tundu lissu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni vema wagombea wa vyama vyote wakajitangaza mapema ili tuwapime

    Ni vema tukawa kama Wakenya wagombea wa urais wajulikane mapema tupate muda wa kuwapima. Sasa tunawasubiri ACT wazalendo, NCCR mageuzi na TLP nao watutangazie wagombea wao. Inaeleweka kwa utamaduni wa CCM ni lazima asimame Rais Samia. Prof Lipumba wa CUF, Tundu Lissu wa Chadema na Hashimu...
  2. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa 2025 ni Samia vs Lissu?

    Baada ya Rais Samia leo kuweka bayana kuwa atajitosa kuwania urais mwaka 2025 ni dhahiri sasa mpambano wa kuwania kiti hicho utakuwa kati yake na makamu mwenyekiti wa Chadema aliyekimbilia Ubelgiji Tundu Lissu. Kuanzia sasa wananchi wataanza kuwachekecha kwenye chujio kali la nani anafaa zaidi...
  3. darcity

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kelele za Tundu Lissu akiwa Ubelgiji ni sawa na fimbo ya mbali isiyoweza kuua nyoka. Arudi bongoland kuweka mbinyo wa kisiasa

    Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka hata kidogo. Lazima iwe karibu na kumfikia nyoka na kisha kumuua. Lissu yupo Brussel anakula bata kwa mrija, lakini ana malalamiko mengi juu ya mambo yanayotamaraki hapa Tanzania. Analalamika juu ya kutokuwa na katiba inayokidhi mahitaji ya watanzania. Hivyo...
  5. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Polisi wote huni - treat with respect kila walipotumwa kunikamata isipokuwa baadhi kama afande Cammilius Wambura, Sirro na Kigaigai...

    Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017.... Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Library video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokutana na kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine

    Kwani kuna ubaya gani kukutana kama hivi na kuongea pamoja?
  7. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

    TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...." TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...." Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, wakati Tundu Lissu anasimikwa uchifu kule Geita mlishangilia sana wala hamkusema uchifu ulifutwa

    Nimewasoma makamanda humu mitandaoni wakipiga porojo eti uchifu ulifutwa, ulifutsa wapi? Mbona akina Chifu Marealle bado wanahudumu? Mbona Tundu Lisu wakati wa kampeni alisimikwa uchifu? Mbona pale Kalenga Chifu Mkwawa bado anahudumu? Nawakumbusha tu maana kwa sasa chadema wanaparamia tu...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu njoo uokoe jahazi, kila pingamizi linakwama

    Fimbo ya mbali haiuwi nyoka Mr learned counsel. Mambo ni mazito maana kamanda kila anachofanya hakifanikiwi Kibatala na wenzake kila Pingamizi wanaloweka linagonga mwamba. Hii ni dalili mbaya kwa Mwamba huenda maana huenda wakamnig'iniza. Kwa sababu upo vizuri na ulidai hii ni kesi ndogo...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

    Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee, Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu? Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki...
  11. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayowatokea CHADEMA, Karma is real hapa duniani

    Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani. Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa. Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO. Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Baada ya upekuzi wa Polisi kukamilika nyumbani Kwa M.Kiti Mbowe, tumepokea taarifa za kushtua na kushangaza kuwa Polisi wamemwambia kuwa ataunganishwa kwenye kesi ya Ugaidi na watuhumiwa walioko gereza mojawapo DSM. Tutaendelea kutoa taarifa za kina hapo baadaye. ==== UPDATES; =====...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanya Mahojiano na Voice Of America (VOA)

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amefanya Mahojiano Muhimu sana na VOA , ambapo amefafanua masuala mbali mbali ya namna hali ya kisiasa ya nchini Tanzania ilivyo kwa sasa (Tutajaribu kuweka video ikiwezekana) Lissu ambaye yuko Marekani kwa ziara ya kikazi , hasa kuhusiana na masuala...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania CCM imegawanyika; CHADEMA wajifunze kutoka Zambia. Mbowe ampishe Tundu Lissu Uenyekiti

    Mgombea wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema anaongoza katika matokeo ya kura za awali katika uchaguzi mkuu. Hakainde alionyesha kuongoza siku ya jana huku chama chake cha UPND kikikusanya kura katika majimbo mengi nchini humo. Raisi alieko madarakani Edgar Lungu mwenye umri wa miaka...
  16. mngony

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea kesi ya Sabaya, naamini tutakuja kujua waliohusika kumshambulia Tundu Lissu na wasiojulikana kujulikana

    Tunaanza kusikia tuliyokuwa hatuyajui au kuthibitisha yale tuliyokuwa tukidhania, kwa yanayondelea kutamkwa na Sabaya ni wazi hata kitendawili cha waliomshambulia Tundu Lissu na kilichowasukuma kinaweza kutatuliwa. Sabaya anatamka kabisa kuwa alifika KIA akakutana team ya watu 4 ambao hawezi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Leo nimekamilisha chanjo ya Corona kwa kuchomwa sindano ya pili, mimi nimechanja Astra Zeneca!

    Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amewataka Watanzania wote kujitokeza na kuchanja ili kwa pamoja tuishinde na kuitokomeza Corona. Lissu amesema leo hii 09/08/2021 amekamilisha chanjo yake ya Corona kwa kuchoma sindano ya pili na kwamba yeye amechanja aina ya Astra Zeneka. Mungu ni...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Lissu na wanaharakati wa CHADEMA, nchi yetu haitakombolewa kwa 'Space'

    Wanaukumbi Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa...
  19. Genius Mzee

    JamiiForums Tanzania Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

    Mshamba ni nani? Mshamba ni yule anayejificha nyuma ya kibodi na kuwashambulia wengine au anapambana kwa kujitokeza na kuongea bila kupepesa macho kama Tundu Lissu anavyofanya? Mshamba ni nani yule aliyeanza kupigania haki toka akiwa shule ya msingi, Sekondari, JKT na kuendelea au yule...
  20. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu vs Fatma Karume

    Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini. Huyu so-called Shangazi is caping hard for Samia! I wonder why 🤔? In a roundabout way she is saying that Mbowe and the opposition are...
Back
Top Bottom