tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Audio: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, amezungumza na waandishi wa habari leo, Januari 7, 2022

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari. Chanzo: Chadema Media https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM =====
  2. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

    Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu! Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tafadhali simama uhesabiwe katika wanaotetea haki ya Spika kumpinga Rais

    Tundu Lissu umepigwa risasi ukipigania haki ya kuhoji na kumpinga Rais. Sasa imekupasa kufanyika mfano wa utaua na mzee wa kitaifa, a towering statesman Spika Ndugai hakujali ulipopigwa risasi, na hajui unachokitetea ni nini, leo hii yamemkuta Spika Ndugai, mwanasiasa mwenzio na mtesi wako, the...
  4. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu alipata kusema, wakitumaliza sisi watageukiana wao kwa wao

    Vita hii ilikuwa ndogo Sana, ilitakiwa iishie ofisini tu na kwenye kamati za maadili ya chama. Lakini Sasa matamshi ya mama si tu yatufanya watanzania tuhamaki la Bali dunia nzima habari hii itarushwa. Jiwe la Ndugai kwa Rais lilikuwa la kawaida tu lakini jiwe la mama kwa Ndugai ni kama...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 ilifikiria nini kukataza watu kumuombea Tundu Lissu?

    Wakati kina Askofu Mwingira wanafunguka,nami nimewaza kitu. 1. Hivi awamu ya tano ilifikiria nini kukataza watu wasimuombee Lissu uzima baada ya kupigwa risasi? Iliitishwa pia albadri kuombea mabaya wote waliompiga Lissu risasi,serikali ikapiga marufuku. Ilikuwa na interest gani na hayo maombi...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Tundu Lissu utawaunganisha CCM

    UJIO WA TUNDU LISU UTAWAUNGANISHA CCM. Anaandika Robert HERIEL. Kheri ya Mwaka MPYA Ndugu zangu. Nimesikiliza Hotuba zote mbili za viongozi wetu. Hotuba ya Rais wetu Mama Samia Suluhu, kisha nikamsikiliza Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Tundu Lisu. Sio lengo langu kuelezea hotuba zao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wanaweza kuzima Intaneti kwa muda lakini sio kuzuia teknolojia

    Wanaweza kuzima mtandao wa internet kwa muda tu, lakini hawawezi kuzuia jua la teknolojia kuchomoza. Waraka wa Tundu Lissu kwa Watanzania huu hapa: HOTUBA YA MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA MHE. TUNDU LISSU.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

    MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna hoja 5 katika hoja 80 zilizoibuliwa zinazohitaji uharaka wa kufanyiwa kazi, baada ya mkutano wa wadau...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

    Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ila Tundu Lissu Kiboko; nimekumbuka hii

    Kwema Wakuu! Nimejikuta nacheka Sana nilipokumbuka habari za mwaka Jana. Yaani ilikuwa vituko na aibu kubwa. Hivi ni kweli Tundu Lissu hakuweka matangazo kwenye nguzo na barabarani Kama alivyoweka mwenzake nchi nzima😀😀😀 na bado akawa anaogopwa??😀😀 Ila Lisu Kiboko tuacheni utani. Lisu ni...
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Video: Mwamba Tundu lissu katika ubora wake

    Bonge la uwasilishaji hakika Tundu lisu nje ya mambo machache yanayo mkosesha heshima lkn ni mtu anayefahaa sana kuwa kiongozi tena mkubwa. Jamaa ni mtaalam sana wa kujenga hoja tatizo lake ni ukali wa maneno. Angalia hiyo video namna alivyokuwa anaongea unaona kabisa huyu mtu anao uchungu wa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akiongelea kuhusu tarehe ya Uhuru wa Zanzibar

  13. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

    Wadau mjumbe hauwawi,,tulikosea Sana kumwamini lissu kuwa anafaa kuwa rais wa nchi ,tulikosea Sana na hii kitu imekighalimu Sana chama chake,,tulidhani Kila mhubiri anafaa kuwa mchungaji,,la hasha wengine wanatakiwa tu kuwa wainjilisti na sio wachungaji,,au tulidhani kuwa mchungaji wa mifugo...
  14. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunataka Rais afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote

    "Rais anatakiwa kusamehe waliopatikana na hatia tu. Hana mamlaka ya kusamehe watuhumiwa wa kesi za michongo kama hii. Tunataka afute mashtaka dhidi ya Mwenyekiti Mbowe bila masharti yoyote kwa sababu Mwenyekiti ni mtuhumiwa tu. Hatuombi asamehewe, hana hatia yoyote ya kusamehewa!"- TL
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aelekeza mambo sita yanayopaswa kufanywa tunapoanza mwaka wa 61 wa Uhuru wa Tanganyika

    Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera. 1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola. 2...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

    Ujumbe wake ni huu:
  17. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apongeza kufutwa kwa kesi, atamani kauli ya Serikali ya Rais Samia

    Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani. Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

    Hii ni habari iliyoandikwa na gazeti la MWANANCHI la leo. Wakati ni habari iliyotarajiwa ifurike maoni mitandaoni kinyume chake ni kama vile haipo kabisa. Hata mimi humu nimei post mara ya kwanza ikafutwa na sijui kama hii mara ya pili haitafutwa. ======== Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Salim Mwalimu na Margit Hellwig-Boette, Wakutana Botswana

    Salaam Wakuu Balozi wa Ujerumani Nchini Botswana Margit Hellwig-Boette leo Nov. 08, 2021 akiteta na Makamu Mwenyekiti na Mgombea Urais wa 2020 Tundu Lissu na Salim Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar na Mgombea Mwenza wa Lissu wakati wa mkutano wa Kimataifa unaohusu Uchaguzi Afrika...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

    Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what. Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm. Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia...
Back
Top Bottom