uandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Tuache blablaa! Uandishi wa habari siyo riwaya

    Ameandika Jesse Kwayu wa Media Brains JUMATATU Februari 26, 2024 yaani mwanzo wa wiki hii taifa lilishuhudia jambo kubwa la kihistoria la kufanyika kwa jaribio ya safari za treni ya umeme kwenye reli ya standard gauge (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro. Ni tukio la kihistoria kwa maana...
  2. Cecil J

    Msaada location chuo cha Uandishi wa habari Mbeya

    .
  3. DSJ

    JE, UNAPENDA KUSOMEA UANDISHI WA HABARI LAKINI UKO "BUSY" NA MAJUKUMU?

    Tumeendelea kutoa masomo kwa njia ya Mtandao. Yaani Online Learning. Utaweza kujipatia mafunzo popote ulipo kupitia mfumo wetu wa kidigitali wa ufundishaji. Utaweza kuonana na walimu ana kwa ana kupitia "Video Conference". Na endapo utapata muda wa kututembelea basi utapata one-on-one Consultation.
  4. moyo wenye aman i

    Natafuta kazi ya uandishi wa habari (only radio)

    Salam sana. Rejea kichwa tajwa juu. Nimekuwa mhariri wa kituo cha redio hapa kanda ya kasikazini kikubwa tu kwa mda mrefu sana ila nimechoka kukaa ndani natamani kutoka nje mwenye msaada tafadhari fanya kitu (mimi ni ke 28 years) Be blessed.
  5. Mstahiki Mea

    SoC03 Uandishi wa habari za uchunguzi Kama kichocheo Cha utawala Bora Tanzania

    Picha na mtandao Habari za uchunguzi tunaweza kueleza kuwa ni zile habari ambazo mwandishi hufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo fulani, na kuja na ripoti inayojitosheleza kuhusu jambo hilo pamoja na ushahidi. Uandishi huu hukusudia kufichua maovu au uhalifu uliofichwa kwa makusudi na kuufua...
  6. kmbwembwe

    Wasiopenda udhibiti wa uandishi wa habari wana malengo ya kisiasa au kibiashara?

    Kila leo utasikia waandishi wa habari wanalalamika kwamba hawana uhuru. Utasikia kila siku wakilalamika kwa sababu wao ndio watoa habari. Usifanye kosa ukadhani hilo ndio tatizo kubwa nchini. Waandishi wakizungumzia kazi yao utafikiri ndio inaleta maendeleo nchini kumbe wengi ni ajira na wengi...
  7. The Sheriff

    Anna Mwasyoke: Miaka 15 Katika Taaluma ya Uandishi wa Habari

    Hii ni simulizi ya miaka 15 ya maisha ya Anna Mwasyoke katika fani ya uandishi wa habari ambayo imetimia tarehe 02/01/2023. Mwasyoke, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameona ni vema kuushirikisha umma japo kwa ufupi kuhusu safari yake hii anayoieleza kuwa ni “nzuri na tamu isiyochosha" ili...
  8. chiembe

    Hizi taarifa kwamba Gerald Hando hana taaluma ya uandishi wa habari ni kweli? Kwamba alisomea ufundi bomba?

    Kuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba. Anayemjua vizuri atupe za ndani
  9. Pascal Mayalla

    Kumbe Shetani Alikuwa Mwandishi wa Habari!, na Alichomfanya Eva Bustani ya Eden ni Uandishi wa Habari?- Je Media Tuombwe Msamaha Kuitwa Shetani au?

    Wanabodi Declaration of Interest Mimi ni Mkristu Mkatoliki, ila mara moja moja huwa nahudhuria mafundisho katika madhehebu mbalimbali, ikiwemo Lutheran, Anglican, Makanisa ya Wokovu, na kwa wachungaji mbalimbali akiwemo Nabii Mwingira, Askofu Kakobe, Mzee wa Upako, Mwamposa, Assemblies of God...
  10. Willima

    Athari za uandishi wa habari ndani ya taratibu za kimamlaka

    Masharti kwa waandishi wa habari katika nchi zenye changamoto ya utawala wa kiimla. Upatikanaji wa habari ni mdogo zaidi na waandishi wa habari wanaweza kupata udhibiti, mateso, na vitisho kwa Maisha yao. Nchini Urusi, kwa mfano, uvamizi wa Ukraine umesababisha sheria mpya inayozuia uhuru wa...
  11. markp

    Hivi uandishi wa habari Tanzania ni tofauti ma nchi nyingine? Kazi hasa ni zipi?

    Kwa wataalamu wa mambo ya sanaa pamoja na sayansi ya uandishi wa habari napenda mtujulishe kazi zao zina mipaka kiasi gani kwa viongozi wa nchi? Habari zinazoandikwa na kuripotiwa ni zile zinazojitokeza zenyewe tu by nature hakuna habari za uchunguzi za kisiasa. wanachunguza mambo ya afya za...
  12. M

    Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

    Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
  13. M

    Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

    Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania. Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
  14. M

    Je, udhalilishaji huu wa Taaluma ya Uandishi wa Habari nchini unaofanywa na GSM ni kwamba MCT ya Mukajanga na TEF ya Balile wameubariki?

    Kama kwa muda mrefu ulikuwa ukijiuliza ni kwanini Waandishi wa Habari wengi pamoja na Vyombo vyao vya Habari nchini Tanzania vinaipamba sana Yanga SC kwa Gharama ya Kuichafua Simba SC huenda leo ukapata Majibu. Baada ya Mightier Mimi kuliona tatizo hili ambalo pia ni Kinyume na Taaluma, Misingi...
  15. Foxhunters

    Anaomba ushauri kuhusu chuo cha Uandishi wa Habari

    Wakuu heshima yenu, Kuna dogo ana ndoto ya kuwa mwandishi wa habari na muaandaji wa vipindi vya TV na redio. Anaomba kuelekezwa chuo kizuri cha taaluma hiyo kwa ngazi ya diploma kiwe cha serikali au cha binafsi ili aweze kutimiza ndoto yake. Natanguliza shukrani
  16. DSJ

    Fursa kwa wenye Shahada ya Uandishi wa Habari na/au Mawasiliano kwa Umma

    Fursa ya Ajira kutoka DSJ Tuma CV yako kwenda: application@uti.ac.tz Sambaza upendo huu kwa uwapendao
  17. DSJ

    Nafasi za Masomo ya Uandishi wa Habari "intake" ya Julai, 2020

    DSJ - JULY INTAKE Wahi mapema kabla nafasi hazijaisha. SIFA ZA KUJIUNGA NA MASOMO 1. “CERTIFICATE:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha nne (IV) kwa ufaulu wa angalau D nne (4), na D moja kati ya hizo iwe ya somo la Kiingereza. 2. “DIPLOMA:” Mwombaji awe amemaliza kidato cha sita (VI) kwa...
Back
Top Bottom