uaminifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 888I

    Kifo cha Uaminifu: Madhara ya Kuminya Habari na Mtego wa "Content Creators"

    Mimi ni Mwanahabari na Mtanzania Nasema ... Kuna huzuni nzito inayotanda ndani ya vyumba vya habari nchini,siyo huzuni ya kukosa vifaa au teknolojia, bali ni huzuni ya kuona taaluma yetu ikigeuzwa kuwa "kipaza sauti" cha upande mmoja, huku misingi ya uhuru wa kutoa maoni na kuchambua ukweli...
  2. MamaSamia2025

    Media na kukosa uaminifu ni mambo mawili yanayowapoteza kirahisi vijana wanaoibuka kimafanikio

    Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti ambayo ni kubwa zaidi. Hii mimi naona haijakaa sawa. Dominik kateleza. Uongo wa aina hii kwenye...
  3. MamaSamia2025

    Uaminifu bado ni changamoto kubwa sana kwa wafanyabiashara wa Tanzania na wateja wao

    Mtaji wa kwanza kwenye biashara ni uaminifu. Ukiwa mwaminifu unaweza kuvumilika kwenye madhaifu mengine. Uaminifu ni bidhaa muhimu kuwa nayo kwenye biashara. Nchi yetu bado ina uhaba mkubwa wa watu waaminifu hasa kwenye biashara na ujasiriamali. Imefikia wakati ukisema wewe ni mjasiriamali...
  4. ngara23

    Uaminifu ni bidhàa, uaminifu ni pesa, vijana kuweni waanifu mtafanikiwa mno

    Uaminifu ni bidhàa inayoadimika miongoni mwa Watanzania. Kwenye maisha ili ufanikiwe uaminifu ni kitu cha thamani ambacho unatakiwa kuwa nacho Watu wengi tumeimiliki hii bidhaa iliyoadimika mtaani na umetupa matunda mazuri Mfanyabiasha unakosa uaminifu, unauza bidhaa mbovu, unauza bei kubwa...
  5. L

    Rais Samia Akoshwa Na Mapokezi Ya Maelfu ya Wana Manyara. Aahidi Kuwatumikia Kwa Uaminifu na Weledi wa Hali ya Juu.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amekoshwa...
  6. M

    CRDB mnazidi kupoteza uaminifu na Loyalty, kitu pekee kitachorudisha nguvu brand yenu ni "UWAJIBIKAJI", fanyeni haya lasivyo wengi zaidi watawakimbia

    Soko la benki Tanzania halijawahi kuwa na ushindani mkali kiasi hiki. Banks zipo kwenye mchuano mkali na Wateja wana uwezo wa kuhama benki kwa urahisi mkubwa mara 10 zaidi kuliko kubadilisha mtandao wa simu. kutunza wateja katika sekta hii kunahitaji Trust, Loyaty na uamiifu, ni vitu...
  7. dark web

    Fundi Umeme na vifaa vya kielectroniki, anapatikana, uzoefu wa kazi, ubora na uaminifu!

    Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina. Huduma ninazotoa ni...
  8. Kimbesa11

    Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  9. Ojuolegbha

    Dereva wa Marais watatu: Safari ya uaminifu na simulizi za nyuma ya pazia

    DEREVA WA MARAIS WATATU: SAFARI YA UAMINIFU NA SIMULIZI ZA NYUMA YA PAZIA. Ismail Mputila, dereva mashuhuri aliyehudumia marais watatu wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 25, amesimulia safari yake ya kipekee katika utumishi wa umma. Kazi yake ilianza kama mfanyakazi wa kawaida kabla ya kupanda...
  10. G.T.L

    Ajiri huyu dada akufanyie biashara yako kwa uaminifu mkubwa

    Kwa mwenye uhitaji na Binti wa kumuweka kwenye biashara yako hapa Jijini Dar es salaam, yupo hapa binti mchapakazi, mwaminifu na mwenye mvuto katika ofisi yoyote. Umri: 26 yrs Elimu: Form 4 Makazi: Dar es salaam Kwa aliye serious, anichek PM nitakua mdhamini wake kwaajili ya usalama wa pande...
  11. D

