Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Salaam!
Nimeanngalia ulinzi aliowekewa Tundu Antipas Lissu nje Hadi ndani ya Mahakama, nimeshindwa kuielewa Nini hasa Vyombo vya ulinzi vinamtabiria huyu Tundu Antipas Lissu huko mbeleni!
Yaani wamebeba silaha nzito Hadi wanaikimbiza gari iliyombeba nabii wetu Tundu lissu Hadi unashangaa...
Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
Tundu lissu atakapo achiliwa dunia itasimama kwa jinsi walivyo mfungulia njia zote za ikulu.
Suala hili la kesi za mchongo limeongeza umaarufu wake duniani kote na imani zaidi kwa wananchi atakapoachiliwa dunia lazima itasimama.
Dr. Mollel anadai kwamba Tundu Lissu:
1. Ana IQ ndogo sana
2. Ubongo wake unaweza kubeba GB chache tu
3. Kinachomfanya awe muongeaji mzuri ni bidii yake katika kusoma Vitabu!
Hizo ni sifa au kejeli?
Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani,
Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe
Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche,
lakini siyo hivi vyama vya waganga...
Mwanangu Tundu Antipas Lissu Mughwai,
Salamu toka kwa baba yako na wapenzi na mashabiki wako. Nakusalimu kwa jina la Jamhuri yenye haki ya Tanzania.
Japo tunawasikia wakihaha, uzuri ni kwamba wamekuficha na kushindwa kukuchafua na kukufuta kwenye nyoyo zetu na ulingo wa siasa hata kama ni za...
Wakuu nadhani hili tuliweke sawa.
Hivi mnajua TUNDU LISSU ni mpakwa Mafuta wa Mungu!? Huyu Mh yeye anapendwa tu yaan yeye hata asingeshinda Uenyekiti akahama chama au akaanzisha chama chake, Wananchi watamfuata tuu na bado atakua tishio.
CHADEMA inapendwa na Wananchi , kwahiyo Kiongozi akiwa...
Salaam!
Kuna ule msemo usemao, nabii hakubaliki kwao, ni wa kweli kabisa,
Tuna kiongozi maarufu ndani na nje ya mipaka ya nchi, Tena umaarufu wake ni Katika kupigania haki na kudai mifumo imara ya uchaguzi Katika kuchagua na kuchaguliwa viongozi.
Imagine, bunge la ulaya kuweka muda special...
Salaam!
Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria,
Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa.
Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na...
Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari.
https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1
Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE).
Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka.
Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko.
Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
Baba wabariki watumishi wako wafanye kazi pamoja na wewe.
Sisi Watanzania tunasubiri Baraka zetu kutoka kwako.
Kisa cha Samsoni kwenda kuoa Mke kwa Wafilisti Wazazi wa Samsoni Mzee Manoa walishangaa sana. Walidhani Mtoto wao wa Kiume amechanganhikiwa kwenda kuoa kwa Watesi wao.
Lakini jambo...
Sikilizeni Wapinzani,
Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia,
Fanyeni hivi,
Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
Joseph Tadayo amedai Watu kujaa mahakamani, kunaweza mkosesha haki Tundu Lissu.
Joseph Tadayo ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro kupitia CCM na Taaluma yake ni Mwanasheria.
Ametoa mifano kadhaa kwamba;
1. Dr. Lamwai alikuwa akimtetea Muuza dawa za kulevya, Radio Tanzania(ya Umma)...
Was it truly necessary for the Tanzanian police to use such force to disperse citizens who had peacefully gathered to show support during the court hearing of Tundu Lissu? Given the reported injuries and death how do you justify this action in the context of citizens' constitutional rights to...
Je, CHADEMA walipanga kwenda Mahakamani kusikiliza Hukumu ya Tundu Lissu au kufanya vurugu?
Kuna mkanganyiko wa habari kuhusiana na mpango wa CHADEMA kwenda Mahakamani, je Wananchi tushike lipi kati ya CHEDEMA kwenda Kusikiliza hukumu ya Mwenyekiti Tundu Lissu au kwenda kufanya vurugu?
Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba.
Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.