tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu ana mahusiano na mwanamke wa kizungu?

    Nguli wa siasa nchini, bwana Tundu Antipas Lissu leo ameondoka Ubelgiji kurejea nchini. Wakati anaondoka ameonekana anaagana 'Kimahaba' na mwanamke wa kizungu uwanja wa ndege. Je, haitamletea shida kisiasa ikizingatiwa anayo ndoa rasmi na Alice Magabe na kuzaa nae watoto wawili? Nini...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sikatai Tundu Lissu kurejea Tanzania, ila je, ameshahakikishiwa na kujihakikishia pia Usalama wake akirudi rasmi?

    Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake? Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba huenda kwa Hasira walizonazo kwa Kumkosa basi Safari hii akirejea watahakikisha Wanamaliza Shughuli...
  3. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Tundu Lissu hajaweka chochote mtandaoni kuhusu kumbukizi ya kuanzishwa kwa CHADEMA?

    Ukiwa kama Makamu Mwenyekiti, Chama kimezindua Mikutano ya hadhara kwenye siku ya Kumbukizi ya Kuzaliwa kwa Chama chenu lakini hujasema chochote kukitakia Chama heri na mafanikio. Hujaposti chochote kwenye ukurasa wako wa twitaa kuhusu kilichojili Mwanza. Aidha Godbless Lema nae ukimya wake...
  4. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni mwanasiasa bora wa upinzani kwa sasa

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za kitaifa na kimataifa kwa muda mrefu sasa. Taifa letu la Tanzania limekuwa na siasa za uonevu mkubwa wa haki za msingi kutoka kwa watawala kwenda kwa watawaliwa. Aina hii ya uonevu unao tendeka hapa nchini unao sababishwa kwa asilimia kubwa na watawala ambao ni...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Serikali imlinde Tundu Lissu na familia yake, tusikubali mtu apigwe risasi kwa sababu ya siasa

    Fatma Karume amezungumza na Wakili TV na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo kuhusu hali ya demokrasia nchini, siasa ya Tanzania na kurejea kwa Tundu Lissu. Huyu hapa anafafanua: Nikiwa kama Rais mstaafu wa TLS nimefurahi sana kusikia Tundu Lissu anarudi Nchini Tanzania kwa sababu mazingira...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wanaomchukia Tundu Lissu wanaumiza nafsi zao bure

    Kiukweli hili jambo linashangaza sana. Linashangaza kwa sababu watu hawataki kujifunza. Bado kuna watu bila sababu yoyote ya msingi wanahendekeza chuki zao dhidi ya Lissu. Lissu hana kosa lolote. Lissu hajawahi kushika madaraka makubwa ya nchi. Kwa hiyo kama kuna watu wana umaskini, njaa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nani anahitaji mapokezi makubwa ya heshima, ni Rais Samia ambaye siku zote anapambana kujenga uchumi au Tundu Lissu anayekirudia kivuli chake?

    Ni swali tu ndugu zangu ambalo limekuwa likininitatanisha sana na leo nimeona nishiriki nanyi kulijadili. Nimeona Tundu Lissu akiomba watu wakahudhurie mkutano wa hadhara uliotishwa na chama chake, ni jambo jema kama kiongozi wa kisiasa. Pia, nimeona watu wakihimizana wakampokee Lissu akitua...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

    Kikomo cha kukosa ustaarabu ni kushangilia kifo cha kiumbe mwenzako hasa binadamu hata kama amekukosea kiasi gani. Alipofariki JPM makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu alikiita kifo cha JPM a poetic justice (a fitting or deserved retribution for one's actions). Tunaamini huu pia...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angeshirikiana na Tundu Lissu Mafisadi na wala rushwa wengeisha. Maendeleo fasta

    Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana. Jambo la pili ambalo tunakubaliana sote kwa pamoja ni kuwa Mh Adv Tundu Lissu alitia fora ktk vipindi vyote vya...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu sio Fidel Castro, sio Che Guevara, sio Kwame Nkrumah wala si Nelson Mandela

    Tundu Lissu ni mwanasiasa anayerudi nchini Tanzania kula bata baada ya matakwa yake yote kutimizwa, utakuta kuna mtu anamsubiri Tundu Lissu akiamini ni mpinzani, la hasha, Tundu Lissu anarudi nchini Tanzania baada ya yale yote aliyoyapigania katika harakati zake kutimizwa na Hayati Rais...
  11. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

    Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi). Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Martin Luther Jr wa Tanzania ambae ni tatizo kubwa la Rais Samia na CCM yake. Tumuunge mkono

    Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake. Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa. Tena kaweka wazi kuwa anakuja kujiunga na wenzake CHADEMA na wengine kupambania demokrasia, uhuru na...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana kipi hasa katika CV yake zaidi ya kuropokwa tu na makelele ya uanaharakati

    Wasalaam Niende moja kwa moja hivi huyu mtu wa kawaida sana kama Tundu Lissu ana nini hasa?hana cv yoyote hapa Tanzania hajawahi kutrend na uibuaji wa kashfa wala hoja yoyote ya kifisadi, maana zaidi ya kuwa kibaraka wa mabeberu na undumila kuwili hana lolote la maana. CV ya Lissu ni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je, TBC wameripoti taarifa za Tundu Lissu kurejea nchini? Kama wameripoti, imetoka moyoni?

    Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi. Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari? Wameripoti mitandaoni? Kama awajafanya hivyo kwenye taarifa ya habari, tunaamini mfumo unasema na kutenda kile...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu. "Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Hili tundu kwenye kufuli lina kazi gani?

  17. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, uhai wako ni muhimu kuliko chochote, usije Tanzania kwa sasa, ngoja kwanza

    Mamlaka, for that matter Rais, hajaweka mazingira yako ya kurudi kuwa salama. Uliponea mdomo wa Simba, risasi over 30 targeted you, and 16 of them got stuck in your body. Hili siyo jambo la kupuuzia! Mashetani wa Magufuli, WALIOKUPIGA RISASI bado wako madarakani/ofisini, UNASEMAJE KUWA UKO...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

    Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri. Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CHADEMA, comrade Tundu Lissu mbona upo kimya kwenye maridhiano?

    Wanaukumbi. SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu. Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani. Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu. Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma? Kikwete hakuwaita wapinzani...
  20. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu, Makamu Mwenyekiti CHADEMA kulikoni?

    Mwaka 2022 umeisha, tulitegemea utoa Salam za Mwaka Mpya kwa wapenzi na mashabiki wako. Ila umekuwa kimya kama haupo kwenye sayari yetu. Nakuombea kwa Mungu upate nauli urudi Tanzania ushikamane na Mama Yetu kujenga Nchi. Mwenyekiti wako ameshaona siasa za harakati ni kupoteza muda kawaachia ma...
Back
Top Bottom