Daudi Kempu
Member
- Dec 6, 2024
- 38
- 65
Uaminifu Hauwezi Kulazimishwa, Unatoka Moyoni,Unaweza Kuwekeza Muda, Upendo Na Kujitolea Kwa Mtu, Lakini Hilo Halihakikishi Uaminifu Wake.
Watu Huamua Kuwa Waaminifu Si Kwa Sababu Wamelazimishwa, Bali Kwa Sababu Ndani Yao Kuna Msukumo Wa Dhati Wa Kuthamini Waliyonayo.
Ni Rahisi Kushikilia Matarajio, Lakini Ukumbuke, Matendo Ya Wengine Yapo Nje Ya Uwezo Wako.
Jaribu Kuelewa, Kwamba Uaminifu Siyo Ahadi Inayotolewa Kwa Maneno Matupu, Bali Ni Matendo Yanayojitokeza Bila Kushurutishwa.
Mioyo Inayojua Thamani Ya Kile Ilicho Nacho Huonyesha Uaminifu Wake Hata Pale Ambapo Hakuna Anayewalazimisha kufanya Hivyo.
Kama Mtu Anachagua Kutoonesha Uaminifu, Hilo Siyo Kosa Lako Ni Chaguo Lake,Badala Ya Kujaribu Kudhibiti Matendo Ya Wengine, Zingatia Kuwa Mtu Ambaye Anastahili Uaminifu Wa Kweli.by Me Kempu