tunataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi wakuu wa serikali ya Israel toka kuanzishwa kwa taifa hilo ni makomando sisi tunataka machawa

    Wakati Israel viongozi wa kuu ni makomandoo wa jeshi IDF au wakuu wa TISS kama Shinbet Mossad Shayetet 13 nk sisi tunalea machawa. TISS MJITAFAKARI.
  2. K

    Rais Samia, tunataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025

    Mhe. Rais, sisi wananchi kwa ujumla tunakuomba kwa heshima na taadhima iwe jua na iwe mvua tunataka Katiba Mpya kabla ya 2025. Usemi kuwa wananchi wanataka elimu kwanza kuhusu Katiba Mpya usemi huo hauingii akilini mwetu tunataka Katiba kabla ya uchaguzi 2025 ili nchi iendelee kuwa na amani...
  3. C

    Visingizio hivi vya Kipuuzi na vya Kitoto hatuvitaki, tunataka Ushindi leo kwa Waarabu

    "Mabegi yetu yamechelewa kufika, tunahisi ni Hujuma na tumeshindwa kufanya Mazoezi na kuna Baridi Kali sana" amesema Kiongozi wa Yanga SC aliyeambatana na Timu huko nchini Algeria wanakocheza leo. Chanzo: Sports Extra Clouds FM jana Usiku Ninawatakia tu kila la kheri Waarabu.
  4. A

    DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT. Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
  5. Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

    Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k. Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi. Jaribu kutumia Fisi kama...
  6. F

    Tunataka watu ambao tayari walishatajirika kama Mbowe wawe marais wetu kwani wanaujua uchumi na hawatatuibia

    Tanzania tofauti na nchi nyingi tunachagua marais maskini ambao hawajui hata kufuga kuku. Hawa watu wakiingia madarakani ndio huanza kuuza twiga, tembo na misitu yetu pamoja na kuingia mikataba mibovu na wageni ili wajipatie chochote. Lakini watu walioingia siasa tayari wakiwa matajiri kama...
  7. R

    Lugha gongana: Wananchi tunataka pesa irudi, wanasiasa wanavizia koti la kiranja mkuu

    Salaam, shalom!! Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi. LUGHA YA WANANCHI. Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi...
  8. Wanawake badilkeni Wanaume wa Siku hizi hatupendi hiyo Mishanga yenu mingi Viunoni, bali tunataka kuona Ubunifu wenu katika Tendo ( Mbanduano ) sawa?

    Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana ) Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
  9. Mlioko Ndola Zambia tafadhali mwambieni 'Mr. Objective' kuwa leo tunataka 'Double Strikers' ili tumaliza 'Biashara' mapema

    Mwambieni GENTAMYCINE nataka namba Tisa acheze Jean Baleke na namba Kumi acheze Mshambuliaji wangu ninayemkubali Simba SC yote Moses Phiri. Na ole wake katika Dimba la Chini ( Namba Sita ) asimpange Kiungo wangu Mkabaji Bora na Fundi wa muda wote Fabrice Luamba GENTAMYCINE Ngoma. Golini...
  10. B

    Tunataka Ujasusi wa kiuchumi uimarishwe Tanzania

    Asalam Aleykum, Niliwahi kusema hapa Jukwaani kwamba nchi yetu ni " A sleeping giant". Hii ni kutokana na kwamba licha ya kuwa na raslimali za kila aina lakini bado Watanzania wengi tunaishi chini ya dola moja! Hii kwa kweli inavunja sana moyo. Binafsi nilishasema na leo narudia tena kwamba...
  11. Wana Yanga SC hatutaki Kudanganywa na Pesa za Bonasi za SportPesa tunataka 'Vyuma' Kusajiliwa kama vya Simba SC

    GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli...
  12. D

    CHADEMA tunataka kuona msimamo wenu kwa vitendo kuhusu kutoshiriki uchaguzi

    Moja ya sifa nzuri na thabiti ya kiongozi ni kusimamia anachokiamini hata kama msimamo huo unaweza kumdhuru binafsi au na taasisi anayoongoza. Msimamo wa CHADEMA ulioamuliwa na Kamati Kuu yake na kutangazia dunia hadharani kupitia kinywa cha Katibu Mkuu wake John Mnyika na Mwenyekiti Freeman...
  13. Wakati tukiendelea kujadili mkataba wa DP World, wanachama wa Chadema tunataka iweke hadharani mkataba wa ununuzi wa jengo la Ofisi

    Mimi mwanachadema, na kwa muda Sasa tunapiga mdomo kuhusu mkataba wa Bandari na DP. Katikati ya mjadala, Kuna jengo limenunuliwa na chama chetu kwa mabilioni. Chama hakijatueleza nani alifanya uthamini wa jengo akapata thamani hiyo, nani katuuzia, fedha imelipwaje, na mkataba wa ununuzi uko...
  14. E

    TUNATAKA, HATUTAKI

    TUNATAKA, HATUTAKI Tunataka uwekezaji, hatutaki uporwaji, Wao wachukue mji, tubaki watazamaji, Tunakemea ulaji, tunakataa upigaji, Hofu yetu urithi wetu...
  15. CEO wa Simba SC kwa sasa tunataka tu kusikia 'Vyuma Vipya' vikitua Msimbazi na si 'Maupuuzi' yenu mengine sawa?

    Haya Maupuuzi yenu mnayoyafanya sasa Kutuvutia Mashabiki wenu (GENTAMYCINE nikiwemo) yatatuingia vyema Mashabiki wenu pale tu tukisia Timu (Simba SC) imesajili Watu (Wachezaji wa Kazi) tupu ili kutupa Raha katika Mashindano yote yajayo kwa Kubeba kila Kombe litakalokuja mbele yetu.
  16. DR-Congo: Tunataka maelezo kwa Majeshi yaliyoua raia wetu 10 jijini Khartoum

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeitaka Serikali ya Sudan kutoa maelezo kuhusu shambulio hilo lililofanywa katika eneo linalokaliwa na Wananchi wasio na Silaha ikiwemo raia wa kigeni kutoka mataifa mengine na kusababisha majeruhi. Waziri wa Mambo ya Nje, Christophe...
  17. Wenye akili hili tumelijua Kitambo tu, ila tunataka kusikia nyie kama MCT mmelitatua vipi

    "Changamoto tunayoiona kwenye Redio ni wamiliki wa Redio kuwaajiri watu Wenye followers wengi. Na mazingira ndiyo yametuhamisha. Kwahiyo huyu mtu mwenye 'followers' Mmiliki wa Redio anaona akichukua atamletea watu wengi" "Ambao hao watu watamletea pesa na yeye kulipa mishahara. Athari ya hili...
  18. M

    Waziri Ndumbaro acha kupotosha umma, Tunataka Katiba Mpya iwe na uwezo wa kutatua changamoto zetu. Ikiwezekana kumshtaki Rais na Mawaziri

    Huko Usa haki zikivunjwa unaenda mahakamani na mahakama ipo hutu
  19. Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

    Pamoja na mazuri ninayohisi yamefanywa na CAG, najiuliza ni nani anayemkagua katika utendaji wake? -------- Michango------- SubiriJibu anasema, Mleta mada, Ukiachilia mbali wanaokubeza kwa mada yako inabidi nikupongeze kwani umeleta kitu kikubwa kilichojificha kutokana na wengi wetu nikiwemo...
  20. Taifa Stars, kwanini tunataka kuvuna bila kupanda?

    Kila mara inapocheza Taifa stars huwa nashangaa jinsi watu wazima wenye akili wakiwa busy kusubiri kuvuna sehemu ambapo hatujawahi kupanda kabisa. Binafsi huwa sifatilii kabisa mechi za stars na huwa sishangai tukifungwa, hata kama tukiweza kubahatisha kwenda AFCON tutaenda kufungwa nyingi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…