge Atupele Fredy Mwakibete na watia nia wengine wameanza Kampeni za Kujitambulisha na Kujinadi mbele ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Kata Mbalimbali Jimboni Busokelo. Akijinadi Mbele ya Wanachama wa Kata za Lwangwa na Kabula,Mwakibete amesema kuwa maendeleo yaliyofanyika Jimboni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya ubunge nje ya maslahi na heshima kwenye jamii

    Nimekuwa nikijiuliza maswali tele, kuwa ni nini hasa kipo nyuma ya ubunge? Kwanini watu wanaufukuzia kwa kiwango cha kutisha hivi. Unakuta mtu tayari ana uchumi mkubwa....ana miradi yake ipo stable tu, lakini bado anausaka ubunge... Angalia mtu kama Abood, late Mkono nk Utakuta mwingine ana...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba CCM inakubalika ndio maana ilipata watia nia wengi kwenye ubunge udiwani bali ubunge na udiwani vimeguka kuwa mtaji wa kibiashara.

    Huu ndio ukweli wenyewe watia nia wengi wanaenda walikuwa na nia ya kupata peaa tu maana ubunge unalipa. Mshahara mnono wa mil 15, posho ya kikao laki tatu kwa siku bado madili kibao ukiwa na miradi ya maendeleo jimboni. Hili la kusema eti ni kwa sababu CCM inakubalika sio kweli
  13. T

    JamiiForums Tanzania Njoo tupate elimu juu ya uhalisia wa hatua za mchakato wa upatikanaji wa mgombea ubunge na udiwani ndani ya CCM

    Salaam Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kuelewa hatua za michujo anazopitia mwanachama wa CCM kuanzia kuchukua form hadi kula za maoni na kuchaguliwa mtu mmoja kama mgombea wa jimbo au kata fulani. Tafadhari kama unauelewa juu ya hili share nasi hatua moja baada ya nyingine hasa utaratibu mpya...
  14. Mfilisti

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ageuka mbogo sakata la uteuzi wa wagombea ubunge, majina hayakufika Dodoma

    https://youtu.be/BhcymOXCtEM Kamati kuu ya Chama wajaribu kurudia na kutazama upya mchakato wa kuteuwa wagombe wa Ubunge hususani kutoka Jimbo la Meatu ili haki itendeke zaidi. Ambapo viongozi wa chama waje Jimbo la Meatu wasikilizeni wananchi kilichokuwa kinafanyika, ambapo viongozi wa chama...
  16. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwandishi Mkuu Hotuba za Rais Kikwete kwa miaka 10 Leo hii ni useless kwa nafasi Ubunge?

    Tutampopoa Makamba mpaka akome Huyu kijana alishiriki sana kuandaa na kuandika Hotuba za Rais Kikwete miaka kumi wa utawalal wake Leo hii ni useless hata kwa ubunge Mimi nasema Baba levo ni useless kipeuo Cha pili ila kapenya. Je wana wa Kikwete ni useble?😝🤣😂
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu maarufu walioachwa katika kinyang'anyiro cha Ubunge CCM 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28. Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yampitisha Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha mfanyabiasha maarufu Salum Kinyoro 'Kibakuli' kuwania ubunge wa Jimbo la Handeni mjini. Salum atachuana na wagombea wengine watano. Katibu wa Itikadi na Uenezi, Amos Makala ametangaza majina hayo leo Julai 29, 2025.
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waliokuwa wabunge wa CHADEMA (Covid 19) waliohamia CCM na kubwagwa kura za maoni Ubunge

    Nadhani wote tunawakumbuka wale wabunge 19 walioingizwa bungeni kinyemela kwa tiketi ya CHADEMA huku chama kikiwa hakitambui uwakili wao. Yaliongelewa mengi sana, kesi ikaenda mahakamani, danadana mpaka sasa, wakakingiwa kifua na Spika na mifumo mingine ya maamuzi, kumbe ilikuwa ajenga tu...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 Eng Hersi Said aachwa ubunge Kigamboni Shafii Dauda apeta Temeke

    Kamati kuu umegoma kulipitisha jina la Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa Eng Hersi Said kugombea kupitia CCM Jimbo la Kigamboni, Shafii Dauda akipita huko Jimbo la Temeke Sasa rasmi Rais wa Yanga Eng Hersi Said atajikita zaidi kwenye football
Back
Top Bottom