tundu lissu

  1. GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  2. F

    Tundu Lissu ni shujaa

    Pamoja na yote yaliyomkuta, Tundu Lissu hakuogopa kurudi nyumbani na tena sio kurudu tu bali kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na aliporudi hakukaa kimya amezungumza ukweli wote wa mambo bila chembe ya uoga. Hata baada ya hila za kila aina dhidi yake na wagombea wa CHADEMA...
  3. Video: Hatimaye chopa ya Tundu Lissu yatua salama Dar

    TCAA wamezuia chopper ya Tundu Lissu kuruka kutoka KIA kwenda Dar kwenye mkutano wa kufunga kampeni kwa madai ya hali mbaya ya hewa. Baada ya kusota zaidi ya masaa matano pale KIA hatimaye Lissu akaamua waruke kwa lazima bila kibali cha TCAA. Alikuwa tayari kwa lolote hata kama ni chopper yao...
  4. JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

    Wanabodi, Miongoni mwa vitu vinavyotukwamisha sisi Watanzania kupata maendeleo ya kweli, ni kutokusikiliza ushauri, Leo Mwana JF, mwenzetu, mashuhuri na maarufu karibu kuliko wana jf wote all times, Mkuu Mzee Mwanakijiji, ametoa ushauri huu kwa Chadema, naomba msikilize Kwa faida ya...
  5. GE2020 Lissu adai kucheleweshwa KIA makusudi na TCAA

    ANAANDIKA MH.TUNDU LISSU ------- Waheshimiwa viongozi salaam. Mimi na timu yangu ya kampeni tuko Kilimanjaro International Airport tangu saa nne asubuhi. Tulikuja kuweka mafuta kwenye chopper yetu ili tuweze kwenda Dar kwa ajili ya mkutano wetu wa kufunga kampeni unaotakiwa kuanzia Kawe saa...
  6. GE2020 Dar: Yaliyojiri Kawe kwenye Mkutano wa kufunga kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Wakuu leo ndio hitimisho la kampeni nzito sana za Tundu Lissu zilizovurumishwa nchi nzima , kwa mafanikio makubwa sana , kwa tathmini ya Kisomi niliyoifanya Tundu Lissu anatarajiwa kushinda Urais wa Tanzania kwa angalau 70% , Hitimisho la kampeni hizi linafanyika Jijini Dar es salaam kwenye...
  7. M

    GE2020 Wapinzani hamkujiandaa vyema; mkishindwa msilete nongwa

    Nawasalimu wanajukwaa, Kwanza nianze kwa kuwapongeza kwa minyukano ya hoja humu jukwaani kwa ustaarabu wa hali ya juu, hii inaonesha jukwaa bado lina watu makini sana. Nikirudi kwenye mada yangu,ni ukweli usiopingika kuwa wapinzani hamkujipanga vyema kwa ajili ya uchaguzi yanayotokea ACT ni...
  8. GE2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

    Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80... Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi...
  9. GE2020 Tundu Lissu unayeota kuwa Rais wa Tanzania yetu hii, umeusikia na kuuelewa huu ujumbe?

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya...
  10. NEC: Jina la Tundu Lissu liko mwisho wa karatasi ya kupiga kura kwasababu alirejesha fomu akiwa wa mwisho

    Akihojiwa na kituo cha redio Kagera Community Radio(KCR FM) leo asubuhi Ofisa elimu kwa umma kutoka Tume ya uchaguzi (NEC Bw Titus Mwanzalila amesema kigezo kilichotumika ni urejeshwaji wa fomu za wagombea Urais ambapo mgombea wa Urais kupitia CCM John Magufuli alirejesha fomu akiwa wa kwanza...
  11. GE2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro na Tanga. Kama kawaida yetu...
  12. Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu

    Tukiwa tumebakiza siku moja pekee, ili tuingie kwenye uchaguzi mkuu, hapo kesho kutwa, nimejaribu kufanya tathmini na kuona ni makundi yapi yanaweza kumpa kura kwa wingi sana mgombea wa CHADEMA Tundu Lissu. Makundi yafuatayo yanategemewa kumpigia kura Tundu Lissu:- 1. Mamilioni ya wanachama na...
  13. GE2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

    Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa nafasi ya uraisi 15 huku wengine wakishindwa kufanya kampeni na wengine kujitoa na huyu Tundu Lissu kupata wafuasi wengi lakini wanaokwenda kumshangaa kupona kufa baada ya risasi 38 na 16 kumpata mwilini. Majority ya Watanzania wana imani kubwa...
  14. GE2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Dodoma na Singida

    Wakuu kwa sasa ni suala la muda tu kwa Nchi yetu kupata Rais Mpya kutoka kwenye chama kipya , naandika haya kwa kujiamini kabisa baada ya Tathmini ya uhakika , njia pekee ya kumshinda Lissu kwenye uchaguzi huu ni kuiba kura tu . Nirudi kwenye mada , Leo Tundu Lissu ataendelea na mikutano kadhaa...
  15. For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

    Wanabodi, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa ulivyo, katiba yetu ilivyo, sheria yetu ya uchaguzi ilivyo, Tume yetu ya uchaguzi ilivyo, hali ya...
  16. D

    GE2020 Tundu Lissu kutua Singida Magharibi leo Oktoba 25

    Mh. Tundu Lissu leo atakuwa na Mikutano mitatu Jimbo la Singida Magharibi ambayo ni; 1: Sepuka, 2: Iglanson na 3: Ihanja. Wakati wa Mabadiliko ni sasa. Yani yule mwingine leo anafanya mkutano mmoja Babati na akitoka hapo imeisha hivyo. Sasa baada ya Lissu kumaliza Singida, kampeni inayofuata...
  17. SMS yenye jina Tundu Lissu yaruhusiwa, ilikuwa ni tatizo la kiufundi

    Baaada ya Wateja wa baadhi ya Makampuni ya Simu kulalamika kuwa wakituma SMS yenye neno "Tundu Lissu" inafeli sasa tatizo hilo limeisha baada ya kushughulikiwa. Inadaiwa lilikuwa ni tatizo la kimtandao.
  18. GE2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

    Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
  19. GE2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

    Wadau nini kimetokea? Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda.... Jaribu kwa Airtel, Vodacom
  20. Hili la Vodacom na Airtel ku-block SMS zenye jina Tundu Lissu limekaaje?

    Baada ya kuona twitter nikajaribu binafisi kituma sms ni kweli ukitma sms yenye Tundu Lisu haiendi, Sikutarajia kama hizi kampuni zitafikie levo hii aiseee, hii ni too far sana, wameingia rasimi kwenye siasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…