tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Ujue Tundu Lissu unakera, unakera, unakera!

    Maumivu yanayotupatapa wanaccm kutokana na huyu bwana ni kuusema ukweli unaouma. Huyu jamaa hasahau na wala hapindishi kitu. Yaani mkuki moyoni inaumiza sana ndio maana hatumpendi. Ni kweli anapowaambia wananchi ukuaji wa uchumi wetu hauendani na maisha halisi ya wananchi, kweli wananchi...
  2. JamiiForums Tanzania CCM tambueni kuwa Tundu Lissu siyo muoga na sheria anaijua vizuri. Mwisho wenu uko karibu

    Yaani CCM walivyopaniki na kuanza kutukana katika kampeni zao ni wa kuonea huruma. Tena wasimfananishe Lissu na Dr Slaa au LOWASSA, haya yote ni makali ya CCM. Lissu ni mpinzani halisi ambaye hata siku moja hawezi kuisema vizuri CCM wala mgombea wake. Kuamini kua CCM wengi wao hawatumii akili...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu: Serikali na benki hazina uwezo wa kujenga bwawa la Umeme Rufiji

    Kwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo. Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani Serikali ya Magufuli inawezajenga bwawa la Umeme kubwa Kama lile. Haelewi Kama serikali na Bank...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Spika wa Bunge lililopita, Job Ndugai amfananisha Tundu Lissu(CHADEMA) na mnyama wa porini

    Haya ni maneno aliyotamka leo ndugu Job Ndugai
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtangazaji Doto Bulendu aomba re-match baada ya maswali yake yote kupanguliwa na Tundu Lissu. Kila anayemkamia Lissu huishia kumkubali

    Walioamua kuvizuia vyombo vya habari visimtangaze siyo wajinga. Wanajua uwezo na ushawishi wa hoja alionao Tundu Lissu. Doto Bulendu amejaribu kumbana lakini imeshindikana. Ameamua kuomba re-match.
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Katika miaka hii mitano kila Mtanzania awe ni tajiri au maskini ana hadithi yake ya maumivu

    Wapwa Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana Ifakara na Tanzania nzima. Je wewe hadithi yako ni ipi.? Haki huinua Taifa.
  7. JamiiForums Tanzania Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Morogoro, ni operesheni Kata kwa kata

    Wakati Wagombea wengine wakiishiwa pumzi , Rais Mtarajiwa wa Tanzania Mh Tundu Lissu leo tarehe 12/9/2020 bado yuko Mkoani Morogoro akiendelea kuelimisha wananchi kuhusu madhara ya ukandamizaji na udikteta na kuichakaza ccm bila huruma ========= UPDATES Picha : Akiwa kazuiliwa na wananchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Asante sana Tundu Lissu kwa kutetea Waislamu walioko jela kwa uonevu, Mungu akulipe kheri nyingi sana

    Kwako Ndugu Lissu Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nawe Napenda kuchukua fursa hii kukushukuru kwa dhati ya moyo wangu kwa kitendo chako cha Utu na kupenda haki kwako kwa namna unavyotetea Viongozi wa dini ya Kiislamu walioko Jela kiuonevu. Umekuwa consistent sana kuhusu uonevu huu, umezungumzia...
  9. JamiiForums Tanzania Tusikaze mioyo yetu. Kuna "jambo letu" tunafundishwa kupitia Tundu Lissu

    Tangu aanze kampeni mikutano ya hadhara ya Mhe. Lissu inajaza watu wenye hamasa kila kona. Wananchi wanakuja wenyewe kwa maelfu huku kukiwa hakuna matumbuizo ya wasanii, wanamuziki, wachekeshaji, wala ubebaji wa watu kwa malori kutoka sehemu nyingine. Hii inaashiria kukubalika kwake. Ana mvuto...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Ukimsikiliza sana Tundu Lissu utagundua sifa hizi kuu kwa huyu Rais mtarajiwa

