tundu lissu

  1. B

    Tundu Lissu calls for the international community to sanction Magufuli's administration

    26 November 2020 Paris, France Tundu Lissu on F24; Tanzania opposition leader vows to keep fighting Tundu Lissu, the Tanzanian opposition leader who fled to Belgium after losing last month's election to President John Magufuli, calls for the international community to sanction his...
  2. GE2020 Tundu Lissu: CHADEMA na ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya Uchaguzi wala kushiriki kwenye Bunge

    LISSU(Opening Remarks) Lissu: Chama chetu cha CHADEMA na chama dada cha ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya uchugazi huu, tumekataa kushiriki kwenye bunge au serikali za mitaa kwani kufanya hivyo itakuwa kukubali utapeli huu wa demokrasia Japokuwa kukata tamaa, kushusha ari na hasira...
  3. Je, Kuna haja ya Tundu Lissu na wapinzani kwa ujumla wao kumjibu IGP Sirro?

    Nimemsikia Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ameongea mengi na wala hakuna haja ya kuyarudia tena hapa, lakini nitagusia machache hasa kwenye Wapinzani kutishiwa maisha , kwa maana ya kutishiwa kuuawa. IGP anakanusha na kupinga...
  4. Vita ya Tundu Lissu vs Magufuli na Vita ya Kambona vs Nyerere, ipi Kali?

    Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa...
  5. Mfahamu mlinzi wa Tundu Lissu, Renatus Hangaya. Asema alimfahamu 2006 kumfundisha 'Martial Arts'

    Renatus Charles Hangaya ndio jina lake mzaliwa wa Kahama mkoani Shinyanga mwaka 1980. Alifukuzwa shuleni kwa hujuma za kifamilia sababu kuu ikiwa mali za mzee wake. Kwenye historia amesema alikuwa kamanda wa scout wa kikosi cha Simba, walipelekwa camp Uganda 1994 na kuweza kuwika Afrika kiasi...
  6. M

    Msimamamo wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Tundu Lissu) juu ya viti maalum

    Muda mchache kabla ya kuondoka nchini, Aliyekuwa mgombea uraisi wa kupitia Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari na kuseama kuwa uchaguzi uliopita ni uchaguzi ambao uliovurugwa na kuharibiwa sana, amesema kuwa katika vikao halali...
  7. Uhusiano wa CHADEMA, Tundu Lissu na Ubelgiji: Kwanini Tundu Lissu alikimbia ubalozi wa Ujerumani?

    UHUSIANO WA CHADEMA, TUNDU LISSU NA UBELGIJI: KWA NINI TUNDU LISSU ALIKIMBILIA UBALOZI WA UJERUMANI? Leo 20:30hrs 14/11/2020 Ilani ya CHADEMA ikinadiwa na mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu, walizunguka Tanzania nzima wakipiga mbiu kuwa watatumia rasilimali za madini kama dhamana kwa ajili ya...
  8. US embassies in African countries and their history in inciting fear, violence, terrorism, and state instability

    As far back as 1990. The US embassies have been connected with a documented record of greediness which has caused blood shade in many countries particularly in African states in the name of democracy and human rights. Many of the global crises over the past few years – coming from Syria, Iraq...
  9. Tundu Lissu awasili salama Ubelgiji

    Mhe. Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefika salama nchini Ubelgiji baada ya kuondoka nchini Tanzania ambako alikuwa Mgombea Urais aliyeng'ara kutokana na maisha yake kuwa hatarini baada ya Vitisho vikubwa vya kumuua, aliondoka nchini Tanzania kwa Ulinzi wa UN huku...
  10. Mabalozi watatu waliomsindikiza Tundu Lissu uwanja wa ndege wanatuma ujumbe gani kwa Serikali?

    Wakati Tundu Lissu akiondoka nchini kwenda Ubelgiji kwa matibabu leo, amesindikizwa na mabalozi watatu ambao ni balozi wa Marekani, Ujerumani na Ubelgiji. Washirika hawa watatu kwa hakika upo ujumbe wanaoutuma kwa serikali ya Tanzania. Baada tu ya Tundu Lissu kuondoka nchini salama, balozi wa...
  11. GE2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

    Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa...
  12. Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

    Tundu Lissu, aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA , ameondoka nchini humo leo Jumanne kwenda Ubelgiji huku akisema “sikimbii mapambano, ila nakwenda uwanja mwingine mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu.” Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
  13. Namfananisha Tundu Lissu na Mwanasiasa wa Venezuela, Juan Guaido

    Baada ya Uchaguzi Mkuu kupita, nayaona yaliyojitokeza venezuela yakitokea kwa Mwanasiasa Tundu Lissu. Namfanisha Tundu Lissu na mwanasiasa wa Venezuela, Juan Guaido ambaye alitumiwa sana na wanasiasa wa Marekani ili kumuondoa Rais Nicolas Maduro wakitegemea ana uwezo na nguvu za kisiasa kwa...
  14. IGP Sirro: Polisi hatuna taarifa kuwa Tundu Lissu ametishiwa kuuawa

    POLISI HATUNA TAARIFA KUWA LISSU AMETISHIWA KUUAWA Jeshi la Polisi limesema halina taarifa ya madai yaliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa ametishiwa kuuawa na watu ambao hawajajitambulisha. Akizungumza na Gazeti ya Mwananchi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro...
  15. Kesi tano zinazomsubiri Mahakamani Tundu Lissu

    Dar es Salaam. Wakati aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akidai yupo ubalozi wa Ujerumani, ameomba kupatiwa hifadhi ya kisasa kwa maelezo ya kuwa ametishiwa maisha. Kauli hiyo imekuja wakati Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi, ikitoa hati ya...
  16. Ni kwanini Jeshi la Polisi halichukui hatua kwa madai mazito aliyotoa Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa?

    Tumesikia madai mazito aliyotoa Makamu Mwenyekiti wa Chadema na aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Tundu Lissu ya kutishiwa kuuawa, hadi ikamlazimu kukimbilia ubalozi Wa Ujerumani na kuomba hifadhi Ameendelea kudai kuwa alipigiwa simu na watu wawili siku ya Jumamosi ya tarehe 31/10/2020 na...
  17. Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

    Tundu Lissu akihojiwa na redio Ujerumani DW anasema amepata simu za kutishiwa amani na ameamua kujificha kwenye makazi ya Balozi wa Ujerumani Anasema maisha yake yako hatarini na anajipanga kuondoka na kurudi Ubeligiji Tundu ni mwanasheria na very treak man tujihadhari naye sana =========...
  18. Askofu Mwamakula: Tundu Lissu aomba hifadhi Ubalozi wa Ujerumani baada ya vitisho vya uhai wake

    AMEANDIKA: BABA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA. USALAMA WA MAISHA YA LISSU UKO HATARINI, AKIMBILIA KUPATA HIFADHI KATIKA UBALOZI WA UJERUMANI JIJINI DAR ES SALAAM! Jana tarehe 5 Novemba 2020 nilizungumza na aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha...
  19. Tumeumia, lakini chonde chonde tusiandamane...

    Hatimaye uchaguzi mkuu wa 2020 umekamilika na kutuletea matokeo ya kushangaza. Sio siri kuwa uchaguzi haukuwa huru, haukuwa wa haki wala haukuwa wa wazi. Ushahidi wa uhalifu uliofanywa dhidi ya Demokrasia ulikuwa mwingi na kila mahali. Hakika, watu wengi wameumizwa kwa yaliyofanyika. Baada ya...
  20. GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…