ubinafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nguvu ya umma Chadema tuliyoitengeneza 2005-2015 imeyeyushwa na ubinafsi wa Mbowe

    Chadema tulikuwa na uwezo wa kutamka nchi haitatawalika kwa uovu na ufisadi na CCM walinywea. Leo hii CCM wamewapanda Watanzania vichwani na wanawakebehi na kuwapuuza kwa kuwakamua tozo kibao na kodi zinazokandamiza huku wao wakijichotea pesa za umma wanavyotaka. Wanaiba kama wanaiba karanga...
  2. JamiiForums Tanzania Maoni: Ubinafsi na uchoyo ndio huchangia zaidi kabila kukosa maendeleo

    UBINAFSI Ni tabia ya kujiona wewe ni bora kuliko wengine hutaki wengine wawe kama wewe pale unapokuwa na nafasi fulani kudharau wengine Katika baadhi ya makabila kuna watu miongoni mwao wamepata nafasi kubwa ya kuwasaidia wengine lakini wameshindwa kwa sababu ya ubinafsi matokeo yake jamii zao...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume tuache Ubinafsi

    WANAUME TUACHE UBINAFSI! Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nilikuwa natoka Mashariki kuelekea Magharibi, sasa nitatokea Magharibi kurudi Mashariki. Kaskazini kwenda kusini kisha , kusini kurejea Kaskazini kama pepo za Kusi. Hivyo ndivyo safari yangu ilivyo. Niite Taikon wa Fasihi, Kutoka Nyota...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawatangazi mwanaume masikini

    Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani. Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe...
  5. JamiiForums Tanzania Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  6. JamiiForums Tanzania Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya

    Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya. Ni ukweli usiopingika kuwa wazee wetu wamekuwa ni miongoni mwa sababu mojawapo ya vijana wengi kunyimwa ajira kwa kigezo cha uzoefu. Wazee wanawasagia kunguni vijana. Sasa kumezuka wimbi kubwa la wazee kulazimisha kupewa msaada wa hali na...
  7. JamiiForums Tanzania Utajiri unaohusisha mambo yoyote ya kishirikina ni ubinafsi na pigo kwa vizazi vyako

    "Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days! Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Ruto aikataa hoja ya kuongeza muda wa Rais kuwa madarakani, asema ni ubinafsi

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais. Kauli hiyo imekuja baada ya hoja kuibuliwa Bungeni na Mbunge Salah Yakub kuhusu kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi...
  9. JamiiForums Tanzania Tunamshukuru Okra ila aambiwe tu kuwa Derby ya Tanzania ni zaidi ya uchoyo/ubinafsi wake

    Kama asingekuwa mbinafsi kama mchezaji ninayemchukia kupita kiasi kwa sasa ndani ya Simba SC Sakho kutokana na utoto na upuuzi wake usiyobadilika, leo Okra alikuwa anatoa pasi kama tatu hivi za magoli. Na kwa uwezo mkubwa na kipaji cha mwenye timu yake Clatous Chama, nina uhakika zote angefunga...
  10. JamiiForums Tanzania Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 umeunga mkono ripoti Kikosi cha kazi, CHADEMA wapinga

    Dar es Salaam. Muungano wa vyama vya siasa vya upinzani 14 nchini umetangaza kuunga mkono ripoti Kikosi cha kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kutafuta na kuchakata maoni ya wadau kuhusu mfumo wa demokrasia, huku wakikosoa msimamo wa Chadema kupinga ripoti hiyo. Oktoba 21, kikosi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuache ubinafsi!

    Hii ndiyo dunia niliyoambiwa kuwa uyaone! Wakati wengine wakikesha kwenye ibada na kwenye vilinge vya waganga kutafuta ndoa, wengine ndoa zimewashinda wanatamani kuachika. Lakini wanawake tuache ubinafsi! Wakati unafikilia kuachana na mumeo unajifikilia mwenyewe tu, "Nikitoka hapa nikapange...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa ubinafsi huu ni aibu na kukosa uzalendo

    Nipo maeneo ya Arusha mjini, ninasikitishwa sana na hali niliyoiona maeneo ya barabara ya Sokoine jirani na hospital ya AICC. Eneo hili ni mahali kilipo chuo cha utalii cha Tropical Institute. Ukataji miti unaofanyika hapo barabarani eneo la nje ya chuo kwa sababu ya kupasafisha ili mgahawa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba punguzeni ubinafsi ,acheni kumtengenezea majungu Mzungu Dejan Georgijevic

    Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
  14. JamiiForums Tanzania Kujiua/Kujinyonga ni ubinafsi na kuwaachia shida zako watu unaowaacha

    Anaandika Ndugu MalisaGJ TATIZO LA KUJIUA KATIKA JAMII "Kwako mke wangu (Mama Derick). Naomba nisamehe sana kwa maamuzi haya. Maisha kwangu hayana maana tena, nisamehe sana. Nimejitahidi nimeshindwa naomba uwatunze watoto wetu” sms ya mwisho ambayo Sajenti William Giriango Chacha (40) askari...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni ubinafsi na si tozo wala CCM

    By nature Tz wamejawa na ubinafsi. Kila Mtu anamuwinda mwenzake. Mtanzania anaweza kuiba serikalini, na Serikali inawaza kumuibia Mtanzania. Hivyo nahitimisha kuwa Maisha ya kuwindana hayafai. Chanzo cha tozo ni matokeo ya kuwindana na sasahiv tumepigwa KO
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Tamaa ya 'upekee' na 'kuweka kumbukumbu' inasababisha ubinafsi katika taifa!

    Habari wanaJF? Nami nimeona nishiriki katika jukwaa hili la soc kwa kutoa mawazo yangu kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Kumekuwepo na tabia ya watu wengi sana katika familia, jamii, kazini, shuleni serikalini na kwingineko; kupenda kutumia neno mimi pekee yangu nilifanya hili au lile, mimi...
  17. JamiiForums Tanzania Ubinafsi unaua taifa

    Tabia ya ubinafsi inaliua taifa. Mali ya taifa siyo ya mtu mmoja,siyo ya familia moja. Na watu wengine wanatuambia kwamba hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii wakati tunaona wao wenyewe ndio wana hati miliki ya nchi hii. Kwa hiyo awamu bàada ya awamu ya viongozi: kila kiongozi anakula...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaokataa Wamasai kuhamishwa wana ubinafsi mkubwa sana, siyo wazalendo

    Achana na nyumba wanazojemgewa. Nani anapenda kuishi porini kwenye nyumba za tembe? Kitendo cha mtu mwenye akili zake timamu cha kukosoa serikali kuondoa wamasai Ngorongoro ni upuuzi mkubwa sana,tena utakuta jitu linalokosoa linakaa kwenye nyumba nzuri na shehena iliyopimwa kabisa,hivi hutaki...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi kikwazo kikuu Katiba Mpya

    Hakuna asiyejua kuwa Katiba Mpya ni majumuisho ya mustakabala ulio bora zaidi katika uendeshaji wa nchi kwa wakati husika. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kupinga matumizi au ujio wa mustakabala kama huo. Taabu gani makwetu Tanzania basi? Kwa hakika ubinafsi uliopitiliza ndiye aliye...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli ulio mchungu: Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya utajiri wa mali na neno 'ubinafsi'

    Wanabodi heshima kwenu. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada. Kwanza kabisa niwashukuru sana wadau wote waliochangia kwenye uzi wangu huu uliopita, ukipenda unaweza kusoma hapa. Baada ya kusoma comments zote za wadau kwenye uzi huu na kufanya tafakuri ya kina, nimebaini na kujifunza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…