Moshi: Padri Soka asomewa maelezo ya awali shutuma ya ubakaji

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Sostenes Bahati Soka, Padri wa Kanisa Katoliki, Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita, Jimbo la Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro leo Oktoba 10,2022 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kusomewa maelezo ya awali Katika shitaka linalomkabili la kubaka mtoto wa miaka 12.

September 26, 2022 padri huyo alipandishwa kizimbani Katika mahakama hiyo na kusomewa mashitaka mawili katika mahakama ya Hakimu Mkazi, huku shitaka la tatu likifunguliwa katika mahakama ya wilaya.

Hata hivyo waandishi wa habari wamesubirishwa nje ya chumba cha mahakama hiyo, ambapo baada ya kuendeshwa kwa shauri hilo wakili wa Serikali atatoa ufafanizi juu ya yaliyojiri mahakamani hapo.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma >
UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi
 
Imeelezwa Padre Sosthenes Bahati alimbaka binti wa miaka 12 ambaye alifika Kanisa Katoliki Parokia ya Moshi kufanya Kitubio

Akiwa amepiga Magoti anatubu ndipo Padre Bahati alimkumbatia na kumbana, Mahakama imeelezwa
Source ITV habari
 
Back
Top Bottom