uandishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Ni aibu kubwa sana kwa waandishi wa habari kukubali kujidhalilisha kwa kudhalilisha taaluma yenu

    Nimefuatilia siku hizi mbili tatu za sakata la uuzwaji wa bandari ya tanganyika, kwa waarabu wa dubai, kazi wanayoifanya waandishi wa habari ni ya kipuuzi sana, ni bora wangechagua kukaa kimya kuliko kupotosha habari. Kiufupi dunia imebadilika sana na watu wanachagua source ya kuwabarisha...
  2. M

    SoC03 Jinamizi kwenye tasnia ya uandishi wa habari,Yahitaji mapinduzi na mabadiliko chanya

    Utangulizi. Habari wanajamvi.Katika karne hii ya Teknolojia na Utandawazi,asilimia kubwa ya watu hutamani kujitupa kwenye Uandishi wa habari.Uwepo wa mitandao ya kijamii ndio umezidi kurahisisha uwasilishwaji wa habari.hii inapelekea kila mtu atamani kutoa habari bila kujali amesomea au...
  3. Mstahiki Mea

    SoC03 Uandishi wa habari za uchunguzi Kama kichocheo Cha utawala Bora Tanzania

    Picha na mtandao Habari za uchunguzi tunaweza kueleza kuwa ni zile habari ambazo mwandishi hufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo fulani, na kuja na ripoti inayojitosheleza kuhusu jambo hilo pamoja na ushahidi. Uandishi huu hukusudia kufichua maovu au uhalifu uliofichwa kwa makusudi na kuufua...
  4. Mwl.RCT

    SoC03 Nafasi ya Uandishi wa Habari katika Kukuza Uwajibikaji na Utawala Bora nchini Tanzania

    Nchi yoyote inayotaka kuendelea inahitaji uwajibikaji na utawala bora. Katika Tanzania, vyombo vya habari vinalo jukumu kubwa katika kukuza uwajibikaji na utawala bora. Kupitia andiko hili, tutachunguza jinsi uandishi wa habari unavyochangia katika kukuza uwajibikaji na utawala bora nchini...
  5. kmbwembwe

    Wasiopenda udhibiti wa uandishi wa habari wana malengo ya kisiasa au kibiashara?

    Kila leo utasikia waandishi wa habari wanalalamika kwamba hawana uhuru. Utasikia kila siku wakilalamika kwa sababu wao ndio watoa habari. Usifanye kosa ukadhani hilo ndio tatizo kubwa nchini. Waandishi wakizungumzia kazi yao utafikiri ndio inaleta maendeleo nchini kumbe wengi ni ajira na wengi...
  6. Roving Journalist

    Utoaji wa tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi wenye Ubunifu yafana

    Viongozi mbalimbali nchini na nje ya Tanzania, wamehudhuria hafla ya utoaji tuzo ya taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu. Hafla hiyo imefanyika leo Alhamisi 13, 2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Rais Mstaafu wa...
  7. Determinantor

    Mrejesho wa taarifa ya ajali iliyotokea Kisutu mnamo majira ya saa 05:45

    Naiweka hapa muone wenyewe... MREJESHO WA TAARIFA YA AJALI ILIYOTOKEA KISUTU MNAMO MAJIRA YA SAA 05:45 Mnamo majira ya saa 06:58 niliweza kufika Eneo la tukio nilikuta ajali imetokea gari ya mwendokasi yenye usajili wa Plate No: T 122 DGW, JINA: SHABANI NGAUGIA Ilipata ajali Eneo la Kisutu...
  8. Suley2019

    Makosa ya kimsamiati tunayoyafanya katika kutamka au kuandika Kiswahili

    Salaam ndugu zangu, Kiswahili ni miongoni mwa lugha zinazokua kwa kasi kwa sasa ulimwenguni. Lugha hii inazidi kusambaa Kijiografia pamoja na kuongeza idadi ya wazungumzaji kila kukicha. Pamoja na mafanikio haya ya lugha ya Kiswahili bado watumiaji wake wengi wanafanya makosa mbalimbali katika...
  9. tutafikatu

