tundu lissu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Excellent campaigning, Tundu Lissu, but avoid bashing Nyerere!

    Tundu Lissu's campaigning has been excellent - exposing the oppression of the current CCM leadership for all to see. Generally he has reduced attacks on previous leaders and directed his fire on to the current one. That is one of the brilliant tactics, to narrow the field of attack and isolate...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wetu wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, mkoa wa Katavi na Wilaya ya Mlele hujuma mlizomfanyia Tundu Lissu kwa sababu tu ya pesa hazikubaliki

    Jana Tarehe 18/09/2020 Mgombea wetu wa Urais Tundu Lissu alikuwa na ratiba ya kufanya Kampeni katika Mkoa wetu wa Katavi maeneo ya Majimoto katika jimbo la Kavuu Wilaya ya Mlele na Mpanda MJINI katika jimbo la Mpanda. Hakika viongozi wetu (Musa Masanja Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu afafanua sera ya CHADEMA ya uhuru, haki na maendeleo ya watu

    *Does it make any sense?* Kuhusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Na TUNDU Lissu 16.09.2020 Mbeya. Andiko hili limetolewa kama ufafanuzi malalamiko ya CCM juu ya hoja za Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. Pia linafafanua juu ya maendeleo ya upendeleo katika utawala wa Rais Magufuli (nyumbani...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Rukwa na Katavi

    Wakuu leo tena yule Mgombea Urais pekee wa Tanzania asiye na kashfa yoyote ile anaendelea kuchanja mbuga kwenye mikoa ya Rukwa na Katavi , ambapo itapigwa mikutano minne na mkutano wa Mwisho utapigwa jioni kabisa Mpanda Mjini . Kwa Taarifa za uhakika kuhusu kampeni za Tundu Lissu endelea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika mapokezi na mkutano wa Tundu Lissu Sumbawanga

    "Tundu Lissu akiwa Rukwa - Sumbawanga Mjini kwenye kiwanja cha Ndua.." Mheshimiwaa Tundu Lissu ameongea na maelfu ya wakazi wa Rukwa hapa Sumbawanga. Ifuatavyo ni sehemu ya Hotuba yake: Nawashukuru sana sana watu wa Sumbawanga kwa ukarimu na upendo. Sasa naomba nianze nahii engua engua ya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu, Kura yangu umepata

    Salamu kwako Tundu Antiphas Lissu, Shalom, Leo napenda kukwambia rasmi kuwa , Kura yangu iko kwako! Na hii ndo sababu yangu kuu ya kukupa kura! Katika maisha yangu nimekuwa nikifanya utafiti sana juu ya dhana ya umasikini wa watanzania na Tanzania kwa ujumla, Moja ya sababu ambayo niligundua...
  8. JamiiForums Tanzania Mbarali: Dogo aliyepanda juu ya mti ili kumuona Tundu Lissu apewa zawadi ya vifaa vya shule

    Ama hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani . Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno ! Unaweza kumsikiliza dogo...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Songwe na Rukwa

    Wakuu natanguliza salamu , Kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA zinaendelea leo tena Mkoani Songwe na Rukwa . Endelea kubaki hapahapa JF kwa habari za uhakika ======= Laela , Momba Kumekucha Momba Rukwa moja
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

    å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC. å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti. å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Namshauri mgombea wangu wa Urais CCM, Dkt. Magufuli aache kufanya kazi ya kumjibu Tundu Lissu, ni kazi ya kina Polepole

    Mimi nawashangaa sana hasa vijana wa CCM tuliokaa kimya tukimwacha mgombea wetu anajibizana na mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Hivi tunaelewa maana ya hili? Mnaelewa mitego anayotengeneza Tundu Lissu? Vijana wenzangu wa CCM tuache kutanguliza maslahi mbele, tumsaidie Rais na mgombea wetu...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    å Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dr. Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari. å Kwamba, baadhi ya wagombea katika mikutano yao ya kampeni wanakiuka kanuni na maadili ya uchaguzi mkuu wa 2020. å Na kwamba, tume inaweza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurindima mkoa wa Songwe leo

    Mgombea Urais wa Tanzania Tundu Lissu leo anaingia mkoani Songwe kuendeleza harakati zake za kuingia Ikulu.Kabla ya kuingia Songwe atamalizia mkutano saa 5 asubuhi mjini Mbalizi wilaya ya Mbeya Vijijini Mgombea huyo wa Chadema mwenye ushawishi mkubwa na ambaye kila dalili zinaonyesha atashinda...
  14. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

    MOJA: Reli nyingine zilizopo na zenyewe ni standard gauge - TAZARA, RELI YA KATI, (DAR -KIGOMA) na ya TANGA-ARUSHA MBILI: Marais wengine wote na wenyewe walianzisha mabwawa ya umeme, kuanzia Kidatu na Mtera (Nyerere), wengine wakajenga Kihansi (Morogoro - MKAPA), Hale (Tanga - NYERERE), Pangani...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Orodha ya matusi mazito ya Tundu Lissu kwa CCM na Mgombea

    Kwa kweli mgombea Tundu Lissu anasikitisha sana kutoa matusi mazito kabisa na kudhalilisha wenzie. Kwa haraka haraka nimeyanyaka baadhi ya matusi yake ambayo yanalalamikiwa sana: Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ambao haukufuata utaratibu na haukupitishwa na bunge Wafanyakazi kutopata...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Njombe na Mbeya

    Leo tena Rais Mtarajiwa wa awamu ya 6 anazidi kusonga mbele na kampeni zake za kuwaomba wananchi wamchague kwa kura nyingi mno ili aweze kuleta Uhuru kamili . Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa taarifa za uhakika ======== UPDATES Njombe Mjini ========= UPDATES 2 Lissu aingia Mbarali
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu Watanzania waliungana siku ulipopigwa risasi

    Lengo la kukupiga risasi lilikua Ni kukuua,ufe kabisa halafu usiwepo Tena juu ya uso wa Dunia. Naamini baadhi wangelipwa kwa kazi ya Kukuondoa na wengine wangepongezana. Hata hivyo Kuna mamilioni ya Watanzania waliungana kwa kulia na kuugulia, walifanya vitu ambavyo havijawahi kufanyika hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaongea maneno mengi sana hadi anaishia kujikanganya mwenyewe

    Mapema leo akiwa Mdabulo, mgombea urais wa CHADEMA kalalamika kuhusu barabara ya kutokea Mafinga mjini. Kadai eti barabara ni mbaya sana. Hivi huyu si ndo huwa anamnanga Magufuli kuhusu barabara? Yaani huyu jamaa bana. Kutwa kucha kumponda Magufuli kuwa eti ni Rais wa mabarabara halafu leo...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania" ===== LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mgombea Urais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…