Ajenda moja ya Maridhiano ya CCM na Chadema ya kuwahakikishia usalama Tundu Lisu, Lema na Wenje imeshazaa matunda na sasa makamanda wako njiani kurejea nyumbani
Lakini ajenda nyingine Ilikuwa ni kuwaondoa bungeni akina Halima Mdee na wenzake kwani siyo wanachama wa Chadema.
Kesi iko mahakamani...
Uwe unampenda au humpendi utakubaliana na mimi kwamba Mh Tundu Lissu ni tunu ta taifa. Sitaki kurudia mambo mengi yaliyopita lakini kwa ufupi ni kuwa yale yoote aliyotuonya wana wa tanzania kuhusu utawala bora na sheria sote tumeshuhudia athari zake. Athari kwa watanzania wote, wenye vyama na...
Salaam Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu yupo njiani anarudi
Hapa chini nimeweka nukuu alipokuwa anaongea na EATV
"Nimeambiwa niandike barua ili kudai gharama za matibabu, nimekusanya nyaraka zote zilizotumika kwenye matibabu kuanzia Dodoma, Nairobi hadi Ubelgiji, matibabu...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia amemlipa stahiki zake kama Mbunge ambazo ni kiinua mgongo, Serikali ya Rais Magufuli ilikuwa imekataa kumlipa.
Pia, Serikali ilimuambia aandike barua pamoja na kuambatanisha na nyaraka ili apewe fedha zake za matibabu ambazo Serikali...
Nimemfahamu ndg Tundu Lissu at least 2008 nikiwa chuo. Sijawahi kusoma historia yake. Nilipenda speed yake kama kijana hasa akiwa bungeni lakini as time went on nikawa nalose interest na baadae nikampuuza kabisa nikawa sina interest nae hasa upinzani wake kwenye ku reshuffle mikataba ya madini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu na Mjumbe wa kamati Kuu ya Chama hicho, Godbless Lema wametangaza kuwa watarejea nchini hivi karibuni ili kuendeleza jitihada za kudai Katiba mpya.
Wakizungumza katika kongamano la Baraza la Vijana la CHADEMA...
Wakuu Habari!
Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa.
Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
Ni malumbano makali kati ya John Heche [M/Kiti - CHADEMA - kanda ya Serengeti] na Dr W. P. Slaa [Former GS wa CHADEMA] huko club house moja usiku wa kuamkia leo Alhamisi trh 28/4/2022..
Msingi wa malumbano hayo ni hoja ya Dr Slaa aliyowahi kuiibua na kuripotiwa hapa hapa JF kuhusu UTEKAJI...
Waswahili wanasema hata kama humpendi sungura basi sifia hata mbio zake.
Ukweli ulio wazi CHADEMA wanaziongoza sana siasa za Tanzania. Vyama vyote vimeshiriki hadi chama tawala lakini mkutano wa leo (Aprili 5, 2022) wa TCD umepoa sana na hata waliopo huko hawana hamasa ni kama wanapigishana...
Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke Yao wengine mle ugali kwa kuchovya tongue au mle bilà mboga kabisa.
Tundu Lissu aliwaonya watu...
Jaribu kufikiria, Waziri wa fedha anapeleka mswada wa Tozo ya mafuta bungeni na bunge zima linapitisha.
Baadae Waziri wa Nishati anatangaza kuziondoa Tozo hizo ili kuwapa wananchi unafuu wa bei lakini halihusishi bunge.
Wabunge wote wanapata taarifa kwa sababu wote wana magari ya mkopo na...
Nimwkuwa nikifuatilia Press conferences za viongozi mbalimbali wa dunia baada ya Russia kuivamia Ukraine na kugundua Tanzania hatuna kabisa Waandishi wa habari wenye uwezo wa Kuelewa na Kuhoji.
Nikajiuliza imekuwaje Tundu Lissu akapata kazi UN na EU? Au ni mchongo?
Kama ni kweli yuko UN/EU na...
Hoja za Peter Msigwa na za kwangu zinafanana, ambazo kila nikijaribu kumuuliza mwanaharakati au mwanasiasa anayepinga wamasai kuhamishwa Ngorongoro au hata kupunguzwa hakuna anayejibu zaidi ya kukwepa na blah blah nyingine.
So Msigwa anamhoji Lissu ni kweli kuwa Wamasai walipewa ruhusa ya...
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.
Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.
Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
Zitto sasa amevuka mpaka na shime ndugu Tundu usimchekee tena hasa kwa hatua hiyo ya kukudhalilisha kwa kilema chako.
Hii ndiyo Tweet aliyoandika Twitter wakati akijibu hoja ya mdau
Baada ya kulalamikiwa na wadau, Zitto Kabwe aliomba msamaha na kudai kuwa hakuwa anajua maana ya neno...
Hivi karibuni Mama Samia alifanya mazungumzo na Mh. Lissu na Mh. Mbowe kila mmoja kwa wakati tofauti.
Mazungumzo hayo kwa hakika yamekuwa yenye kuleta tija kubwa kwa taifa letu.
Leo hii waliokuwa wanalalamikiwa wanakemewa:
Tulipo sasa tunategemea kila mmoja atafuata sheria zilizopo kwa...
Tundu Lissu amepewa passport mpya na Serikali ya Tanzania baada ya ile ya awali kupotea kwa kuibwa kule Ujerumani.
Lissu amekabidhiwa passport yake leo na balozi wetu.
Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya...
Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake watatu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Lissu alifikia hatua ya kuomba kuonana na Rais...
Sote tunakumbuka Juzi juzi baada ya tundu Lisu kumaliza mazungumzo na Rais akiwa Ubelgiji Tundu Kama kawaida yake akili mingi mingi alimuwahi Mama na kuweka hadharani mada walizozungumzia. Kwa Mujibu wa Makamu mwenyekiti alidai kuwa Mh Rais alikubali kuwa atayashughulikia yale yote yanayoikwaza...
This is absolutely strange indeed.
Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka.
Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the way kutoka Brussels - Belgium kuonana na kuzungumza na National CHADEMA Vice Chairpersnon, ndugu...