ualimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viwango vya mishahara kwa walimu: Ualimu ni mateso

    Viwango Vya Mshahara Wa Walimu 2021/2022 | Teachers Salary Scale Range New Government Salary Scales: Approved TGTS B1 = 419,000/- and TGTS C1 = 530,000/- TGTS D1 = 716,000/- and TGTS E1 = 940,000/- TGTS F1 = 1,235,000/- and TGTS G1 = 1,600,000/- TGTS H1 = 2,091,000/- and TGTS I = 2,810,000/-...
  2. Taaluma za kuheshimika na muhimu ni hizi sita (6) tu

    Si zaidi ya hapo; ni kama ifuatavyo:- 1. Mwalimu Waelimishaji waliohitimu kwa viwango stahiki wanahitajika sana, na ikiwa utahitaji kujenga jamii imara walimu ni kundi muhimu na la lazima. Ili vijana waweze kubadilisha ulimwengu na taifa, basi hii ndiyo taaluma ya muhimu na ya lazima popote...
  3. Ifike mahala Watanzania tuache kusomea ualimu, supply imekuwa kubwa mno kuliko demand

    Tukubaliane na hali halisi, walimu wanaosubiri ajira mtaani ni wengi mno, na ambao wako mbioni kuhitimu na ni wengi, maelfu kwa maelfu, ukijumlisha na walio mtaani wanaweza kufika makumi ya maelfu. Tusipochukua hatua hii, ipo siku idadi ya walimu itakuwa sawa na wanafunzi. Hivyo basi tujiulize...
  4. A

    Tetesi: Ajali mbele ya Chuo cha Ualimu Butimba

    Wanabodi Kama isomavyo "tetesi", nikiwa mazingira ya butimba chuoni leo kwa usafiri wa bodaboda, nimetaarifiwa kwamba wakati wanachuo wakiwa mchaka mchaka alfajiri, baadhi yao wamegongwa na daladala. Sijui ni mazingira ya namna gani, imetokea vipi na ni kwa namna gani wanafunzi 2 wamefariki...
  5. Nafasi za kazi ya Ualimu Journalism & International relations TAEATI

    Haiya sasa karibuni vijana wenye sifa tajwa hapo kwenye Tangazo halijachakachuliwa wala nini... Ooh sijui tayari watu walishapatikana tangazo linapostiwa kutimiza wajibu, alafu wengine Tz wanatabia chafu sana kama hiyo
  6. Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  7. Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  8. K

    Anataka Kuachana na Ualimu kwa ajili ya Kazi hii

    Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja. Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa. Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
  9. Kwa ufaulu huu nisome kozi gani?

    Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
  10. K

    Ombi: Vyuo vya Ualimu Kilimo vya Serikali kwa Diploma 2021

    Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo. Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba. Mwanafunzi ana CEE ya CBG. Asanteni Sana
  11. Muongozo na vyuo vya kujiunga kwa ngazi ya Ualimu Stashahada

    UTANGULIZI Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari. Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa Kidato cha Sita wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu (I-III). Wizara inakaribisha maombi ya...
  12. S

    Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya NECTA

    Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya necta kama ifuatavyo: Vyuo: 1. Nini maana ya DSEE, GATCE, na GATSCCE? Matokeo: 2. Nini maana ya distinction na credits. Na nini hatima ya waliopata distinction na credit? 3. Pass inaanzia pointi...
  13. A

    Msaada kuhusu maombi ya ualimu NACTE

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  14. Matokeo ya kidato cha sita na ualimu 2021 haya hapa

    Fuata hiyo Link ya Serikali: https://matokeo.necta.go.tz/
  15. Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

    Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu tafadhali.
  16. Mtu mmoja kaajiriwa mara mbili ajira za ualimu

    Sio kila anayekosa nafasi kwamba hana vigezo muda mwingine kuna chagizwa na mambo kama haya
  17. Baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza kwenye ajira za ualimu 2021

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza wizara ya Tamisemi chini ya waziri ummy, katibu mkuu na wote waliohusika kwenye mchakato mzima wa uchambuzi na utoaji ajira Ofcourse wanastahili kupewa pongezi kwa kazi nzuri waliyofanya kwani kwa asilimia kubwa wametenda haki kwa waombaji hasa kwa kutoa kipaumbele...
  18. K

    Wahitimu wa 2015 mpaka 2020 wapewe Ajira za Ualimu na Afya

    Wakuu, Naona awamu hii baada ya TAMISEMI kubanwa mbavu dhidi ya janjajanja za ajira za walimu na kada ya afya, sasa wameamua kuja kivingine na wengi hawawezi ng'amua kirahisi Itakumbukwa kipindi cha Jk ajira za ualimu na afya zilikuwa zinatolewa kila mwaka na watu walikuwa hawa-apply yaani...
  19. B

    Nawapongeza Tamisemi kwenye ajira za Afya na Ualimu 2021

    Si kwamba nimebahatika lahasha ila vigezo vilivyo tumika vinajieleza kuwa Haki imeonekana kutendeka na muendelee na vigezo ivyo katika ajira zijazo Kazi iendelee....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…