Usije Dar Es Salaam niagize hasa hasa soko Posta na Kariakoo, kwa uaminifu mkubwa sana

Mayala B

JF-Expert Member
May 13, 2019
2,085
5,250
Natanguliza shukran zangu kwenu

Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana

Kikubwa tu tupendane
Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo

Pia na kwa wale wanaohitaji marobota au baroo za mtumba viatu na nguo na mikoba

NATEMBEZA PIA WATU AMBAO NI WAGENI HAPA DAR ES SALAAM MAENEO TOFAUTI, kwahiyo ukija dar usiogope sana

Kama unahitaji passport au unahitaji vizza nitakupeleka upate kwa wepesi au kama unasafilisha mzigo wako au kama Kuna mzigo wako umekwama tuwasiliane tusaidiane

Namba yangu ya cm 0621121351

Asantani sana
 
Natanguliza shukran zangu kwenu

Kama una kitu unataka kununua kutoka dar na kukisafitisha bas niagize usiogope , tutafanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana

Kikubwa tu tupendane
Nashughulikia kila aina ya jambo na kila aina ya bidhaa, hasa hasa soko la posta na kariakoo

Namba yangu ya cm 0621121351

Asantani sana
Nitaomba uwe unanunua kabisa vitu unanitumia nikishavipata natuma hela au unasemaje? 😜
 
Ili utuhakikishie kuwa wewe ni mwaminifu tuoneshe ofisi zako zilipo na namba Yako ya kitambulisho Cha taifa(nida) ili ukitokomea na mizigo tupate pakuanzia
Mtumish mtu mwizi ni mwizi tu hata kama atakupa na namba za mke wake na kukuonesha anapokaa

Kama lengo lake ni kukuibia atakuibia tu

Hata mwanao wa kumzaa anaweza kukuibia
 
Back
Top Bottom