    Naomba kujuzwa kuhusu uandishi wa sasa wa barua za Serikali

    Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko labelled 2. Najiuliza kwanini aya namba 1 haipo? Bahati mbaya kila sehemu inatumika template hii hii...
  10. The Sheriff

    Anna Mwasyoke: Miaka 15 Katika Taaluma ya Uandishi wa Habari

    Hii ni simulizi ya miaka 15 ya maisha ya Anna Mwasyoke katika fani ya uandishi wa habari ambayo imetimia tarehe 02/01/2023. Mwasyoke, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameona ni vema kuushirikisha umma japo kwa ufupi kuhusu safari yake hii anayoieleza kuwa ni “nzuri na tamu isiyochosha" ili...
  11. comte

    Gazeti la Mwananchi acheni uandishi wa bora liende

    Wenje aunguruma Sengerema Sengerema. Mbunge wa zamani wa Nyamagana (Chadema), Ezekiel Wenje amesema Serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei na kuwaacha wananchi wa Tanzania walikia na kutaabika. Wenje ambaye pia ni mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, ametoa kauli hiyo leo Oktoba 20...
  12. chiembe

    Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

    Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba. Anayemjua vizuri atupe za ndani
  13. Gaddaf i06

    Wana JF, uandishi wa lugha mchanganyiko ni uchafu! Ni sawa na kuhifadhi sufuria kitandani (kero)

    Kwanza kabisa, nakutakia afya njema kama ya kwangu.. Bila kinyongo kabisa naomba niweke hapa kero yangu juu ya waandishi baadhi wa hoja hapa jf Kama utaguswa tafadhali usikasirike wala kutukana, ni kitu ambacho kinafanywa na watu wengi, hata hvyo si kero kwa wengi/wote. Ruksa kutoa kero yako...
  14. BigTall

    Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu yazinduliwa leo 12/09/2022

    Profesa Penina Mlama Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu anazungumza “Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ujenzi wa taifa ni kujenga tabia za Wananchi, mitazamo ya kuweza kuishi pamoja. “Kila taifa lina mitazamo yake ili watu waweze kuishi...
  15. Willima

    Athari za uandishi wa habari ndani ya taratibu za kimamlaka

    Masharti kwa waandishi wa habari katika nchi zenye changamoto ya utawala wa kiimla. Upatikanaji wa habari ni mdogo zaidi na waandishi wa habari wanaweza kupata udhibiti, mateso, na vitisho kwa Maisha yao. Nchini Urusi, kwa mfano, uvamizi wa Ukraine umesababisha sheria mpya inayozuia uhuru wa...
  16. JamiiForums

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa...
  17. The unpaid Seller

    Nampongeza Robert Hariel kwa uandishi wake wakini hapa JF

    Nitoe pongezi kwa ROBERT HERIEL nimekua msomaji wa maandiko yake mengi humu JF na nikiri wazi kua kijana huyu (naamini ni mwanaume kutokana na hulka na uandishi wake) analenga taswira chanya katika kila andiko lake. Hana tabia ya kupindisha ukweli ili kupeti peti wanajukwaa, jamaa atasema...
  18. Akaliza

    Naomba kusaidiwa dondoo za uandishi wa nyimbo

    Bila kupoteza muda naomba niingie kwenye mada tajwa. Ninatamani sana kujifunza uandishi wa nyimbo, licha ya kujaribu ku "Google" ili kupata muongozo nimejikuta sisogei mahali popote. Kwa kuthamini uwepo wa Jukwaa la maarifa-JF, nimeona nije humu kuomba msaada wenu. Kama una tips za Uandishi wa...
  19. B

    Kuna baadhi ya maneno yakitumika kunogesha soka, kwa wengine si "sanaa" bali huleta maumivu

    "Sanaa ya Uandishi" ni neno nililolisikia siku chache zilizopita baada ya tukio la kupigwa mashabiki kiwanjani walipoenda kwa kusudi la kutazama mchezo wa soka. Baadaye kilichofuatia ni tamko kutoka katika uongozi wa Simba. Lugha iliyotumika kukemea tukio la kupigwa mashabiki hao ndio...
  20. Cannabis

    Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

    Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi...
Back
Top Bottom