SIMBA mpeni mkataba wa kudumu kocha Juma Guardiola Mgunda. Tutegemee soka biriani

Mgunda hana vyeti
.
JamiiForums-211660238.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Pitso mgunda atakuja kuwa kocha msaidizi baada ya kupatikana kocha mwingine hizi ni za ndani ndani nilizozitapa katika management ya makolo
 
Back
Top Bottom