Makamu wa Rais wa Malawi Bw. Chilima amekamatwa na kushtakiwa kwa kupokea rushwa ya takribani USD 200,000/- kutoka kampuni ya ujenzi ili kupata tenda katika miradi ya serikali.
Kwa Tanzania hii haiwezi kutokea kwa katiba tuliyonayo kwani watawala wako juu ya katiba.
Tunahitaji katiba mpya...