    Victor Tesha – Kiongozi Mpya Kwa Moshi Vijijini | Maono, Uaminifu na Uwezo

    UJUMBE: Wana-Moshi Vijijini, Mwaka huu tunakutana tena kwenye fursa ya kipekee ya kuchagua kiongozi atakayeliongoza jimbo letu kuelekea maendeleo ya kweli, ushirikishwaji wa wananchi, na uongozi wa kisasa usioegemea siasa za maneno matupu. Moja ya majina makubwa yanayosisimua mioyo ya vijana...
  12. W

    Kwanini magroup ya michango ya sherehe yanakosa uwazi na uaminifu ? majina mengi katika orodha ya michango huwa ni ahadi sio kiasi wanachotoa

    Huwaga nachoka sana na michango ya harusi, sendoff na sherehe nyinginezo. Ahadi na Michango kwa ajii ya Harusi ya Bwana fulani inayotegemewa kufanyika tarehe xxxx Robert - 100,000 Wile - 200,000 Abdul - 150,000 Salma - 100,000 Katope - 100,000 Hapo aliechangia nzima unakuta ni moja tu Wile...
  13. Ojuolegbha

    SI KWELI PreGE2025 Aliyemwagiwa tindikali na CHADEMA afunguka 'Nilikuwa naitumikia chadema kwa uaminifu, sikuamini wangeniua kwa machungu ya ndani'

    ALIYEMWAGIWA TINDIKALI NA CHADEMA AFUNGUKA: "Nilikuwa Naitumikia CHADEMA kwa Uaminifu, Sikuamini Wangeniua Kwa Machungu Ya Ndani" Dar es Salaam, Tanzania – Juni 17, 2025 Katika kile kinachoonekana kuwa sura nyingine ya giza ndani ya chama cha upinzani CHADEMA, kijana aliyekuwa mshabiki na...
  14. Daudi Kempu

    Uaminifu haulazimishwi unatoka moyoni

    Uaminifu Hauwezi Kulazimishwa, Unatoka Moyoni,Unaweza Kuwekeza Muda, Upendo Na Kujitolea Kwa Mtu, Lakini Hilo Halihakikishi Uaminifu Wake. Watu Huamua Kuwa Waaminifu Si Kwa Sababu Wamelazimishwa, Bali Kwa Sababu Ndani Yao Kuna Msukumo Wa Dhati Wa Kuthamini Waliyonayo. Ni Rahisi Kushikilia...
  15. Mwl.RCT

    Mapenzi na Pesa: Utata wa Uaminifu

    Audio: Chanzo:
  16. K

    Uaminifu: Tabia inayochukuliwa Poa sana na vijana wa kitanzania

    Leo nimkutana na hiki kisa mshikaji analalamika: Mwanao anakupigia simu ana shida ya HELA anakwambia nitaregesha baada ya siku mbili, kimoyomoyo unasema ngoja nimpe tu mwanangu asovu mambo yake wala hakuna haja ya kunirudishia. Ghafla baada ya siku mbili unampigia mwanao simu kapiga BLOKU afu ww...
  17. M

    Kwanini ukiajiri Mtanzania huwa hafanyi kazi kwa uaminifu

    Kwenye haya maisha hakuna namna kazi zako zote wewe mwenyewe kuzifanya ,soo unahitaji wasaidizi, nimesoma trend ya wafanyakazi wangu aisee kama hakuibii lazima awe ni mvivu, nimeajri sasa nimechoka nimeanza kuajiri watu wasio watanzania ndio at least naona mambo yanaenda japo kwa tabu
  18. Saad30

    Uaminifu na Heshima

    Habari wakuu. Katika haya Maisha vitu vyenye thamani kubwa ni UWAMINIFU na HESHIMA. Kama wewe ni bosi na una mtu huyo katika ofisi yako au usimamizi wa miradi yako basi mzingatie sana huyo mtu.
  19. Roving Journalist

    PSSSF yampa pole Mdau aliyelalamikia huduma yao, yatoa ufafanuzi na kusisitiza inazingatia Maadili, Uaminifu, Weledi na Uwazi

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi. Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
  20. Mayala B

    Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

    Natanguliza shukran zangu kwenu Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana Kikubwa tu tupendane Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo Pia na kwa wale...
Back
Top Bottom