    1: Ni mr negative, yani kwake yeye Tanzania haikuwahi kufanya jambo zuri hata siku moja. Tangu Uhuru hadi leo Tanzania haina jema hata moja kwake. Yaani kwake Tanzania imefeli kila kitu. 2: Anajua Sheria kuliko watanzania wote walio wahi kusoma na waliopo kwenye taaluma hiyo. Majaji, mahakimu...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

    Tundu Lissu kamwaga sumu Morogoro uku akishangiliwa mwanzo wa mkutano mpaka mwisho.
  12. JamiiForums Tanzania Nakuomba Tundu Lissu wewe binafsi uingilie kati sakata la viongozi wa Bavicha wanaosoteshwa Magereza na DPP anayeitumikia CCM

    Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo. Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Mkimchagua Magufuli, ana lengo la kubadili Katiba kuondoa ukomo wa vipindi vya kutawala

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema ndugu Tundu Lissu, amewaasa Wananchi wa Bagamoyo kuwa, Magufuli ana lengo la kubadili ukomo wa vipindi vya utawala na ndiyo maana hilo Suala lilizungumzwa bungeni na Spika Ndugai. Lissu akawaambia wananchi kuwa, Ndugai asingeweza yeye binafsi kulizungumza...
  14. JamiiForums Tanzania Kwako Tundu Lissu kuhusu suala la Lugha

    Mhe. Tundu Lissu nakusalimu. Wewe ni miongoni wa watanzania wanaotetea sana lugha ya Kingereza pengine pasipo kujua kuwa lugha ni uchumi na inafungamana na mielekeo, tamaduni na falsafa za watumiaji wa lugha hiyo (Prof Clara Momanyi Kenyatta University) Hivyo unapoendeleza lugha ya kigeni...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Vyombo vya Habari hapa nchini vimeripoti "press conference" aliyoifanya mgombea Urais kupitia Chadema, Tundu Lissu?

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA jana Jumatano alifanya "Press conference" na Vyombo vya Habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ninampinga Magufuli hadharani. Sio mnafiki na sijahongwa

    Anaandika Lissu: Tofauti kati yangu mimi na wewe na Magufuli ni hii: Mimi nimepigania nchi yangu katika masuala haya tangu mwaka '99. Wakati huo tulikuwa na mgodi mmoja tu wa dhahabu, Resolute Golden Pride Nzega. Bulyanhulu ilikuwa haijajengwa. Geita ndio kwanza walikuwa wanafukuza wanakijiji...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Mfa maji haachi kutapatapa! CHADEMA maji shingoni

    Uchaguzi wa mwaka huu ulionyesha mapema kabisa kuwa CCM itashinda kwa urahisi sana. Hii ni kwa sababu kazi nzuri iliyofanyika ndani ya miaka minne ilikuwa ni kete tosha kwa CCM kutusua bila matatizo. Zimebaki siku 49 watanzania waende kupiga kura ili kuchagua wabunge, madiwani na rais wa JMT...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilochopelekea Tundu Lissu kwenda kwa haraka kumwaga sumu Zanzibar

    Ndugu watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo. Kwa kifupi sana, nadhani baada ya Tundu Lissukuona trend ya kampeni za Mh. Magufuli: Dodoma, Tobora, Shinyanga, Simiyu, Mara, na baadaye mapokezi yake kule Mwanza, wanamwanza ndiyo walivunja rekondi...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Sept 9, 2020, ataenda Mahakamani kwenye kesi zake Kampeni zikiisha

    Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Haya ni baadhi ya aliyoyasema: ====== Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu! > Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

    Augustino Chiwinga 0756810804. Kibaraka ni mtu anayetumiwa kuhujumu mtu,jamii, au Taifa kwa manufaa au maslahi ya mtu au kikundi kinachomtuma. Vibaraka wapo kila nchi na hapa Tanzania tunao pia mmjowapo ni Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu. Ukweli mchungu ni kwamba vita ya Uhuru wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…